JAMANI ANKO 02💖


Ilipoishia Sehemu Ya Kwanza 


“Jamani ankoo!!” nikamsikia akizidi kulalamika 
Nikazidi kupampu kwa juhudi ili asinisahau tena maishani mwake. 
Ile wazungu wanataka kuja na yeye akajipandisha juu zaidi. Akanisukuma kwa nguvu. 
He!! Mara nikajikuta hewani, nikataka kurudi chini ikawa ngumu. 
Mara macho yakafumbuka, nilikuwa nimeanguka na kiti changu darasani, wanafunzi walikuwa wanapiga kelele. 
Wengine wakinizomea, wengine wakinisikitikia,,,,,, ile kujitazama suruali yangu ilikuwa imevimba haswa na wasichana walikuwa wakinitazama. 
“Joshua yaani unaota mchana kweupe hivi mdogo wangu?? Tena unakoroma kama kondoo looh!!” lilikuwa swali kutoka kwa madam Jesca. Ebwana eeeh!! Ilikuwa aibu, kichwa kikaanza kuuma nikatambua kuwa nilijibamiza vibaya nilipoanguka. Na mawalimu niliyemuota nd’o kilikuwa kipindi chake sasa!! KISWAHILI 

Looh!! Yaani utamu wote ule kumbe nilikuwa naota Joshua mimi aaargh!!! 
Japokuwa ilikuwa ndoto lakini ule ulikuwa UTAMU MTUPU….. 
Sema ilikuwa noma sana maana nilitaniwa sana hadi shule nzima ikajua kuwa niliota nafanya mapenzi nikashtuka nishajimwagia tayari!!! 

ENDELEA.......... 

Siku hio sikua na raha hata kidogo kutokana na kile ambacho kimetokea darasani.... Kwani hata tulipoitwa pared kwa kengele mimi sikua na raha, tena nilikua natazama chini kwa aibu, na kila mwanafunzi alinitolea macho mimi.. Kiukweli siku hio ilikua kama balaa kwangu,.... 
Muda wa kurudi majumbani ulifika na kuruusiwa kwenda majumbani mwetu... Moja kwa moja sikutaka kupitia kijiweni kama ilivyo kawaida yangu, bali nilinyoosha mpaka nyumbani ili nikawahi kuzifua nguo zangu ambazo niliweza kujichafulia kwa ndoto ile ya kutoka kimapenzi na madam jesca, 
"mbona leo mapema hiv kuna nini huko kijiweni" 
Huyo alikua ni mama yangu akiniuliza kuhusiana na kurudi kwangu nyumbani mapema, mana amezoea narudi nyumbani saa mbili hadi saa tatu kutokana na kazi ambazo nakwenda kufanya baada ya kutoka shuleni, 





Hali yetu ya kimaisha ilikua si nzuri kabisa, na ndio mana wakati wote shuleni nilikua nawaza mengi sana na kushindwa kufanya vizuri katika masomo yangu, 
"aah mama, leo nimewahi ili niweze kufua nguo zangu, mana si unajua leo ni alhamis" 
Nilijitetea kwa kusema leo ni alhamis, japo nguo hazikua chafu, ila mimi ndio nilikua najua uchafu huo umetokana na nini.... 
"sawa,... Lakini mwanangu, leo vitumbua havijauzika kabisa, yani hata pesa ya unga ndani hakuna... Fanya fanya uende kijiweni upate hata elfu mbili tu ya unga... Mana mdogo wako nae akirudi shule atalalama njaa" 
Maneno ya mama yaliniumiza sana moyoni mwangu na kujikuta nikiachana na swala la kwenda kufua, 
"mbona unarudi tena" 
"mama wacha niende kijiweni tu" 
"basi ngoja nikufulie ili zikauke kesho usikose shule" 
"hapana mama nitazifua nikirudi" 
Nilikataa mana nguo zangu zilikua zikitoa harufu fulani hiv ambayo sikutaka mama ajue harufu hio, 

