RISASI YA KICHWA 07

Abdi aliaza kuishi maisha ya uvuvi na yule mzee aliye muokota wakisadiana kuvua samaki ili kufanya biashara. Kuna siku yule mzee alimuahia Abdi akavue samaki yeye kama yeye Abdi lakini alirudi na samaki wawili tu na ndipo yule mzee aliemuokota na kumfundisha vizur jinsi ya kuvua samaki . lakini yule mzee na binti yake walimpachika jina Abdi liitwalo ismahil kwa vile jina lake alitambui basi watamwita ismahili. Na Abdi alikubaliana na lile jina kwa moyo moja kwa vile jina lake halikumbuki alikubali tu.

Genero Tonga alirudi kwenye kiti chake cha utawala na kuaza kufatilia nyaraka zake alizo ziacha . 
Na ndipo alipo muuliza rose "sneaper yupo wapi"?

"Sneaper ameenda kujiunga na kikosi cha upinzani ambacho kinahusika na uzaji wa madawa kulevya na wizi pamoja na uzaji wa risasi ambacho kikosi hicho kinaitwa gaster" alitoa maelezo rose na kumueleza genero.

Na ndipo genero aliwachukua vijana wake watatu tu ambao wananyoka mkono hatari akiwemo na Zaka.

Genero na vijana wake mashupavu walifika mpaka katika kambi ya gaster ambayo iyo kambi alipo jiunga sneaper na watu wengine na ndipo kwenye gari alishuka genero na mwanae Rose wakaingia katika Godauni ambalo walikuwa wanapoishi Gster na ndipo alikaribishwa genero na kundi ambalo amejiunga sneaper . na sneaper amekuwa moja ya kiongozi wa pale katika kundi la Gaster.

Walimpa kiti akae na kuaza maongezi kati ya genero Tonga na kiuongozi ya wa gaster.

" habari yako mkuuu " alitoa salamu genero kwa kujisusha cheo.

"Safi sema tukusadie nini" aliuliza yule kiongozi wa sneaper kwa dharau na kujinadi.

" oh nimekuja kulisambaratisha kundi lenu ambalo linawatu waoga wasio weza umafya wowote" aliwajibu genero Tonga huku akiwatizama wale viongozi.

Na ndipo kiongozi wa gaster akaona kama anatukwana vile na kamua kumuwekea pistor ya Kichwa kwa genero Tonga bila kujua anafanya makosa kabisa kumuekea pistor genero.

"Unasemaje wewe fala" yani sisi ni waoga ambap hatuwezi umafiya sasa ngoja nikuoneshe umafya uwone sasa" alizumgumza yule kiongozi huku akiwa ameshikilia pistor .

Wakati huo maongezi yanafanyika kati ya genero. Na yule kiongozi wa gaster. Katika gari aliokuja nalo zilishika chemba mbili tena mbavu nene akiwemo na Zaka . wakaaza kuwa watu wa gaster moja moja kwa kule upande wa nje na ndipo walipo ingia ndani na kuaza kufanya mauwaji kwa watu Gaster na ndipo kiongozi wao alistuka na kuona watu wake wameshakufa na sneaper naye alibaki akiduwa kwa kuona wameshuzungukwa. Na ndipo genero akapola bastor fasta na kumgeuzia yule kiongozi wa gaster na hapo hapo alifyatua risasi ambayo ilimpata kiongozi wa kundi LA gaster katika utosi wake na hapo hapo alikufa.

Sneaper aliduwa na kustusha kwa kuona kiongozi wake wameuwawa na ndipo ilikuwa zamu yake maana genero alimgeuzia pistor sneaper.

"Mkukuuu,mkuuu,.mkuu, ni,ni,ni,ni,ni samehe" aliaza kuomba msamha sneaper machozi ya kimtoka na suwali yake ikiwa imeloa mikojo kwa uwoga.

" Unataka nikusamehe na wakati umenifanya naingia gerezani na umenipotezea kijana wangu shupavu Abdi . eh Nitakusamehe vipi kwa mfano ety" alizungumza genero kwa kumtetemesha sneaper.

" ila mkuu Nina information kuhusu abdi " Abdi Anaishi bado na Nina pajua anapopatikana ". Alizungumza na kusema Abdi yupo hai.


"Unacho sema ni ukweli au unaniongepea" aliuliza genero Tonga kwa upole baada ya kusikia Abdi Anaishi. 


" Ndio genero Tonga na yupo hospital " alijibu sneaper huku akikitemeka.


"Oh kumbe " na ndipo genero akaikoki pistor yake na kupiga risasi ya sikio sneaper na kutoa kipande kimoja cha sikio yani ile nyama ya pembezoni.

Na ndipo sneaper alipatwa na maumivu makali kwenye sikio lake na damu nyingi zikiwa zina mtoka katika sikio lake.

" sasa nakutuma uniletee Abdi akiwa mzima hapa na tena ukishindwa basi shingo yako halali yangu.


Baada ya kupigwa risasi ya sikio sneaper. Alikimbilia hospitali. Na baada ya kufika hospital akaaaza kupiga kelele akidai huduma tena alikuwa anapiga kelele mpaka manesi wakawa wanamuogopa kumsogelea kumpa huduma na ndipo akaja mlinzi ili kumtuliza lakini 

Mlinzi aliambulia ngumi zito na kuzimia hapo hapo.


Lakini alikuja doctor Frida na kumtuliza na kumuingiza katika ofisi yake na kumpa huduma ya kwanza.

Sneaper alikuwa anaugulia tu maumivu pindi Frida akiwa anamsafisha kidonda chake na ndipo Frida akampa pole mgonjwa wake .

"Doctor nimesikia kuna mgonjwa ambaye mulimuokota na amefikia katika hospitali ivi yupo wapi na jina lake anaitwa Abdi" aliuliza sneper huku akiugulia maumivu ya kidonda .

"Mimi mimi mbona si mjui uyo mgonjwa anae itwa Abdi". Alijibu doctor Frida .

"Doctor usinidanganya nimekuliza niambe ukweli. " aliuliza sneaper kwa jazba na kumbadirikia doctor Frida na kumkunja yunfomu yake ya kazi mpaka doctor akapatwa na hofu. Lakini akiwa amemkunja pale alikuja ismahili na kumsukimiza sneaper na kudondoka chini .


Na kumuliza frida yupo salama na frida akaitikia na kichwa . lakini sneaper alishangaaa kumuona mbaya wake yupo hai na ndipo alichukua chupa ya dawa na kumpiga nayo kichwani kwa 

Ismahili na ndipo ismahili alipandwa na jazba na askari na kumvamia sneaper na kumpiga kabari moja ya ukutani na kumnyanyua juujuju kwa mkono moja na kisha alikunja ngumi yake ilio kuwa zito na kumpelekea nayo sneaper Katika uso wake . lakini kabla ngumi ijamfikia usoni sneaper alisikia akiitwaaaa "ismahiiiliii .............
 

Post a Comment

Previous Post Next Post