RISASI YA KICHWA 04




muheshimiwa waziri alikuwa na hofu kubwa juu ya kukamatwa kwa genero Tonga na ndo yeye alimpa diri la kuwa kuna Mali sehemu Fulani zipo.

Katika Mali zilizo kamatwa pamoja na walifu . zili angalia kwa umakini na kuna mzigo moja wa mali ambao umepungua ambao mzigo uwo kulikuwa na dhahabu kubwa na zenye garama tofauti na zile ambazo zimepatikana na mzigo huo anao Nani..!


Yule mzee mvuvi alishangaa kumuona mtu ambaye ametokea baharini . na alijaribu kumuangalia mzima au ameshakufa lakini alikuja kugundua yule kijana bado ana hema na ndipo alipo amua kumpigia simu binti yake ambaye alikuwa doctor wa operation katika mji wao.


Baaada ya ile vita kule kwenye bandari vijana wa genero Tonga waliobakia warirudi katika kambi yao . lakini rose alikuwa analia sana kwa kumpoteza mpenzi wake Abdi pamoja na Baba yake ambaye ni genero Tonga . wakati Rose analia peke yake kwa kumpoteza mpenzi wake ampendae kwa kutegemea ameshakufa . sneaper alikuwa akimuangalia tu rose anavo tokwa na machozi. Na ndipo alipo amua kumsogelea na kum kumbatia na kumbeleza. Lakin sneapr alikuwa anaona rahaaaa kukumbatia na rose tena analilia katika kifua chake.

Pindi alipookotwa mwili wa Abdi ulipelekwa hospital haraka haraka na kuaza kufanyia matibabu na doctor wa kike mremboo aitwaye frida . yeye ndio alikuwa anaongoza operation ya kumtibia kichwa cha Abdi na kuitoa risasi ambayo ilikuwa imekwama katika kichwa cha Abdi. Baada ya kumaliza operation walimuekea maji pamoja na damu nyingi zilikuwa zime mtoka.

Muheshimiwa Rais baada ya kugundua kuna mizigo ilio patikana ila mzigo anao utaka yeye hakuweza kuukuta hivyo alimua kwenda gerezani kisiri siri ili uwandishi wasijue na kumuaji anafatilia sana mali zilizo ibiwa na majasusi.

Hivyo alikwenda kuonana na genero Tonga kwa ajili ya maujiano.

Katika kambi ya genero Tonga , sneaper alizidi kujikea ukaribu kwa rose na kumjari ili mradi tu awe wake yeye lakini aliweza kufanikiwa na kuweza kufanya mapenzi na rose kwa usiku moja na rose naye alikuwa kama ajitambui vile alijikuta anampenda sneaper kidogo kidogo na kubithi penzi lake kwa snepear bila kujua kuwa sneaper huyo huyo ndo aliweza kumpiga risasi ya kichwa Abdi.

 Waziri wa mambo ya ndani alizidi kupatwa na hofu kwa kusikia kwamba muheshimiwa rais kaenda gerezani kwa ajili ya maujiano . hivyo alimua kutafuta vijana ambao wateza kumkomboa genero gerezani. Na ndipo alikwenda katika kambi ya genero kwa sili sana kwenda kuonana na vijana wake genero.

Alikalibishwa na moja kwa moja alifika katika ofisi ambao alikuwa anaitumia genero . lakini ofisi inatumiwa na Rose mtoto wa genero.

"Rose nafikiri una fahamu kuwa Mimi na baba ako Tonga letu moja na Taka tusaidiane kumtoa genero Tonga " alizungumza waziri mambo ya ndani kwa ajili ya kutaka kusadiana kwa pamoja.

"Sawa mi nakubali ila usitokee usaliti wowote kati yetu maana tukifurugana tu nitabadirika." Alizungumza rose huku akimtiza kwa umakini vwazir.

Walikubaliana na wakapanga mikakati ya kumtoa genero gerezani.

Rose aliongea na sneaper kwa kutaka wasadiane kumtoa kamanda wao gerezani. Lakini sneaper alikataa kushirikiana na Rose kwa kudai Wazir Ataweza kuwauwaza kwenye serikali na mwisho sisi sote Tutaingia gerezani.

Rose alimshauli sana sneaper lakini sneaper alikataa katu katu kuungana na yeye. Na mwisho sneaper akamua kuchukua kundi lake linalo msikiliza yeye na kwenda kuungana na kundi lengine uko.


Katika gereza alilokuwa Tonga aliwekwa katika chumba cha peke yake kwa ajili ya kumuaribu kiisakolojia na pia hatoweza kuonana na mtu wowote.

Katika hospital alikuwa amelala Abdi alikuwa ajamka takiribani siku Tatu lakini doctor Frida alikuwa yupo karibu sana Abdi kwa ajili ya kumpa matibabu.

Rose alikwenda katika gereza ambalo kwa ajili ya kuonana na MTU ambaye anae weza kumsadia kumtoa genero Tonga.

Alionana na mtu ambaye alikuwa anaejulikana kwa jina la Zaka ambaye alikuwa mtu ambaye mwenye kesi nyingi sana za mauwaji na aliweza kuiba pesa benki lakini jeshi la porisi lilimtia mikononi.


 Baada ya kupata data zake za zaka. Basi rose aliaaza safari ya kwenda kuonana na Zaka ambaye ni Mtemi katika gereza alilofungwa genero Tonga na selo aliwekwa genero ni selo ya kipekee kwa ajili ya kumuadhibu genero.


Hospital Abdi aliaza kuanza kufumbua macho na kupata ufahamu lakini kwa batimbaya Abdi Kapoteza fahamu yani ajitambui yeye Ninani...........



  ITAENDELEA......... 

Post a Comment

Previous Post Next Post