Niliweka nguo hizo chumbani kwangu tena nilizificha sana ili hata mama akitaka kuzifua asizione zilipo, Baada ya kufanya hivyo, nilitoka na kuelekea kijiweni kuangalia rizki ya jioni hio,... Ikiwa ni mida ya saa 11 kasoro hivi jioni 
"aaaaahhh wakusomaaaa nambie dogo" 
Walikua ni mabraza zangu wa hapo kijiweni ambao ndio wananilinda sana na vikazi kazi vidogo vidogo vya kukikimu na maisha 
"poa broo shkamooni" 
Katika kijiwe hicho mimi peke yangu ndio nilikua mdogo mana kila mmoja wao ana mke na familia, hivyo mimi ndio nilikua mdogo sana.... 

"sasa broo, naomba gari nikacheki mbili tatu apo kati" 
Ukiskia naomba gari usidhanie ni gari kama gari, bali namaanisha mkokoteni... Basi nilichukua mkokoteni huo ambao ni kama naukodisha kwa shilingi elfu moja ya kitanzania, afu kama nitafanikiwa ndio nimlipe ila nikikosa basi... Nilielekea maeneo ya stendi ambapo kunakua na shamra shamra nyingi sana za pilika pilika za maisha,... Mungu nae si asumani kweli nilipata kamzigo ka kupeleka sehemu flani hivi.... Na kupata angalao kapesa ka kujikimu kwa siku hio, 

Hio ndio ilikua kazi yangu kila nirudipo shuleni, yaani toka niingie kidato cha tatu mapaka sasa nipo kidato cha nne, kazi yangu ni hio...... 

Siku miezi ilikatika na shule nilikua naendelea vizuri japo ni kwa shida kwani hata masomo hayakua yakipanda kabisa kwasababu ya kuwaza leo nitapita njia gani ili niweze kupata chochote cha kupeleka mdomoni, 
"joshua?, joshua?, we joshua wewe" 
Aliniita mara kadhaa na hatmae kunishtua katika wimbi kubwa la mawazo, 
"ndio, madam" 
Nilionekana kusinzia mana hakuna hata somo niliokua nalipenda.... 
Aliniita alikua ni madam leila mwalimu wetu wa chemistry, 
"ivi zoezi langu umefanya kweli, au umekuja kulala tu" 
"oooohhh sorry madam, ngoja niliandike" 
Madam leila alionekana kunionea huruma kwa vile jinsi nilivyo, ila hakuongea sana zaidi ya kunisikitikia, Aliondoka nami nikijifanya kufungua begi langu ili niweze kuandika, lakini niliona kama najiinjoi tu kufanya hivyo, kwahio niliacha kuandika zoezi la madam leila... Ilikua ni mida ya saa 7 hivi tunatoka kwa ajili ya kupata lanchi, mimi sikua nimechangia pesa za chakula, hivyo hata kwenda kantini ilikua ni ngumu kwangu mana hakukua na shea yangu,... 

Nilizunguka nyuma ya shule na kutulia.. Tena nilikua nimetulia kwa huruma sana 
Ghafla madam jesca aliniona kwa mbali sana, na aliweza kunifuata mpaka pale nilipo, ukumbuke kua ile skendo ya kuota nikiwa na madam Jesca ilishaishaga hata shuleni walishaisahau, mana ni miezi kadhaa imepita toka kutokea kwa tukio lile lilionidhalilisha takribani wiki mbili nzima, mpaka wakanipa jina la chandoto, mpaka leo wananiita chandoto, mana walijua siku ile nilikua naota, 
"joshu, mbona uko hapa peke yako, bp wewe huendi kula" 
Kiukweli madam Jesca nampenda sana tena nampenda kupita kiasi ila je? Nitampataje, hivyo sina budi kumueshim tu,
"madam. Si unajua mimi hua silipagi mchango wa chakula, tenaa sio mara ya kwanza bali yapata mwezi wa tatu huu sijawahi kulipa chakula kabisa" 
"lakini joshua, wewe si una wazazi" 
Madam niliona kama ananichosha sana na hata kumjibu kwa hasira siwezi mana kajaa katika moyo wangu, hivyo ni lazima nimjibu kwa usatarabu kidogo, 
"madam Jesca, hali ya nyumbani si nzuri kwani hata pesa ya.... " 
"basi... Nimekuelewa" 
Madam Jesca kama alijua kua kuna kitu ningeongea kinachohusu maisha, hivyo aliniwahi kunistopisha kuongea, 
"nashkuru kwa kunielewa madam" 
"ila nakuomba unapokua shuleni, punguza mawazo yako,... Na sasa mkiingia tu naenda kuandika zoezi langu la kiswahili hivyo tuliza akili... Utafeli joshua" 
"sawa madam, nimekuelewa" 
"ok, nenda kantini utapewa chakula, hata kama hujalipia" 
Niliona daahh afadhali kwa kuambiwa hivyo mana nilikua nina ubao kinoma, hivyo nilikurupuka na kukimbilia kantini huku nikimuacha madam Jesca akinisindikiza na macho tu,... 

