MSIBANI TANGA 07

Jun 20, 2021
Nilitulia namtazama Zuu alivyo mtamu anavutia kuvunja naye amri lakini ndo hivyo ni mdogo wa mshikaji wangu.

"Oya Jawabu, ingia ndani mzee" alinikaribisha kijana huyo ndo nikaingia hadi sebuleni na kuwaamkia



"Salam alaykum"


"Walaikum salam" Alitoka baba wa nyumba huyo akanitazama "Hujambo kijana?" aliniuliza nikainuka na kumpa mkono



"Sijambo shikamoo mzee wangu" nilisema kwa furaha



"Marahaba, karibu sana" Mzee alisema na kuuachia mkono wangu akaketi kwenye kiti kingine



Aziz na mama walikuja nao wakaketi, sisi tulisalimiana na mama halafu story zikaanza mbili tatu



Baada ya dakika mbili Zulfa aliaga pale nyumbani



"Mi naenda shule" Alisema 



"Njoo chukua hela ya muhogo" Kaka yake alimuambia halafu binti akaingia ndani, nilipomtazama nikaamua kuchukua jukumu nikatoa shilingi 2000 na kumpa, 



"Kale mihogo shule mdogo wangu"



"Asante kaka kwa herini" alisema



"Ok" 



Baada ya binti kuondoka sisi tuliendelea na hadithi, Aziz alikuwa akielezea kitu kilichotupeleka Tanga kwamba ni msiba katika mtaa wa jirani



"ndo hivyo wazee, tuna uchovu sana, vipi tunaweza kuoga hapa maana tangu jana asubuhi hatujapiga maji" alisema



"Hamna shida maji yapo ni nyie tu...." mama alisema na kuinuka akatoka nje, akaenda kuandaa mazingira kwa ajili ya kuelekea kupata maji ndipo Aziz akamfuata nyuma



Mimi nilibaki na mzee sebuleni



"Unaitwa nani wewe?" Aliniuliza



"Naitwa Jawabu" alisema



"Ahaaa....Jawabu, umetokea mkoa gani?"



"Natokea Lindi huko Masasi"



"Ok ok ok kumbe sio mbali" 



"Ndio"



"Karibu sana mwanangu hapa sisi ni kama wazazi wako....Dar es Salaam Mnarudi leo?" Aliniuliza



"Yes, tunaweza kurudi leo, ila sina uhakika mpaka mwenyeji wangu Aziz aweze kuniambia"



"Ok hamna shida..." Mzee alisema



Baada ya dakika kadhaa, Aziz aliniita nje, nikatoka na kuelekezwa bafuni kila kitu kilikuwa kimeandaliwa ndipo nikaingia na kuoga chap haraka.



Nilimaliza baada ya dakika 20 hivi ndipo nikatoka nikiwa natetemeka kwa baridi, nilipofika pale ndani nilikuta wanaendelea kupiga story Aziz na Baba yake lakini mama alikuwa jikoni



Aziz naye aliinuka akaenda kuoga, mimi nikabaki na mzee



Mama aliandaa chai, Aziz alipotoka tulifuata vitafunwa mtaani na tulirudi navyo tukavitafuna muda ule ule. Hata hivyo tulikunywa chai halafu tukatoka na kutembea tembea akiwasalimu ndugu waliozunguka mtaa ule.



Muda wa saa 6 mchana tulikosa cha kufanya



"oya, una mpango gani kaka?" Nilimuuliza



"Turudi msibani bwana"



"Tunaenda Dar leo leo au?" Nilimuuliza



"Yeah ikiwezekana, twende tukacheki utaratibu tusepe kaka" aliniambia



"Kwani hatuwezi kutoka moja kwa moja huku tukaenda mpaka Tanga mjini?" niliuliza



"Tunaweza"



"Basi tufanye hivyo"



"Subiri, kuna manzi mmoja nimeopoa kule inabidi nifanye utaratibu nikamnyandue halafu ndo nisepe"



"Hahahaha...." Ilibidi nicheke kwa nguvu sana kumbe naye ana mikakati yake kule tulipokuwa tumetoka



Ghafla tukasikia hodi mlangoni halafu akaingia Zuu mpaka ndani.



