KILIO CHA MDANGAJI 06

Tunaanzia tulipoishia!

Akaufunga mlango akaondoka,,maiko akiwa amelala simu ya mke wake ikawa inaitwa tu bila mafanikio ya kupokelewa,,
Mkewe,,akajisemea nini kimemkuta mume wangu jamani!! Akatazama saa ilikuwa saa 6 na .15alisogea mpaka dilishani akafunua pazia akachungulia nje akuona mtu zaidi ya milio ya paka na mbwa,,kwaa unyonge akaludi kwenye kiti,Huku akiwa na hofu limemjaa akapiga magoti,,na akafumba macho akaanza kumuomba mungu,,,
Eh mwenyezi mung mwingi wa lehema,,mwenye kujali hitaji la Kila mja wako ,,nakumba umlinde mume wangu uko aliko ,,kama Kuna baya kimemkuta ,,ee baba kwa nguvu na uluma yako msaidie aludi salama ,,baada ya kumalizia akaenda tena dilishani***
Hapa ndo naamini Kila mafanikio ya mwanaume nyuma yupo mwanamke,,wanawake kama nyinyi kama mpo basi mungu awape maisha malefuu yenye baraka na amani tele.
Muda ulienda baada ya Ile sawa kutisha mwilini,maiko alistuka pombe zimemkata akapagawa,,akatulia kidogo akavuta kumbukumbu alikuwa na mtu,,Ila alipo tazama hakumuona mtuu,,kumbukumbu simu yake Iko wapi,,akapekua chini ya mto akaiyona mkewe kampigia sana,,akazidi kuchanganyikiwa kutazama mfukoni akuna waleti,,akili ikamjia ameibiwa ,,machozii yakaanza kumtolea Huku ajui afanyeje,
Alijinyenyua na kutaka kuondoka akatazama pemben nilikuwa na kimeza kidogo ,,akaiyona Ile 5000 na kikalatasi kilicho andika UKOME KUSHOBOKEA WANAWAKE Usio wajua hasa wa kwenye mitandaon.
Maiko alizidi kuchanganyikiwa jasho lilizidi kumtoka, 
Akatazama saa kwenye simu yake saa 8 ,,akajisemea mwanaume mjinga hualibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe?
Nitaenda kusema nini kwa mke wangu! Mh/
Akanyanyuka na kutoka nje akakuta watu wamejaa wanakula bata wengine wamelewa wengine wanacheza mziki,Yani Kila mtu na mambo yakee,
Akatoa nje atazame boda boda lakini akuiyona akaamua kutembea kwa mguu ili mbele akikutana nayo apande,
Akiwa anapita kwenye kichocholo kilichokuwa na Giza Nene akazimia sauti,,
WEWE simama apo
ITaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post