DADA MAMU 17

Sikuhiyo niliwapoteza vibaya kila mtu alikuwa ananiskiliza mimi hakuna aliyetia neno walitulia kimya kama maji ya wapo mtungini na hata kengele ya mapumziko ilivyopigwa hakuna aliyetamani kuondoka waliendelea kunisikiliza tu na kilichokuja kuharibu baada ya mapumziko vipindi viliendelea kama kawaida hivyo hatukupata tena muda na nilivyotoka tu niliwakimbia niliogopa wataniganda tena Ila njiani mawazo yote yalikuwa kwa dada mamu nilijikaza tu hivyo hivyo na hata nilipolifikia geti la nyumbani nilikuwa naogopa mbaya niligonga kwa muda kabla geti alijafunguliwa ila ile kufunguliwa nilichokutana nacho hakielezeki

Tabasamu mwanana la dada mamu mboni zangu zilikumbana nalo huku akinipokea langu begi hata sikujua kwanini dada mamu aliamua kufanya vile wakati ni wazi alikuwa anahasira na mimi nilikumbuka ujumbe wake ila nikashindwa hata cha kufanya ilinibidi na mimi nioneshe uchangamfu juu ya jambo lile huku nikiwa nyuma Dada mamu akiwa mbele na yangu
yake kanga moja aliyonifanya nione vizuri sehemu za nyuma za Dada yule wa kazi niliona yake makusudi kabisa hata kama utamu ule ninaujua vyema ila ile ilikuwa ni jambo la kiuchokozi kabisa kuelekea kwenye yangu ikulu ila nilimezea tu kwa muda ule
Nilipiga hatua na hatimaye nilingia chumbani kwangu na hapo jambo lile linirudia punde tu nilipoingia ndani kwangu niliwaza na kuwazua uwenda dada mamu atakuja kweli chumbani kwangu kama alivyosoma kwenye ule ujumbe na ananini? Anachotaka kuniambia inaonekana amedhamiria katika hili huku machale yakiwa yamenicheza mno kwa upande wangu suala la da pammy nalo likinijia kama na yeye atamua kuja inakuwaje nilifikilia kwa muda kabla akili ile ya liwalo na liwe haijanijia kwenye kichwa changu

Hapo haraka haraka nilibadilisha nguo zangu za shule na kuelekea sebuleni ambapo nilikaribishwa na taswira ya da pammy ambaye alinipa salamu japo kwa shida shida kabla hajaizoe hali ile mmh nilibaki tu nikiguna kimya kimya nikiamini kweli kile nilichokuwa tumekifanya usiku wa kumkia leo hakikuwa cha kawaida kabisa kwa upande wangu angalau nilijona fundi katika gemu ile ila roho ilikuwa ikinisuta

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post