RISASI YA KICHWA 06


Zaka alimnyonga moja kati ya walinzi ambaye alie kuwa ana Linda chumba cha Matibabu na kuchukua Bunduki ya yule askari alie muwa na bunduki ilikuwa imesheheni risasi zito zito. Baada ya kupata bunduki Zaka alimvua nguo yule askari wa magereza na kuvaa nguo za askari wa magereza na kuelekea secta nyingine ili akamtoe Genero Tonga 

Doctor Frida alikuwa anamuonea huruma Abdi kwa kupoteza kumbu kumbu lakin alimuwahidi utarudisha kumbu kumbu zako. Na ndipo alipochukua simu na kumpigia mjomba yake yule ambaye amemuokota Abdi ufukweni na kumueleza mgonjwa amesha amka na yuko OK.

Gerezani Zaka alisidi kuingia katika sector zile muhimu na maaskari hakuweza kumtambua kama huyu ni mfungwa bali walikuwa wanapeana saluti mpaka pale walipo fika katika zile selo za watu ambao walikuwa na makosa mazito mazito na ndipo aka ikoki bunduki yake na kupiga risai kama Tatu kwenye komeo La mlango na kisha akapiga teke mlango , na mlango ukafunguka na Hatimae ukamuona Genero Tonga Katika chumba chake akiwa ametulia Tu.

"Your are free kuanzia sasa Tonga" alizungumza Zaka huku akitabasamu. Na ndipo genero Tonga akasimama vizuri maana chumba alichukua kilikuwa chumba cha mateso .

"Umetumwa na nani kuja kutoa humu" aliuliza genero.

" mkuu hatupaswi kupoteza mda huu tunaitajika kutoka kabla jua alijazama.

"Sikia wafunguliwe wafungwa wote humu kama ulivo nifungua mimi ili tuweze kutoka . " alizungumza genero Tonga .

Na ndipo zaka akaaza kuwafungulia wafungwa wa kila idara na kuwambia mupo huru kuanzia sasa.
 
Na ndipo yakaaza mapigano ya ana kwa ana kati ya wafungwa na maaskari magereza. Walipigana kwa mkono by mkono na kila mfungwa alikuwa na askari moja moja na wengine wawili wawili na ndipo zaka akaenda katika ofisi ya mwana jera kwa ajili ya kumalizia mbali.

Mwanajera alikuwa hajiui hili wala lile yeye alikuwa yupo ofisini akilia raha zake kwa mfungwa moja ambaye alikuwa ni shoga na kufanya nae mapenzi kinyume na maumbile.

Na ndipo Zaka alingia kwa kufunja mlango na kumkuta mwana jera amemuinamisha moja ya mfungwa huku akiwa anakula Tigo ya mwanaume mwezie.

Mwana jera alistuka na kuliza.

"Umefata nini huku na umewezaje kuja hapa" aliuliza mwana jera kwa kutahaluki.

Zaka hakutaka maneno mengi alimshoot na risasi ya kichwa. Na mwana jera akafa hapo hapo na akabakia yule shoga wa kiume wakiwa ana tetemeka .

Zaka alimuangalia na kumwambia upo free.. Na kisha na akaondoka

Gereza lilichafuka kwa mauwaji ya mapolisi wa gereza na baadhi ya wafungwa nao waliuwawa .lakini genero Tonga aliondoka na wafungwa wote anapo pajua yeye.


Abdi alichukuliwa Doctor Frida na kupelekwa ufukweni wa bahari kwa ajili ya mazoezi na ndipo alimpeleka mpaka pale Abdi alipookotwa.

" hey ivi unapakumbuka hapa au unavo ona bahari unakumbuka nini"aliuliza doctor Frida huku akimuangalia Abdi.

"Hapana sikumbuki chochote mahala hapa yani naona tu kawaida" alijibu Abdi huku akimtazama Doctor Frida.

"Ivi jina lako unaitwa nani" aliuliza Tena doctor Frida .

"Mmh Mimi hata jina sina kabisa kwa ufupi sijui kitu chochote hapa" alijibu Abdi.

"Oh pole sana jitaid ule dawa zile nilizo kuandikia na utumie kwa muda muhafaka sawa eh" alimsisitizia Abdi anywe dawa.

 Na ndipo alimchukua Abdi na kumuingiza katika nyumba anayo ishi yule Babu . na ndipo yule babu alie muokota Abdi alisema ngoja awandalie chakula cha mchana. Lakina doctor Frida aliona bola yeye aishike nafasi ile ya kupika chakula cha mchana. Lakini wakiwa wametulia huku wakiangalia TV . Mara ilikuja taarifa ya habari na Katangwa moja ya gereza ya serikali wafungwa wametoroka wote na maaskar wa magereza wameuwa na pia mwili wa mkuu wa magereza umeuwauwa vibaya mno sana.


Genero Tonga na majeshi yake mapya alitoka nao gerezani. Walifika mpaka katika kambi yao na rose alifurahi sana na genero alizungumza maneno haya.


"Huu ni wakati wa kufanya mapinduzi nataka ni mtoe rais madarakani ........................



Sijui itakuaje na genero ameshatoka gerezani........

Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥 

Post a Comment

Previous Post Next Post