KILIO CHA MDANGAJI 09


Tunaanzia tulipo ishiaa!!
usichokijua,,unaweza kumpata mwanamke mzuli,Ila mwanaume ovyo,,,unaweza kupata mwanaume mzuli lakini mwanamke ovyo, kimsingi kumuomba mungu tu!! Wakapeana mikono kwa kushauliana mambo mazuli Kila mtu akaendelea na shuguli zake
Basi Aisha aliendelea na maisha yake ya kudangadanga,, na kuwaibia wanaume kama kawaida yake,,ndio ikawa maisha yake ya Kila siku,,
Siku mmoja Aisha alikwenda bich akakutana na kijana mmoja mtanashati hend some ,,alikuwa amekaa pembeni ya bahali akipunga upepo uku akiwa na chupa yake ya maji uku akiwa anatafuna zake bisi,,Aisha alipo mwona akajipitisha mbele kwa malingo,,jamaa akamwona akamwita!!
shalishimali_hellow mlembo mamboo
Aisha*"safiii/akasimama/
shalishimali*""samahani unaweza ukaja tukakaa wote mlembo,,/Huku jamaa akivua miwani yake iliyomkaa vema usoni,
Aisha*""oh oh ok usijali inawezekana!
shalishimali*"oh mlembo ok kalibu!
Aisha*""Asante/akakaa na kuanza mazungumzo!!
Shalishimali*"*samahani tujuane unaitwa Nani vile mlembo!!
Aisha*"akiwa anatabasamu Mimi naitwa ,,Aisha bini abdalah!
shalishimali*""mh jina lako zuli kama ulivo wewe /Huku akimtazama usoni Huku akiwa anatafuna bisi!!
Aisha*"Asante"Huku akibetua midomo ,,samahani naweeee unaitwa Nani!!
shalishimali**naitwa shalishimali bin Khan!! 
Aisha*"mh ok jina lako zuli Ila gumu/Huku akilegeza jicho/
Shalishimali/mh yap ndo jina langu uku akicheka.
Waliongea mengi sana,,wakapeana namba ya simu wakanza kuwasiliana/siku Ile shalishimali alimpa Pesa nyingi sana ambazo Toka alivoanzaga kudanga hakuwahi kupata ,,Aisha alifurahi sana na Aisha akajisemea huyu ndo mwanaume wa kuishi Naye! siku zilizidi kwenda siku moja
Aisha akiwa nyumbani anampigia simu shalishi Mali!
hello beby mambo,,
Shalishimali*""poa nambie my sweet lv
Aisha*"ah nimekumis tu
Shalishimali*"hata Mimi 
Aisha*"beby Kuna kitu unaniuzi sana ujui tu!
Shalishimali*" ha ha ha ha 
Aisha*"unacheka unajua nini!
Shalishimali*"*najua!
Aisha*"mwongo bhana!
Shalishimali*" najua si unataka kujua Mimi napo ishi!!
Aisha*"'*akastuka /akajisemea moyoni amejuaje/ndio akaitikia!!
Shalishimali*"unachowaza wewe Mimi najua Aisha
Aisha*"*"kweli sasa kwanini utaki nikujuwe kwako unataka tu Kila siku tukutane bahalini my
Shalishimali**usijali my mda ukifika utapajua Ila iwe sili yako! mala simu ikakata !!

Post a Comment

Previous Post Next Post