"Shikamooni" alisema huku akishika shika ushungi wake



"Hee....wewe, shule mnatoka saa hizi?" Azizi aliuliza akitoa simu mfukoni na kutazama majira "Sasa hivi ni saa saba kasoro wewe umerudi"



"Hahaha....shule hamna jipya jamani tulikuwa tunafanya mtihani" alisema na kunigeukia mimi akicheka kimahaba, yule mtoto akaanza kuniingiza majaribu nikamkonyeza akamtazama kaka yake haraka 



"Mitihani ya nini?"



"Kufunga...tunafunga wiki ijayo sasa mimi leo nilikuwa na mtihani asubuhi, nimeumaliza na kuondoka"



"Haya bwana, angalia...halafu hii sketi uliyovaa ni fupi sana hii" alianza nikaona binti ameingia chumbani haraka kwa ajili ya kubadili mavazi



Mama alileta ubwabwa na samaki tukaanza kuufakamia mdogo mdogo huku tukipiga story za kutosha



Tukiwa tunakula alikuja binti naye akaketi akawa anakula chakula chake taratibu, mzee hakuwepo mama naye alikuwa nje huko.



Tuliendelea kula pole pole mara ghafla Azizi alipokea simu na kuanza kuongea kwa mkato



"Ee.....mmh......ehe.......am...ok......saaa ngapi?.......aah..basi nitakuja baadaye......oh.......ee nitakucheki baadaye kidogooo..............sasa nini?.....ee..........aa" alisema ghafla ni kuinuka akatoka nje akiwa anaongea maana alikuwa anakosa uhuru kuongea mbele ya mdogo wake maana ilivyoonekana alikuwa anaongea na demu.



Alitoka kabisa nje nikabaki mimi na mdogo wake ndani tunapata ubwabwa tu, ndipo ghafla nikamgeukia nikakuta naye ananiangalia kwa jicho fulani hivi....oh Mungu wangu nikawaza lakini nikashindwa vumilia nikampachika swali



"Zuu hauna simu?" Nilimuuliza



"Ninayo" Alinijibu "Ila nyumbani hawajui"



"oh" Haraka haraka niliingiza mkono mfukoni nikatoa pochi na kufungua nikatoa business kadi, nikampatia "Utanitafuta" Nilimaliza kihivyo, fasta nikaona binti ameificha alikuwa mjanja sana. Tuliendelea kula



Baada ya dakika kadhaa Aziz alirudi na kuendelea kula



*

Tulipomaliza kula aliharakisha turudi kule msibani, nilimaindi maana nilikuwa nataka nimle mdogo wake siku hiyo yaanu nilikuwa na tamaa sana.



Tuliaga tukapanda pikipiki na kurudi kule msibani, nilipofika hivi nilipokelewa na mabusu kutoka kwa Aziza maana alikuwa hajaniona mda



"Woow....mi nikajua umeondoka haaah jamani kumbe upo" Alisema kwa furaha ghafla Azizi akanipotelea nahisi alienda kunyandua



Saa 9.....saa 10......saa 11.....saa 12.....saa moja bado sijamuona mara nikasikia ujumbe kutoka kwa namba mpya



"Hellow" nilisoma



"Hellow habari"



"Safi mi Zuu" Aliniambia kumbe alikuwa mdogo wake Aziz



"Ooh nambie"



"Uko wapi msharudi dar au?" aliniuliza



"Hamna niko Kigongoi"



"Aah, mbali, nilijua upo karibu uje tuonane"



"Aah... Naweza kuja pia" Nilijibu kwa tamaa"



"Njoo basi nikuone tu?" aliniambia



"Mmmh natumia nauli ujue, nikija utanibusu?"



"Hahahaa....ndio" alinijibu



"utanibusu eneo gani la mwili, shavuni, usoni, mdomoni, kifuani au wapi?"



"Hahah....kuna sehemu hujaitaja, ila ntaanza na mdomoni kwanza, halafu itafuata maiki hahahaa...." alinitumia nikachanganyikiwa nikaona haina haja ya kupoteza muda lazima nimfuate tu ninaweza nikapata raha huko.......JE NIKIENDA NITAFANIKIWA NA JE KUKAMATWA NA MWANAFUNZI JE? LOOH

ITAENDELEA 

Post a Comment

Previous Post Next Post