KILIO CHA MDANGAJI 11


Tunaanzia tulipo ishiaa,,
akakaa kitandani akaishiwa nguvu,,akiwa anajiuliza,,huyu anajuaje mambo yangu Kila nacho fanya anajua simu ikaita tena!!
shalishimali¥~hallow my!
Aisha*:"akapokea/hallow 
shalishimali*"~pole sana nakuona upo kwenye mawazo mazito!!
Aisha*;"*akastuka akajibalaguza//mh a a a amna bhana,,kijasho Cha hofu kikaanza kumtoka!;!
shalishimali'"* ha ha ha Aisha punguza hofu pia futa jasho linalokutoka!!
Aisha*':akazidi kuchanganyikiwa,,samahani my umefikaa wapi!!
shalishi Mali*"*'nipo mwenge nakuja/ilikuwa usiku kama saa 3**na robo!
Aisha**sawa akatazama saa ukutanii saa 3*"na dk16 sawa my nakungojaila usisahauu zawadi yangu!
shalishimali "*;sawa my usijali!!
simu ikakatwa,,
kaupepo kakaanza kuvumaa talatibu pazia zikaanzakuyumbayumba,,Aisha akasogea dilishani aone mbona upepo unavumaa,,akahisi labda Kuna dalili ya mvua ,,akafunua pazia akuona kitu zaidi ya ukimya tu uliotawala,,akaludi talatibu akakaa kitandani,, akiwaza,,mala mlango ukagongwaa,,mala mbili,ngo ngo 
 ,,Aisha akastuka na kutazama mlangoni,,
 akanyenyuka na kwenda kufungua, alipo fungua hakuona mtu,, akatoka mpaka nje akuona mtu ata dalili ya mtu,,akaufunga mlango na kuludi pale alipo kuwa amekaa,, mawazo yalizidi kumtawala.
  mala halufu nzuli ya malashi ikaanza kunukiaa,,chumba kizimaa na Kila ilivozidi kunukiaa ,,Aisha akajikuta anapata usingiz na akajikuta ana lala bila kujijua,
baada ya sekunde kazaa shalishimali bin khan alikuwa amekaa pembeni ya aisha akitabasam Huku mikononi akiwa ameshika kichupa kilichokuwa kimejaa damu!!
ITaendelea

Post a Comment

Previous Post Next Post