DADA MAMU 18

Ile nilijiona napata laana kutembea Na ndugu wa shangazi angu lakini niliona hakuna undugu wa mbali saana ikiwa mtoto wake Naweza kumuowa sembuse ndugu yake vyovyote vile nwenyewe kaamua kunipa utamu sasa kunahaja gani ya kuogopa utamu ule niliisemea tu kimoyo moyo
Nilipakua chakula taratibu nakuendelea kula wakati huo da pammy alikuwa jikoni na Dada mamu wakiongea kwa vile nilikuwa na njaa hata sikuwa nikifatiria maongezi yao niliendelea kupakia matonge kwa namna tofauti huku nikishushia na maji yalikuwepo pembeni ya sahani yangu

Niligonga msosi kweli na hatimaye tumbo lilikubali mziki ule na hata kasi tena ilipungua na hapo nilitafuta beseni la kunawia maji taratibu na kuhisafisha mikono yangu kabla sijapeleka vyombo vile nilivyokuwa nikilia jikoni mhh nilingia jikoni huku vicheko vikiwa vinawatoka da pammy na Dada mamu ambapo muda mfupi tu niliweza kubaini uswahiba ule sikutaka kudili sana niliweka vyombo vile na kutoka ila wakati natoka kunajambo nilisikia Dada mamu akimwambia da pammy linishitua kweli 

Mmh niliona sasa linaweza likawa tatizo kwangu kwa dada mamu amwambie da pammy jambo lile inamaana walikuwa wananiteta tangia niliporudi na kama si kutwa nzima kipindi ambacho nilikuwa shule au vipi mmh haya inamaana walikuwa wanipeleza mpaka kwa kila nilichokuwa nakifanya kutofunga zipo tu imekuwa nongwa je? Ningekuwa sijavaa mjupi ndani ingekuwaje na mijicho yake dada mamu ilifata nini kwenye maeneo yangu ya ikulu au walikuwa wanachunguza ukubwa wa fimbo yangu nini we waache tu nitawachapa wote wakiniletea ujinga ujinga nilijisemea yale maneno huku nikitambua wazi wanafahamu vyema utamu wa fimbo yangu.Nilipiga hatua na kuelekea sebureni na kuiwasha tv huku nikitafuta kipindi ambacho ninakipenda cha music bahati nzuri nilikutana na ngoma kali hivyo nilizidisha sauti ya juu kidogo huku nikitumbua yangu macho kwenye tv huku nikitingisha Kichwa changu kuashiria kile kilichokuwa kinaimbwa kwenye ile tv kimekonga wangu moyo si masihara

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post