RISASI YA KICHWA 05






Rose alikwenda kuonana na Zaka ambaye alikuwa Babe kwenye gereza aliyokuwa Genero Tonga.

"Najua unifahamu Zaka mi ninani ila mimi naingalia sana familia yako sana tangu ulipokuwa gerezani kwa mda mrefu. Kwa ufupi familia yako ninayo mi kononi kwangu." Alizungumza rose huku akimtazama zaka.

" Niambie shida yako nini"? Aliuliuza zaka kwa kutaka kujua maana anaona rose anazunguka zunguka zunguka tu.

" Naitaji umtoe genero Tonga gerezani humu na ninakuhidi ukimtoa Genero Tonga Gerezani familia yako nitaiyacha huru. Lakini kuna kidonge na kugea hiki utakapo pata mda utakila kisha ukila itakupa njia rahisi ya kumua Genero Tonga." Rose alimpatia kidonge Zaka kwa siri hata walinzi hakuweza kutambua kama Zaka amepewa kitu mikononi mwake.

Zaka alipokea kidonge na kisha akakiweka katika mfukoni mwake na rose akatoa shukrani na kuondoka.

Baada ya kupewa kidonge na rose . zaka alikuwa anajifikiria sana kula kile kidonge! Alikitizama sana kile kidonge na kisha akaikumbuka familia yake jinsi anavo ipenda na kisha akakumbuka siku alivo uziwa diri na moja wa mtu ambaye aliekuwa katika serikali . mpaka akamponza na kuwekwa gerezani. Na ndipo alipo amua kula kile kidonge kwa hasila.

Kule hospital Abdi aliaza kupata uzima na kufumbua macho na ndipo doctor Frida alifurahi sana kumuona mgonjwa wake alieye mtibu amezinduka.

Abdi aliamka kitandani mwenye huku Frida akimshikilia na kumwambia pole pole.

Baada ya kula kidonge zaka. Zaka aliaza kupatwa na kizungu Zungu na Hatimae aliazwa na kutokwa na mapovu mdomoni mwake mpaka wafungwa walikuwa nae katika kelo moja waliaza kupiga kelele kwa kuitaji msaaada na kusema anakufa huku anakufa huku. Na ndipo maaskari wa gereza walikuja mkuku na kufungua selo aliyekuwa Zaka na kuwamrisha wa fungwa wa bebe mwili wa Zaka na wa upeleke katika chumba cha doctor. 

Rose alikuwa anamuweka sawa Abdi kitandani huku akizidi kumwambia pole kwa kumbeleleza . lakini Abdi alikuwa anajisihi maumivu katika kichwa chake. Na ndipo aliaza kuongea na doctor na kuliza hapa nipo wapi?.

Na ndipo Doctor Frida akachukua simu yake na kumpiga picha na kisha kumuoneshea Abdi na kumuliza

" una mjua uyu"? 

" hapana " alikata Abdi huku akiitazama ile picha kwenye simu ya Doctor Frida huku akijaribu kufuta taswila kama anaijua ile picha .lakini alikataaa katu katu.

Na ndipo Doctor Frida alimsikitia Abdi na kumwambia pole.....

Askari wa magereza huku akiwa wameshikilia mtutu wa bunduki walimfikisha Zaka katika chumba cha Matibabu. Na doctor wa gerezani akaomba abaki na mgonjwa tu ili aweze kumtibia. Na ndipo askari walitoka katika chumba cha matibabu wa kamuacha peke yake doctor na mgonjwa wake......

Doctor akaaza kuchukua kifaa chake cha kupima mapigo ya moyo na kuaza kumuangalia mgonjwa yupo katika hali gani lakini gafla zaka aliamka na kuchukua kitu kizito na kumpiga nacho doctor cha kichwa . na hapo hapo doctor hakuwahi kuomba maji alikufa!....... Na ndipo zaka alinyanyuka Kitandani na kuekelekea mlangoni na kufungua mlango na kumvamia askari moja aliekuwa nje ya chumba cha doctor na kumnyonga askariii..................


Itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post