RISASI YA KICHWA 12 & 13

 agent Neema aliaza kufatilia faili za magaidi wote ambao wamekuwa wanatishia nchi.... Na ndipo alikuja kugundua kuna mtu anae itwa genero Tonga . na ndipo aliamua kumfatilia genero Tonga kwa umakini . agent neema katika ufatiliaji wake alikuja kugundua kambi ambayo aliyo jificha genero Tonga.

Hivyo aliamua kwenda kama yeye pekee yake . maana anapenda kujiita jeshi la mtu moja. Bila kujua anae mfatilia ni mtu hatali...... Na kwakujiamini alichukua gari na kuelekea katika kambi ya genero Tonga........


Sneaper alizidi kuwatafuta wabaya wake huku akiwa Analia kwa kupotea kwa Rose na mikamasi ikiwa ina mtoka kwa hasila.........


Genero Tonga .. Alizidi kuwa na hofu pindi alipo wasiliana na vijana wake wa ulinzi na kuwaona wapo kimya.... Hivyo alifungua drooo lake na kuichukua mguu wa bata na kuukoki na kutoka nje kwa uwangalifu zaidi....


Abdi damu zilikuwa zina mtoka pale alipo chomwa kisu na rose hivyo walikuwa wanatembea tu ili kutafuta njia ya kutokea katika msitu huuu.......


Sneaper aliwatafuta na hatimae aliaza kuona damu zipo chini na kuaza kufatilia damu zile zinapo elekea....
..


Genero alitafuta vijana wake na hakuweza kuwapata ila alihisi kitu katika kile chumba cha mateso...... Alisogea kalibu na mlango..... Aliufungua kwa kuibia ....kwa kujiandaaa kwa kitu chochote na kuukota mwili wa binti yake Rose ukiwa unatokwa na damu nyingi na kichwa cha binti yake kipo pembeni......


Genero Tonga alipatwa na jazba na kupiga kelele kwa hasila kwa kumuona mwanae tayali kaashaga duniani.......


Jeshi la mtu. Moja ambaye ni agent neema alifika katika kambi ya genero Tonga na kushudia maiti za walinzi wa genero Tonga wakiwa tayali wameshauliwa ... Na alie wauwa ni Abdi.....


Sneaper alipokuwa kule porini aliwaona wabaya wake wakiwa wameshikana huku wakijikokota.... Na ndipo alitoa bunduki yake na kumuweka Target kwanza mbaya wake Abdi na kisha akauwasha. .... Moto na risasi ikamfikia Abdi na akandoka chini..... 

" hahahaha nimeshampata mbaya wangu hahahhaa" alicheka Abdi huku akikimbilia pale alipodondoka Abdi........

Genero Tonga alipokuwa kule alisikia mlio wa risasi ... Alistuka na ndipo nae akatokemea polini kule ilipotekea risasi....


Jeshi la mtu moja agent Neema nae alivo isikia ule mrio wa risasi akaingia katika poli ilo ilo........


Sneaper alikimbilia pale alipo dondoka Abdi... Na kuaza kushangaaa pale chini na hakuweza kuwona mwili wowote wa Abdi.....

Alipiga mayoye kwa hasilaaaaaa.

"Abdiiiiiiiiiiiiiiiii" alipiga kelele. Ambazo zilimstua tena genero Tonga na kumfanya genero aongeze juhudi Ya kuelekea kule sauti inapotekea .....


Agent Neema nae alikutana na damu. Hivyo nae alizidi kuongeza spidi kule kulikotokea sauti.....


Sneaper sasa alizidi na kupandwa na jazba kwa kutokumuona Abdi na Frida wake....


Na akaaza kupiga risasi juu kwa hasila ... Alipiga risasi nyingi sana juuu kwa hasila sana huku akiiiita "Abdiiiiiiii upo wapi njoooo mijane na Mimi sasa mbona unajificha njoooooo sasa" alizidi kujitapa sneaper huku akipiga risasi nyingi hewani...


Kumbe Abdi alikuwa amejificha kwenye kichakaaa kimoja na Frida huku akiwa amemziba mdomo wake Frida asipige kelele .... Abdi alikuwa anamvizia tu sneaper amalize risasi zake na baada ya kumuona tayali ameshiwa risasi ....


Abdi alijitokeza na kuonana hana kwahana.... Yani wasakana hatimae huonana....


Sneaper alivo muona tu Abdi alimnyoshea bunduki Abdi kwa kumtishia ... Kama bila kujua Abdi alikuwa anaesabu tu utumiaji wake wa risasi.......


Sneaper alijaribu kufyatua risasi hazitoki kila akfyatua hazitoki.... Alibaki akiduwa tu na ndipo Abdi akaaza kumsogelea sneaper huku akiwa amekunja ngumi kwa jazba..........




  ITAENDELEA.......


USIKOSE KUIFATILIA......



Post a Comment

Previous Post Next Post