KILIO CHA MDANGAJI 08


tunaendelea tulipo ishiaa,,
unalia nini? mume wangu(Huku akiwa ametahamakiii)
Maiko,,/akastuka akajibalaguza,,/
ah mke wangu ni hasila tu wamenikaba mi kidume kizima ntawatafuta!!
mkewe__*achana nao bhana mume wangu/kwa sauti ya upole/twende tukale,,wakafika sebleni wakala wakaingia chumbani wakapanda kitandani!!
mke,*vipi me wangu unataka nikupe ,,kwa sauti ya upole na unyenyekevu/
Maiko**Hapana mke wangu tulale nimechoka au ww unaitaji!
mke**nijukumu langu kukupatia haki yako ya ndoa Kila unapoitaji,,kwakuwa wewe ni mume wangu!!
Maiko**Asante mke wangu kwakuwa unalitambua hilo nakupenda sana mke wangu!
mke**Asante ata Mimi pia nakupenda,,basi fumba macho,,tuombe mungu!! ili tulale.
mke*"He mwenyezi mungu baba mwingi wa lehema,,tunakuomba kwa utii na unyenyekevu, utulinde Mimi na mume wangu usiku huu tulale salama na tuamke salama,,pia tunawaombea wagonjwa,,mayatima,,na wote wenye mitihani katika ndoa na maisha yao,,na pia wote wanayoisoma hii hadithi wape mafanikio katika maisha yao,,Amina
mke**tulale sasa mume wangu!
Maiko**sawa/wakala/
mke**usiku mwema me wangu!
maiko*"nawe pia mke wangu!
mke*"akafumba macho/maiko akamkisi kwenye paji la uso,,akamkumbatia,,akazima taa wakalala!!

Hasubuhi kulikucha maiko akaenda kazin,,mkewe akabaki nyumbani akifanya usafi halaka halaka si unajua mwanamke usafi,,amalize ili Naye haende kazin.
maiko akiwa kazin akimwadisia lafiki yake yalio mkuta.
maiko*"ndo ivo lafiki yangu yaani wee acha tu simtaki tena kushobokea wanawake,,ntatulia na mke wangu kaka nimepata funzo!
Sam*"pole sana maiko,,hii ndo dunian ukiendea pupa utapata malazi,,utaweza ata kufanyiwa vitendo vya uzalilishaji pindi ukifumaniwa,,shukulu maiko umepata mke,sio mwanamke?
ni hadim sana kumpata mtu kama huyo mkeo kizazi hiki wamebaki wachache,, mueshim mkeo mpende mjali,,wanawake wote ni sawa,,tatizo matunzo tu,,nikwambie kitu usichokijua maiko,,
ITaendelea
Like/koment
Yutb, soc mkali
Asante 

Post a Comment

Previous Post Next Post