KILIO CHA MDANGAJI 13


Tunaanzia tulipo ishiaa!!
Aisha alipo hamka hakumkuta shalishimali,,akashangaa ,,akatazama kulia na kushoto lakini hakumuona,,Ila Pete yake ilikuwa vile vile kidoleni ikin,gaaa!!hakaitazama ilikuwa nzuli tena imemkaa kidoleni!!
Kila hanavowaza hapati jibu,,basi Aisha alihamka hakaendelea na shuguli zake za Kila siku,,akaanza kufanya usafi chumbani kwake,,alipo kuwa anafanya usafi juu ya dressing table yake alikuta pesa nyingi tena mpyaa zikinukia,,
Aisha alistuka sana Ila halifurahii kwa zile pesa!!
hakachukua na kuziihifazii Huku akijisemea nakupenda shalishimalimy nataka huwe me wangu wa maisha,,kwa nini nilichelewa kukupata
Aisha*"*:hakaendelea na mambo yake hakapika chai,hakanywa,, hakaoga akaamua ajipumzishe ndani!!
simu yake ikaanza kuhitaaaaa!
Shalishimali*""hallow
Aisha*''hallow my
Shalishimali*"huhali gani my wangu!!
Aisha*"'salama my wang,,hivi my jana umehondoka mda gani!!
Shalishimali*"ha ha ha ha ha kwanini unaniuliza ivo my?
Aisha*"'mh jana sikujua hata mda gani umehondoka,,mana nachokumbuka tulikuwa wote tumelala Ila sikumbuki mda gani ulihondoka my!!
Shalishimali*"';ujue nini my wewe unatatizo la kupoteza kumbukumbu!!jana nimehondoka saa 6 na wewe hukanifungulia mlango na kunikisi na nikakupa pesa hukaweka kwenye dressing table mymy hukumbuki?
Aisha*"'mh my mh sikumbuki haya tuhachane na hayo nambie !!
Shalishimali*"'sasa sikia my jihandaye Kuna mtu anakuja kuku fata my naitaji uje nilipo Mimi!!

Aisha*";'sawa my!!
Halijihandaa akamaliza kama dakika kaza ,,gari moja ya kifahali ikafika nje ya nyumba Ile aliyokuwa hakiiishii Aisha! sijui deleva alipajuhaje pale!!
shalishimali hakapiga simu!!
hallow!!
Aisha"'hallow my!!
Shalishimali*""Toka nje my Kuna gari linakusubili!
Hakatoka hakuhamini macho yake halihona Gali moja ya kifahali hakasogea!!,,hakashuka dereva moja mtanashati mwalabu mwenye kunukia malashii, hakamfungulia mlango wakaingia galini na kuhondoka!
je? niwapi? Aisha anapelekwa?
ITaendelea
kome 

Post a Comment

Previous Post Next Post