KILIO CHA MDANGAJI 10


Tunaanzia ilipo ishiaa!!
simu ikakata,, ,asha akajiuliza kwanini huyu mtu Kila nacho fanya anakijua,,mh abwana we/akazalau akaendelea na mambo yake!!
siku zilizidi kwenda na mapenzi yalizidi kukuwa,,shalishimali bin Khan,alimpa Kila kitu Aisha alichotaka !!;
Aisha,,akiwa jikoni anapika chakula chake Cha usiku ilikuwa kama saa 3 hivi,,mala akasikia mlio wa simu yake ikiita sebleni,,akaweka vizuri pale jikoni na kwenda kuipokea simu!!
Aisha*"*hallow
mudi*"hallow pisi Kali!!
Aisha,,mh we Nani?
mudi*"*mudi !!
Aisha,*mudi mudi gani?Huku akienda jikoni akiwa anaongea na simu!!
Mudi*"mudi bhana deleva bajaji!!
Aisha*"*AAA nambie na we kubadilisha namba!!
mudi*"as siunajua sisi madeleva atunaga namba moja kuepuka usumbufu,,ukimpa no demu akianza kusumbua sumbua unabadili line apa ninazo kama Tano!!
Aisha*"'ha ha ha /,uku akiwa anaepua chakula kwenye jiko lake la gesi/nambie mudi!!
Mudi*"as mi nataka mapenzi na wewe Leo!
Aisha*"poa usijali unashingapi?
mudi*"15000
Aisha,*mh bhana ongeza dau!!
Mudi*"a a Aisha Sina bana fanya kunitunuku unanikaziaaa nakubebaga bule kwenye bajaji yangu unasahau yote hayo!!
Aisha*"poa tunakutana wapi!!
Mudi*"*njo mageto I!!
Aisha*"poa najaa!!
Aisha akakata simu akapakua chakula akala alipo maliza kula akaenda kuoga akavaa nguo zake,, akachukua simu yake na kuanza kutoka chumbani,,mala ikaingia mesage,. kutoka kwa shalishimali ,unakwenda wapi Aisha? nakupa pesa nyingi na Bado hauliziki?nachukizwa na umalaya unahoufanya,, !!!Niko njiani nakuja na nimekuletea zawadi nzuli ambayo ujawahi pewa maisha mwako,,
Aisha akajikuta anaishiwa nguvu na kukaa kitandani
Aisha*""oh mungu wangu,,,,
ITaendelea

Post a Comment

Previous Post Next Post