RISASI YA KICHWA 09

Abdi alingia ndani ya gari na kuona gari zima limesambaa damu za watu. Abiria walikuwa katika gari wengi wameuwa uwa . na ndipo Abdi alipo aza kuchanganikiwa na kuiita "fridaaaaa" kwa sauti huku akiangalia mait moja baada ya nyingine lakini hakuweza kuona maiti ya Frida zaidi ya kuyaona miwani anayo ivaa Frida . akiwa anashangaa kuyingalia ile miwani Mara anaingia MTU akiwa ameshikilia panga.... Na wakangalia na ismahili Uso kwa USo na ndipo akamua kumuliza swali Abdi....


"Wewe ndo umefanya mauwaji haya? Aliuliza yule kijana alingia kwenye gari huku akiwa ameshikilia Beto....


 "A,a,a, hapana mi namtafuta rafiki yangu tu hapa" alijibu ismahili huku kwa hofu 


" yani si unataka kutuongepea nini " Na ndipo alinyanyua lile beto na kumpelekea la uso Abdi kwa nia la kumua ....

Lakini Abdi alikwepa haraka na kuamuwahi nae kwa kupiga teke moja zito mpaka yule jamaa alidondoka chini na damu zikimtoka puani....

Lakini hakukubali kushindwa alinyanyuka tena na kushikilia panga lake vizuri na kumpelekea Tena Abdi lakini Abdi alikwepa na kumuwahi tena kwa kumpiga ngumi zito katika bega lake la kulia mpaka likampelekea kudondosha lile panga lake ... Lakini Abdi aliliyokuta lile panga na kumpelekea yule mbaya wake la tumbo.... Na ndipo yule kijana ukawa ndo mwisho wake .

Lakini akiwa anashangaa amewezaji kumua yule mtu ..... Mara anaingia mwingineeee huku. Ameshikilia dumu LA mavuta na akamua kumtupia Abdi sehemu alipo simama na kisha 

Akatoa njiti ya kibiriti na kuwasha moto na na kisha kumtupia njiti ya kibiriti pale alisimama Abdi na kisha kutoka haraka kwenye gari na kufunga mlango wa gari na kumuacha Abdi akiwa anaingaika jinsi ya kutoka mule ndani ya gari.....

Aliangaika sana jinsi ya kujitoa mule ndani ya gari na moto ulikuwa umeshatambaaa sehemu zote ..... Na ndipo alipo amua kupiga ngumi kioo cha gari ambacho kipo nyuma. Lakini ilikuwa kazi bule maana alipiga kioo mpaka mkono wake akaazwa kutokwa damu na ndipo alimua kufanya kitu.......


Alirudi nyuma na kujitupa kwenye kioo na kutokea upande wa pili ambapo ni nje ya gari na kuanza kuvua shati lake ambalo lilikuwa limeshasambaa moto.....

Lakini akiwa analivua lile shati mara yule jamaa aliemuwasha moto alikuja na kumvamia Abdi na kuaza kumshambulia kwa kumrishia ngumi za uso za ovyo ovyo lakini Abdi alijiwahi kuweka Gadi usoni kwake hivyo ..

Ngumi alizo kuwa anapigwa zilikuwa zinadunda katika mikono yake na sio kwenye uso Wake.

Jamaaaa alirusha ngumi nyingi sana lakini Abdi alikuwa anamchukulia Time ming na ndipo alipo muona amuwachia nafasi katika uso wa mbaya wake ..

Akamua kuifunja gadi na kumchimbua ngumi moja mzito kwenye kidevu....

Na ndipo alidondoka chini mzima mzima ...

Lakini Abdi akiwa anarudi nyuma huku akipepesuka kwa kuchoka anastukizia anapigwa na kitako cha bunduki...... Na mtu asie julikana.......

 Wakina sneper walimteka Frida na kumuweka sehemu wanapo fahamu wao na kuaza kumuoji Abdi watampata wapi!

Walimuliza huku wakiwa wanapiga makofi na mateso makali mno.....


Kwa genero Tonga alipata habari sehemu alipo Abdi . na ndipo alipo amua kumtuma kijana wake zaka akamlete Abdi hakiwa mzima......


Abdi au kwa jina tunamfahamu ismahil alikuwa amekamatwa na jeshi la polisi na kuaza kumuoji Abdi maswali lakini Abdi yeye halikuwa haelewi chochote maana alikuwa amepoteza kumbu kumbu na kichwani kwake anae mkumbuka ni Doctor Frida tu 

Pindi mkuu wakituo akiwa anamuliza maswali Abdi .....

Kituo cha polisi ikakavamiwa na akinat Zaka na wakaaza kufanya mauwaji kwa askari wa kutio cha polisi ...

Na ndipo inspector mwenywe alichomoa pistor yake na kutoka chumba cha maujiano na kumuacha Abdi kwenye chumba cha maujiano.... 

Na kutoka nje lakini alivo toka alikutana na risasi ya kifua ... Na ndipo ukawa mwisho wa kituo....

Abdi alistuka baada ya kusikia mlio wa risasi...

Na ndipo Zaka alingia Katika chumba cha maujiano na kutoa Beto na kumpelekea panga la.......


ITANDELEA........


USIKOSE KUIFATILIA

MUENDELEZO 

Post a Comment

Previous Post Next Post