RISASI YA KICHWA 11

Waziri bado aliendelea kumfosi genero Tonga akafanye machafuko machafuk ya nchi maana anaona kama vile anachelewa.

 Na ndipo genero alinyanyuka kwenye kiti chake na kwenda kumsimamia waziri kwa nyuma na waziri alizidi kuongea kwa kujjamini bila kujua genero anakusudio gani kwa kumsimia kwa nyuma.... Kumbe genero alichomoa kisu chake na kumpelekea wazir kisu cha shingo na kuaza kumchinja waziri kama kuku akiwa amemkamata vizur vilivo..... Na kuendelea kumchinja kama mnyama bila kujari kuwa ananjinja shingo ya mtu .... Alichinja vilivo na kuweza kuchomoa kichwa cha waziri na kumbakisha na kiwili wili pale kwenye kiti kikitapa tapa na damu nyingi zikiwa zina mwagika katika shingo ya waziri wa mambo ya ndani. Baada ya kumchinja wazir aliitupa kile KICHWA chini na kuaza kujifuta damu ..... Akiwa anajifuta damu Mara anaingia rose kwa genero na kushudia kichwa cha waziri wa mambo ya ndani amechinjwa na genero . alistuka na kupatwa na hofu na kuaza kurudi nyuma kwa kuogopa...


"Rose usiogepe bint Yangu uyu wazir mshenzi sana ndo maana nime msambaratisha." Alizungumza genero Tonga huku akimtazama rose kwa umakini.

" baba uyu uliemuwa ndo sababu ya wewe kutoka gerezani sasa ume msambaratisha ivo..." Aliongea rose kwa kutetemeka na kumuogopa genero Tonga. 

"Rose we bado ujakuwa mwanangu ila utajua tu sababu ya kumaliza uyu bwege wazir cha kufanya wamalize walinzi wake wote aliokuja nao na kisha weka miili yao kwenye gari na kisha gari lao likawekwe kalibu na jengo la ikulu ya rais wa nchi". Alitoa maelekezo genero kwa rose.

Na rose alifanya kama vile anavotaka genero alichinja walinzi wa wazir na kuwaweka kwenye gari moja na kulipeleka kwenye ikulu ya rais..........


Abdi alizidi kuongeza spidi na kuwahi kwenye kambi aliyo lelewa tangu zamani lakin alikuwa hapakumbuki kutokana na kupoteza kumbu kumbu 

Post a Comment

Previous Post Next Post