RISASI YA KICHWA 08

Alimkaba sneaper kisawa kisawa nakumuegemeza katika ukuta na kujianda kumpiga ngumi sneaper ! Lakin kabla ngumi ijamfikia sneaper Doctor Frida alimkataza ismahil asimpige sneaper . 

Na ndipo ismahil akamua kumuachilia sneaper na ndipo sneaper akamua akimbie maeneo Yale na kwenda kujianda upiya.......


 Doctor Frida alimtibia ismahil maeneo pale alipo pigwa na sneaper na baada ya Matibabu doctor Frida alikwenda nae mpaka ufukweni kule alipo pewa eneo Abdi aishii na baba yake Frida.

Hivyo alifika katika chumba anacho lala Abdi au kwa jina lengine anaitwa ismahil.

Baada apo frida aliomba kaoge na kisha baada ya kuoga ismahil alimuoneshea chumba cha kubadirisha nguo na ndipo Abdi alichojoa fulana lake na kubakia tumbo wazi na kutaka kwenda naye kuoga lakini Frida alikuwa anamchungulia jinsi ulivo kuwa mwili wa Abdi ulivo kuwa na misuli na kifua kizuri .

Kesho yake asubuhi Frida alimuaga ismahili na kumwambia anasafiri kwa mda na anatoka nje ya mji kwenda kikazi hivyo alimuomba Ismahili amsindikize stendi ya mabasi ya mkoa . 

Kumbe walivokuwa wanatoka kuelekea stendi ya magari ya mkoa . sneaper alikuwa na kundi lake wakiwa katika gari lao la Aina ya noah huku wakiwa wameshikilia bastora zilizokuwa na risasi nyingi.

Walivo fika kwenye stendi ya mabasi walitafuta sehemu moja na kuanza kuagana kati ya Frida kwa kubadirishana mate na kisha doctor Frida alimsisitiza sana ismahil atumie vidonge ambayo vitamrudishia kumbu kumbu zake.

Na ndipo wakabadirishana mate tena kwa mara pili na frida akaamua kuelekea zake katika basi la mkoa.

Baada ya dakika chache basi likaaza safari na kuelekea mahala usika lakini.... Wakina sneaper na kundi lake wakaaza kuifatilia lile gari kwa kujua mule ya gari kuna MTU wao wanawo muitaji ambaye ni Abdi .

Walikimbilia lile gari na kuovateki kwa mbele na kisha wakashuka na dereva wa lile gari la abiria alisimamisha kwa gafla mpaka abiria walikuwa ndani ya gari wa walistuka kwa breki ya gafla na abiria waliokuwa siti za nyuma waliaza kulala mika na kusema dereva unataka kutua. Kumbe walikuwa Tayali wameshaZungukwa pande zote na maadui. Na ndipo abiria walistukiziwa dereva wao wakimiminiwa risasi nyingi sana na hapo hapo magaidi kaingia ndani ya gari na kuanza kushambulia abiria wote waliokuwa katika siti, na wengine walijificha chini ya siti..... Na ndipo frida akamua kumpigia simu ismahil........


 Na ismahil Alikuwa katika maeneo ya stendi na ndipo alisikia mlio wa simu na kuipokea simu yake........


"He,he,he, hellow ismahil.... Wa,wa,wa, wamekuja huku na washamshambulia dreva wa gari" huku.

Na ndipo Abdi alipora piki piki ya moja wa boda boda aliekuwa akisubiri abiria pale stendi ya mabasi na kuanza kuifatilia lile gari ilipo kwendea 


Aliendesha piki piki kwa spidi zote mpaka akaikuta gari aliyo pakia Frida ilipo simama na kushudia nje ya vioo vya gari vimejaa damu nyingi za watu.......
 

Post a Comment

Previous Post Next Post