KILIO CHA MPANGAJI 15


Tunaanzia tulipo ishiaa,,
Muda mlefu ulipita Huku Aisha akiwa chini amelala, wavuvi wawil waliotoka kuvua samaki wakapita pale alipokuwa amelala Aisha!!
juma*"shebi yule si mtu amelala pale,,
Shebi"*"ndiyo ebu twende tukamwangalie,/wakafika/
juma*"'mh maskini afu ni mwanamke tena mjamzito sijui amekumbwa na nini?
shebi*"mh afu mapigo ya moyo yanadunda kwa mbali?
Juma*"mzima huyu ajafa, unaonaje tumsaidie tumpeleke hospital!
shebi*"mh sio msala u,u,u akitufia njiani? tutaeleza nini? si ndo tutaonekana tumemuuwa,,aha tuachane Naye tusijitafutie matatizo yasiyo na ulazima twende zetu juma!
Juma*"mh shebi hata vitabu vinakwambia tenda wema azina kwa mungu,,kafa ajafa yote anajua mungu kikubwa tumsaidie ebu vaa viatu kama angekuwa ndugu yako,,acha roho iyo tumsaidie bhana!
Wakampa msaada adi hospitali akaludi kwenye Ali yake ya kawaida akawashukulu wale wavuvi akaludi nyumbani kwake uku akiwa na mawazo sana,,
Siku zilienda na maisha yalisonga Mali zote alizoachiwa zilipotea kimiujiza ata pesa ziliisha ata Ile Pete ya thamani aikuwepo tena ,,maisha
 yalibadilika yakawa magumu sana Huku mimba yake ikizidi kukuwa.
Kutokana na mimba kukuwa na kukosa msaada akaamua kumpigia sim mdogo wake Toka kijijini kwao tanga ili aje ampe msaada alifika maisha yakaendelea.
siku ya ijumaa Aisha alipatwa na uchungu
Aisha*agi najisikia vibaya ebu kaite bajaji mnipeleke hospitali!
Agi"*sawa dada/akaenda akaludi na bajaji na kumpeleka hospitali.
Aisha*"agi nenda apo nje ya hospitali kaninunulie kisu halaka nataka kuingia wodin!
Agi*"dada kisu Cha nini tena?
Aisha*'agi staki maswali nasema nenda na fanya kama nilivokuagiza sawa?/anaongea kwa ukali
Agi"*sawa dada/akaanza kuondoka/
Aisha*"agi njo akikisha akioni mtu chukua na weka kwenye mkoba huu sawa?
Agi*"sawa/akaondoka akiwa na mashaka na maswali kichwani,,kisu Cha nini wakati anaingia wodini,,afu kwa nn asikione mtu mh hii ataliii
Agi akafanya kama alivoelekezwa.
Aisha uchungu ulimuanza halak 

Post a Comment

Previous Post Next Post