SIMULIZI:MAPENZI YA KWELI HAYAFI*TRUE LOVE❤ NEVER DIE* 1

Katika Kijiji cha ya Gombanila walikuwepo vijana wawili vijana hao walitoka katika familia tofauti tofauti mmoja aliitwa Juma na mwingine aliitwa Hamis,, Katika kijiji hicho cha gombanila vijana hao walikuwa walipendana sana na waliweza kusaidiana kwa hali na mali ,Juma alitoka familia ya kitajili lakini Hamis alitoka katika familia ya kimaskini, 
   Songa nayo hivi ndugu msomaji sitori hii yenye mkasa wa kusisimua .
 
           Ingawa wote walitoka katika familia tofauti tofauti waliishi kwa Amani sana bila kubaguana na kutengana ,Ilikuwa siku moja hapo kijijini gombanila palikuja mgeni kutoka mjini mgeni huyo alitoka jijini Dar es salaam alikuwa ni binti mzuri aliye kuwa na umbo nzuri na la kuvutia kwa kila mwanaume katika kijiji hicho aliyeweza kumutia machoni mwake hakika binti huyo kila alipo katiza hakukosa kusifiwa na kuambiwa ni mzuri binti sanaa na watofauti katika kijiji hicho. 

Post a Comment

Previous Post Next Post