KILIO CHA MDANGAJI 12


tunaanzia tulipo ishiaa
Akiwa a kichupa Cha dam mikononi,,akakitazama chumba chote,,Kisha akamtazama Aisha ,,akapanua mdomo wa Aisha na kumpulizia punzii,,, Aisha akafumbua talatibuu macho na kustukaa!!
Aisha ✓we shalishimali umefika mda gani hapa!!
shalishi ;:mda uu nimekuja nimefika nimekuta umeacha mlango wazi my na ivi huu usiku huogopi wezii!!
Aisha*"'mlango wazii?
shalishi "ndiyo humelala usingiz mzito bila hata kujihelewa!!
Aisha%¥kila akimvuta picha ya kumbuka imekuwaje alale aache mlango wazi,,akatazama saa ilikuwa saa 3na 18 Kila hakivuta kumbukumbu ya maongezi ya nyuma hapati jibu,,
Shalishi"'unawaza nini my?
Aisha*"'amna my vp Kuna chakula kipo ngoja tule!!
Shalishimali*"a a a my nimeshiba hapa yaani we acha tu,,Ila naomba unipatie maji ya kunywa!!
Aisha"*:my umekula uko siho hapa kula hata kidogo Toka tumekuwa wote ujawahi kula chakula nilicho pika mpenzi wako!!
shalishimali""usijali mpenzi wangu kesho ntakwmbia chakula nachopenda unipikie sawa my!
Aisha*"sawa my Ila sijapenda au unahisi Mimi sijui kupika!!
shalishi*":sijamaanisha ivo my
baada ya hapo walipiga stori nyingi sana usiku huo,,baada ya stori walifanya mapenzi,,Aisha halifurahia tendo hilooo usiku
huo ,,Kuna michezo alichezewa ambayo Toka aanze kudanga ajawahi pataa,,usiku ulizidii
Aisha,,beby hasante kwa penzi lako!
shalishimali"*hasante na wewe kwa kushukulu nakupenda Aisha,!!
Aisha*"'nakupend pia my/kwa saut ya talatibu akiwa amejilaza pembeni ya shalishimali Huku akimchezea mustachi!
shalishi*"usiku umesogea zaidi tulale sasa!!
Aisha*"sawa beby Ila ulinihahidi zawadi yangu
Shalishimali"*a a ni kweli akanyenyuka na kusogelea shat alilokuwa ameliweka pembeni ya kitanda,,akaingia katika mfuko wa shat na kutoa kiboski kidogo,,akakifungua!!
shalishi "akakifungua na kutoa Pete ya zahabu na kumvisha kidoleni!!
Aisha *"'alifurahii sana na kumkumbatia,,,wakalala Ila ilipo fika hasubuhi,,Aisha akajikuta yupo pekee yake na Pete yake!!
ITaendelea. 

Post a Comment

Previous Post Next Post