DADA MAMU 15

Da pammy akiwa hoi niliona tu akiondoka ndani kwangu bila kusema kitu chochote huku akiwa amelisahau lake kufuri kwenye kitanda changu nilijikuta na tabasamu nikaamini ile ilikuwa tamu sana kwa upande wangu na hata kile kitendo cha da pammy kusahau kufuri lake kwenye kitanda changu ilinipa wazo kuamini kuwa mchezo niliucheza vizuri sana.. kwa sababu nilishawahi kumsikia rafiki yangu dullah akisema ukimwona mwanamke mbaka anasahau lake kufuri katika mambo haya ya kikubwa ujue wazi mchezo ulimkolea na hatakusahau atakusumbua huyo hivyo jambo lile lilinitamanisha hata kucheka kufurahia ile kazi yangu huku nikiwa na imani ule ndio ulikuwa mwanzo wa utamu ule na inavyoelekea nitakuwa ninaupata kila siku kama wa dada mamu..
Nahapo hata usingizi haukuja tena nilitikiria juu ya mapenzi yale niliopewa mpaka ikafika muda wote habari za dada mamu nilishaanza kuzipoteza hata nilivyofikilia habari za kuniambia jambo ambalo alikuwa anataka kuniambia siku ile nilijuwa wazi atakuwa niwivu wake hivyo hata sikujali mawazo yalitawala na hata usingizi uliponichukua sikujua japo nakumbuka vyema ulichelewa kuja na hata saa kumi na mbili ilitaka inipite nikiwa nimelala wakati si kawaida yangu siku za shule huwa na wahi mapema na si kama uncle kuja kunigongea nisinge amka mapema

Ila niliweza kuamka haraka na kujiandaa kwenda shule wakati huo dada mamu alikuwa ameshamka mapema hivyo nilivyoenda jikoni kunywa chai kama sikuzote ninavyofanya siku za kwenda shule nilionana nae huku nikiwa na ona aibu kumwangilia wakati nikitafuta maneno ya kumwambia nilishangaa tu
dada mamu akinipatia ujumbe ambao niliupokea na niliuweka kwenye mfuko wangu huku nikiwa ninahamu ya kujua kilichokuwemo mule ndani Nilikunywa chai haraka na kuondoka pale nyumbani nilipiga hatua kadhaa huku nikiwa nafikilia kile ambacho kimo ndani ya ule ujumbe niljivuta tena hatimaye uvumilivu ulinishinda nikaitoa ile barua na kuanza kuifungua

Macho yangu yaliweza kuona vyema yale maandishi ambayo yalikuwa makubwa kiasi kwamba kile kilichoandikwa kilionekana wazi mbele ya macho yangu yaani haikuwa kawaida kutoka kwenye ule ujumbe nilijiona wazi ni mkosefu wa kile nilichokuwa nakifanya na kwanini ?

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post