RISASI YA KICHWA 10

 Snepear alimchukua doctor Frida na kumpeleka kwa genero Tonga. Na kumueleza kuwa huyu doctor ndio njia ya kumpata Abdi....


Baada ya kina zaka kufanya mauwaji pale kituoni ya kinyama walimchukua Abdi na kumpeleka kwa genero Tonga....

Walimungiza Abdi na kumuweka kwenye siti ya nyuma kwa kujua hatoweza kuwafanya chochote kwa vile mikono yake imefungwa kwa pingu.....

Muheshimiwa waziri wa mambo ya ndani ambaye anae shikiliana na genero Tonga kwa ajili ya kufanya Vita baridi kwa ajili tu aondoke madarakani rais hata kwa kumwagika kwa damu.....


"Tonga hivi ndio sababu ya kukufanya utoke gerezani sasa naitaji uyifanye kazi yangu ili tumuondoe rais wa sasa madarakani " aliongea muheshimiwa rais kwa kuitaji genero Tonga achangamke kuisambaratisha nchi na kuleta machafuzi.... 

" Nimekuelewa ila ilo jambo halitaji haraka kwa sababu serikali ina jeshi kubwa ina silaha zito zito hivyo tunaitaji kutulia kwanza ".. Aliongea genero kwa kumtaka wazir awe mpole kwanza......


Wakina Zaka wakiwa kwenye gari huku wakiwa wameshampata Abdi walikuwa wanaelekea kambini kwa genero Tonga .. Lakini wakiwa njiani walisimamisha gari na kumtoa nje ya gari Abdi kwa ajili ya kumuliza kitu.......


Rose alipewa kazi ya kumlinda Frida huku genero akiwa anaongea na wazir ofisini kwake....

Lakini wazir alikuwa anaharaka sana na machafuko ya nchi .. Kwa kujua machafuko yakitokea na rais akishindwa kuyazuia basi atajiuzuru na ile nafasi ataimiliki yeye kibabe kwa ajili yeyee ana majeshi ya ugaidi......


Zaka na mwezie walimfungulia pingu Abdi...na kuaza kumuoji ...

"Sikia Abdi si tunakusadia ila kitu kimoja tuambie dhahabu mulizo iba kule kwenye ile meli ya misri umeweka wapi na wewe ndo ulidondoka na begi lenye almasi kubwa kubwa zenye garama kubwa... Sasa tunakuomba tuambie umeweka wapi izo mali tugawane......." Alizungumza Zaka kwa kutaka Abdi awambie almasi zile kubwa zipo wapi alizo dondoka nazo...... Kwenye bahari....

" mi mbona sijui chochote na wala si itwi Abdi.. Mimi jina langu naitwa ismahil....."

Aliwajibu Abdi kuwa wanamuonea tu na wala hakumbuki chochote na kinacho Fanya asikumbuke chochote kwa kupigwa risasi ya kichwa ambayo imempelekea kupoteza kumbu kumbu kichwani kwake .

Sasa wakina zaka wakaona wafanyaje na Abdi mwenye Mali wakamua wajadiliane wafanyaje.... Na ndipo Abdi alipo ona rungu pembeni yake na kuliokota haraka na kumpiga nalo zaka la kichwa... Na hapo zaka akazima hapo hapo ... Lakini Yule mwigine baada ya kuona zaka tayali amesha uwawa akataka atoe bunduki yake .... Lakin Abdi akamuwahi kwa kumpiga teke la mzunguko ambalo liliweza kumdosha yule adui wake na ndipo alipo muwahi na kumyonga shingo yake . ..... Baada ya kuwamaliza madui zake alichukua gari na kuelekea katika kambi ya genero Tonga kwa ajili ya kumuokoa frida.......


Itaendelea........


Usikose kuifatilia


BIBI JUJU (mchawi wa wachawi).



By mr khan 

Post a Comment

Previous Post Next Post