KILIO CHA MPANGAJI 16 MWISHOOOO


Tunaanzia tulipo ishiaa,,
police wa kike akasogea mpaka pale kitandani kwa Aisha na kukwambia!!
police✓hongera kwa kujifungua salama Aisha!
Aisha✓asante,,Asante sana!
police✓aisha mi naitwa afande tedi natokea kituo Cha Kati,,nimeagizwa nije nikukamate kwa iyo upo chini yaulinzi!
Aisha✓nimefanya nini jamani afande!!
police✓we twende kituoni utajua uko uko kosa lako?/uku akimfunga pingu/Aisha alianza kulia sana watu wakawa wanamshangaa amefanya nini.agi akiwa ameenda kuchukua chakula anapoludi anakutana na Yale mazingira ya kukamatwa dada yake,anastuka Ila akajikaza!
Aisha✓agi mbebe mtoto!!/ wakaingia kwenye gari na kufika kituoni!! 
mkuu wa kituo✓natumain we ndo Aisha,
Aisha✓ndiyo Mimi afande!
mkuu wa kituo✓kuna kesi inakukabili?
Aisha✓ipi afande!
mkuu wa kituo✓akavuta droo na kutoa kisu,,hichi kisu unakifaham?
Aisha✓kimya
mkuu✓nakuuliza aujibu swali gum au!?
Aisha✓mh hapana afande!
Mkuu✓unadanganya tena unaongeza kesi sio?
Aisha✓nisamehe afande kweli ninakijua nichakwangu!
mkuu✓unashitakiwa kwa kosa la kukutwa na silaha wodini wewe ni mualifu ulitaka kuwazulu wenzio,,afande chukua uyu mtu peleka mahabusu! na hakuna zamana juma tatu mahakamani.
Aisha alipelekwa mahakamani akakutwa na hatia ya kesi ya kukutwa na silaha.
basi agi akakabiziwa mtoto aludi nae nyumbani.
baada kama wiki kupita alitembelewa na mpelelez gelezani kutaka kujua kwanini alikuwa na silaha wodini!
mery*pole kwa matatizo yaliyokukuta rafiki
Aisha*Asante 
mery*itabid uyazooee Aya ndiyo maisha yako mapya Aisha!
Aisha*"ah Sina budi kuyazoeya itabid iwe 
mery*"samahani Aisha unajua matatizo Ni sehem ya maisha na matatizo ayawezi kuludisha nyuma,,ah Mimi ni mtetez wa haki za kibinadam napenda kuku saidia na kukutoa umu ndan Kwan natambua una mtoto mchanga anaitaji uduma yako!!Nina swali juu yako plz usinifiche niambie ukweli niweze kukusaidia!kwanini uliingia na silaha kwenye wodi ya wazazi!
Aisha*ni Jambo zito a Kwanza Mimi maisha yangu yote niliwekeza katika biashara ya kuuza mwili wangu yaani mdangaji,/Huku analia/nilidanga sana nikaja kupata mimba nilipo kuja kudanga na mwanaume Jin ambaye ndo uyo mtoto aliyezaliwa,,
yule mwanaume aliniambia pindi natakapo mzaa mtoto nimuuwe kwa kisu kwa maana atakuwa si binadam na nisipo fanya ivo uyo mtoto atakuja kuwazulu watu wasio na hatia,
mery*"akashusha punzi,ee ikawaje
Aisha*"ndo mana nilibeba kisu nimuuwe mtoto,,Huku akilia machozii
mery*"pole sana ee
Aisha**yule mtoto akikuwa atakuja kuleta shida tafazalini nawaombeni nendeni mkamuuwe yule mtoto Huku akilia! nimeemzaa kwa uchungu sitaki dam za watu zimwagike
basi waliongea mengi sana mwisho wakajadili wakamchukua Aisha na kwenda nyumbani kwake kumfata mtoto ,,walipo fika walikuta agi akiwa amelala uku dam zikiwa zina mtoka akikalibia kukataa roho dada ake alifika na kumuuliza
Aisha*"mdogo wangu nini kimekukuta jamani
Agi*"mtoto wako dada amebadilika amekuwa jitu la kutisha ndo limenifanya hivi
Aisha*"maskini mdogo wangu kaelekea wapi!
Agi*"alitoka nje dadaaa akakata rohooooo! Aisha alilia sana akajisemea hii ndo faida ya umalaya,,mdogo wangu umekufa,na nimezaa mtoto jini na Mimi nakwenda jela!
Basi polis wakawasiliana na ndugu zake wakaja kuchukua mwili na Aisha yeye akapandishwa kwenye gari na kuludi gelezani.
**""****Mwisho*""'''
Asanteni kwa wote mlio fatilia mwanzo mpaka mwisho!!
Onyo mtoto wa Aisha ajulikani alipo!!na akujulikana ni mwanaume au mwanamke kwa iyo 
wanawake wenye Tabia za umalaya kazin mnayo!!
Na wanaume wagoni kazin mnayo ipo siku mtakumbana Naye!
yutb soc mkali
koment,like
maoni ushauli 

Post a Comment

Previous Post Next Post