DADA MAMU 16

Macho yangu yaliweza kuona vyema yale maandishi ambayo yalikuwa makubwa kiasi kwamba kile kilichoandikwa kilionekana wazi mbele ya macho yangu yaani haikuwa kawaida kutoka kwenye ule ujumbe nilijiona wazi ni mkosefu wa kile nilichokuwa nakifanya na kwanini ? Niliamua kuwa vile punde tu da pammy alipofika nyumbani kwetu ule ulikuwa usaliti wa wazi wazi mbele ya Dada mamu hata cha kufanya nilishindwa

Na hata hapo ndani ya ujumbe ule ambao ulionekana vyema umejaa maneno yenye hisia kali ndani yake niliokuwa kama namwona Dada mamu nilijikuta hata napoteza muelekeo wa njia hile ambayo nilikuwa naenda na hata kuingia kwenye majani kabla sijagutuka kama ule muelekeo ulikuwa si sahihi na kibaya zaidi dada mamu alisisitiza bado anajambo la muhimu anataka aniambie na kibaya zaidi amesema usiku wa leo atakuja ndani kwangu
jambo ambalo nilikuwa niliofia uwenda da pammy atakuja kuifata ile chupi pindi tu atakapo gutuka kuwa ameiyacha yake chupi ndani kwangu yaani hata nilishindwa cha kufanya nilibaki tu natembea njiani mule huku akili ikiwa mbali na pale na hata ile nilivyofika kwenye geti la shule sikujua nilishituliwa tu nakengele ya kuhesabu namba hapo ndio niliweza baani nipo ndani ya shule haraka haraka niliurudisha ule ujembe ndani ya mfuko wangu
Haraka haraka nilienda mahali usika mara moja na kufanya taratibu zote kabla hatajaingia darasani kama kawaida nusu saa tu ilitosha kukamilisha taratibu zote na kuruhusiwa kuingia darasani kwa upande wangu nilichelewa kuingia darasani kama dakika tano kutokana kuna mwalimu alinipa kazi yake hivyo nilivyoimaaliza nilielekea zangu darasani kama kawaida ila kwa siku hiyo ilikuwa tofauti nilikuta tu darasa linapiga kelele nilijuwa wazi kutokana na kikao cha walimu muda ule

hivyo na mimi nikaenda sehemu ile ya nyuma ya darasa ambayo tulishazoe kuita kamati ya ufundi hapo ni story tu na haswa story zenyewe za mapenzi na mara nyingi si wananijuaga mimi bwege sijui mapenzi hivyo wananitaniaga sana eti mimi ni bikra wa kiume hivyo nilivyofika tu na kukuta mada zao nikaona sasa ndio muda wakuonesha na mimi kama ni mjanja wa mambo hayo we!!!

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post