KILIO CHA MDANGAJI 07



Tunaanzia tulipo ishiaa!!
ikasikika sauti ya mtu aliyekuwa kwenye kiza kinene,,maiko akastuka kwa woga, akaijkuta amesimama, mala ikasikika miguu ya watu ikija,,maiko alianza kutetemeka,,akajisemea mungu wangu naomba unisaidie nakufa Mimi!!
mala wakatokea vijana wakiuni wakiwa na mapanga na visu mikononi.
mmoja akasema**we tulia ivo ivo?
mwingine akaseme"""umetoka wapi usiku uu na unaenda wapi?,,kabla ajajibu,,akapigwa bapa la mgongoni!!  
maskini maiko akajikuta anaenda chini,,mwingine akamwekea kisu shingoni na kumwambia toa Kila kitu? 
Maiko_*tafazalini jamani mi Sina kitu,,tafazalini msinizuluu Sina kitu jamani,,(Huku akilia kama mtoto)Mwingine akaanza kumsachi mifukoni,,mala simu ya ke ikaanza kuitaa , mkewe alikuwa anampigia,,kwasabu alitoa vaiblasheni alipo kuwa chumbani,, akaitoa ili awape wasimzulu (maombi ya mungu ni dawa Tosha unapokutana na matatizo, kimbilio lako la Kwanza ni kumuomba mungu ata ukutwe na magumu kiasi gani mungu atakuokoa kwa njian yake, nakuomba usikate tamaa ktk maisha yako,ata kama utakuwa unapitia wakati mgumu kiasi gani ,, amin 
mungu yupo pamoja nawe!!
Basi ule mwanga wa simu u
lipo mmulika usoni akaonekana sula
Ikasikika sauti ya mmoja ya wale wahuni kutoka gizani!
oya mwache aende uyo mwanetu anatuungiaga maskani akipitaga,,wakamwacha wakaludi kwenye mitego yao gizani,!!
hapo ndo utakapojua mungu nani#
maiko mikojo ilimtoka bila kujijua alitoka mbio akajikuta yupo nje ya mlango wake,,akagonga mlango ,,, mkewe alikuwa sebleni akimsubili alistuka na kukimbilia mlangoni na kufungua.
mke,,*kalibu mume wangu
maiko**Asante mke wangu(akaingia na kukaa sebleni chini )
mke**nini kimemkuta mme wangu?mbona upo kwenye Hali kama iyo na umechelewa kuludi saa Tisa kasolo hii akimtazama ukutani ilipo kuwa saa!
Maiko**nimekutana na wahuni wamenikaba wamenichukulia Kila kitu mke wangu unge sikia nimekufa mumeo!
mke ""* pole me wangu kwa sauti ya talatibu Huku machozii yakimtoka,,Mali si kitu me wangu Bali uzima,,nilikuwa na hofu mda wote mkeo tazama ata chakula sijala, pole mme wang,,Ila nilikuombea kwa mungu maiko si unajua nakupenda,,(maiko kwa aibu akaitikia)
Maiko"**najua mke wangu
mke**"nenda kaoge mume wangu tuje kula.
Maiko akaingia bafuni nakuanza kuoga alipo maliza akawaza yote,, bila mke wangu kuniombea ningesha kufa !!! na kwanini nilitaka kumsaliti mwanamke anayenipenda!!! tena kwa kiasi kikubwa tena chenye upendo mkubwa,,nimepoteza pesa kwa ujinga wangu!! ambazo zingetusaidia kwa maitaji!
Akajikuta akilia tena kwa sauti bila kujijua.
mke akaingia bafuni kwa hofu
mke_*"maiko unalia nini? mme wangu!!
itaendelea
kama umeipenda like/coment
yutb,,soc mkali 

Post a Comment

Previous Post Next Post