KILIO CHA MDANGAJI 05

Tunaanzia tulipoishia!!

Asha akachukua Bomba la sindano ,akaludisha kwenye mkoba,,na kulifungua kile kichupa,,akachukua tishu akailingisha ikawa ndefu akaingia kwenye kile kichupa akachoveka ndani,,Mimi sijui ndani Kuna nini,,akatoa Ile tishu ikawa imeloa kile kimiminika,,akaanza kujipaka sehemu husika,,kwenye shingo,, na kwenye chuchu za maziwa, alipo malizia akaweka vitu vyake vizuli kwenye mkoba wake,,maiko akiwa amejilaza kitandani,, simu ya mkewe ikaanza kuitaa,,maiko akainyenyua na kujisemea (wanawake washamba ndo kazi yao kusumbua sumbua mijitu mwingine bhana )simu ikaita mpaka ikakata, ilipo lata akabonyeza kitufe ili ata ikiita isitoe mlio akaweka chin ya mto.
Asha akiwa kama alivo zaliwa jamani Kuna watu wameumbwa nyinyi,,maiko alizidi kupagawa,,macho yakamtoka Huku chini jogoo anatoa machozii tu, 
Maiko/oh mlembo akika we mi mzuli tena sana akimsogelea talatibu uku akimvuta kwake,,
Asha**maiko bhana kawaida mbona! mh ebu soges uku akimkumbatia na kumshika sehemu flani,,
Maiko akaanza kuhema kama kakimbizwa umbali mlefu
Asha**maiko tulia bhana nikupe laha za dunian,
Akiwa anamtekenyatekenya kunakohusika jamani mtu akiitaji pesa yako mh,
Asha**akaoga maiko
Maiko**naam
Asha**nimekuchezea vya kutisha na mimi nataka unichezee Ila napenda uninyonye chuchu na unilambe shingoni?!
Maiko**usijali my usijali my 
Akaanza kumlamba chuchu na shingoni,,
Asha**umo umo maiko
Kila alivozid kumlambalamba na alianza kuishiwa nguvu aikuchukua mda maiko akazimia.
Asha**alipoona amezimia alimchukulia pesa zilizokuwa kwenye waleti tu kama laki tatu Ila alimwachia sh 5000.
Mwisho alimwandikia kikalatasi ukome kushobokea wanawake usio wajua hasta wa face book akaufunga mlango na kuondoka zake


Post a Comment

Previous Post Next Post