KILIO CHA MPANGAJI 14

Tunaanzia tulipo ishiaa.
Asha akiwa kwenye gari,,wakiendelea na safari yao wakafika sehemu flani, Kuna jumba kubwa zuli lililokuwa pembezoni mwa bahari, dereva akasimamisha gari wakashuka na kuingia ndani.
shalishi*"*oh Aisha kalibu sana apa ndo napoishi Mimi!!
Aisha*"Asante,,Asante sana /anakaa chini kulikuwa na zulia kubwa,,afu Kuna Kila kitu tena vitu vya thamani sana,, Aisha akabaki akipepesa macho Huku na kule,,yule dereva aliwaaga na kuondoka akawaacha.
Aisha"*beby nyumba kubwa kama hii unaishi pekee yako!
shalishi*"'ndiyo my apa ndo kwangu Ila nataka nikupe wewe hii nyumba, Mimi Sina siku nyingi nitasafiri kuelekea Dubai!
Aisha*:!Asante my Ila utaniacha pekee yangu sa utakaa mda gani my?
shalishi*"';sijajua my Ila ntakumisi sana Aisha!
Aisha*"ata Mimi nitakumis pia.
^wakakumbatiana na mwisho wakapeana tendo la ndoa,,wakati huo tayali Aisha alishakuwa mjamzito na anaujauzito wa shalishimali!
Ilipo fika asubuhi Aisha aliludishwa nyumbani kwake na shalishi Mali,akampatia zawadi nyingi na pesa zakutosha!
siku zilienda na mapenzi yalizidi kukuwa na ujauzito ulizidi kuongezeka miezi!
Shalishi*"akampigia simu Aisha! hallow my!
Aisha*"hallow beby
shalishi*"uko wapi!
Aisha*"nipo nyumbani my
shalishi*"mh Aya Ila mi Leo ndo safari yangu naitaji uje nikuage my meli inaondoka saa7!
Aisha*"jamani my da sawa nije wap?
shalishi*"njo tukutane bandarin fanya halaka my!
Aisha*"'sawa nakuja my!akajiandaa akakodi Tex mpaka bandarin alipo fika akapiga simu.
Aisha*"hallow
shalishi*"hallow
Aisha*"nimefika upo sehem gani!?
Shalishi*"we upo wap au umesimama wap!
Aisha*""apa getini!
shalishi*"ok Kuna mtu anakufata!
yule yule deleva akamfata kwa kuwa anamjua akampeleka alipo shalishi alikuwa amekaa pembeni ya bahari mbali na watu kidogo!
Aisha,*oh my mbona umekaa uku peke yako!
Shalishi*"napendaga utulivu,,je unapakumbuka mahali hapa?
Aisha*"hapana!
shalishi*hapa ndo siku ya Kwanza tulipo kutana uliponikutaga nimekaa nakula zangu bisi!
Aisha*"mh nimepakumbuka!
shalishi*"Aisha Mimi naondoka Ila sitoludi tena kwamana Mimi sio binadam kama unavofikilia,,
Aisha*"akastuka unasemaje?
shalishi*"akasogea kwenye maji,,na kuyachota na kunawa usoni,,sekunde akabadilika na kuwa kitu la kutisha,lenye mikucha minywele macho mekundu Aisha akaogopa na kuanza kutetemeka!
Shalishi*"akasimama tena na kushika maji tena akabadilika!!
usiniogope Aisha Mimi nilitumwa Toka ujinini nije nikuwe kwa Tabia yako ya uzinzi na umalaya wako unajua sisi majini atupendi watu wenye Tabia mbaya Ila ata Mimi nilikupenda,, japo Kuna azabu inaningoja nimekiuka
 nilichotumwa,, apo ulipo una ujauzito wangu siku ya kujifungua uyo mtoto muuwe kwa mikono yako,,maana ukimwacha atakuja kuangamiza watu wasio na hatia hata uyu anayesoma ii Hadith,,hii ni lazima Wala sio Ombi tazama kule **akaona watu kama 5 wakiwa kwenye maji wakimtazama kwa asira Aisha!
shalish':wale ni ndugu zangu wamenifata,,basi Sina jinsi ya kukwambia nakutakia maisha mama Ila zingatia nilivokuambia.
shalish' akazama kwenye maji na wale watu wote wakapotea.
Aisha akaanguka chini na kupoteza faham!
je, Aisha atatimiza agizo la kumuuwa mwanae ? au atakubali Azae ili watu wasio na hatia safe?
itaendelea

Post a Comment

Previous Post Next Post