Baada ya kumaliza kula wanafunzi tukawa mapumziko katika miti, shule ilitanda wanafunzi kila kona.... Shule hio ilikua ni karibu na barabarani,.... Sasa nilipopiga jicho kule rodi niliweka kumuona mmoja kati ya wale mabraza zangu wa kijiweni, akiwa anasukuma mkokoteni uliojaa magunia ya mahindi,... Nilichepuka kidogo na kwenda kumsalimia mana hata nikirudi shule lazima ningefika kijiweni, 
"aaahhh broo vp leo inaonekana kuna noti leo" 
"aaaaaaaahhh dogo?... ebana dogo leo kuna hali ya neema sana leo..." 
"wacha bwana" 
"skia we ukitoka school, kachukue ile mago moja tusombe haya mahindi" 
"aahhhh bro mi sijali hata sasa hivi naweza fanya hivyo" 
"aaaahhhh joshuu jali shule mdogo wangu" 
"kaka, najali shule sana ila maisha ndio yananiangusha kaka" 
"ok we fanya utakavyoweza ila leo hela ipooo" 
"ngoja basi niwai kijiweni" 
"fanya chapu" 
Ilibidi siku hio niwe mtoro wa shule yani niliyoka shule kabla ya masaa kufika,... Nilikwenda kijiweni nikaweka begi langu la shule, na kuchukua mago moja (mkokoteni) Kishanikaungana na wanakijiwe wenzangu katika moja ya kazi waliokua wakiifanya, nilifanya kazi mpaka ilipofika saa 11 jioni, nilikua nimechoka sana kupita kiasi,... Na siku ya leo kweli kulikua na neema ya kazi... Yani leo nyumbani watakula ubwabwa kwa furaha tu, mana nyumbani sikumbuki ni lini mara ya mwisho kula ubwabwa, 

Sasa tukiwa hapo kijiweni tumemaliza kazi ya kusomba mahindi kutoka godauni flani kwenda lingine, mana hayakua mengi kiasi cha kuita gari, zilikua ni hunia chache tu.... Sasa nikaona kuliko kupoteza muda hapa kijiweni bora nikaangaze macho stendi nikiwa na mago yangu.... 

Kiukweli joshua mimi nilikua ni mtu wa tabu sana katika maisha yangu, na sidha kama nitafanikiwa kimaisha, na sikua nikijiskia uchungu kila nionapo matajiri mana nilihisi umaskini kwangu ndio nilioumbiwa nao hivyo siwezi kuukwepa,.. Nilifika stendi pale nikatega mago yangu ili kuwatega wale wanaorudi safati na kuhitaji usafiri wa kubeba mizigo yao, nilikua katika mawazo mengi sana kuhusiana na maisha yangu, nilikua nimelala juu ya mago (mkokoteni) Ghafla niliamshwa na kibao kilichotua kwenye mguu wangu 
"wewe unalala lala nini amka uchukue kazi ile" 
Alikua ni mmoja kati ya makondakta wa mabasi 
"ikuapi kazi broo" 
"muwahi yule mama pale" 
Niligeuza mago yangu na kuelekea kwa yule mama alieonekana kua na mzigo mkubwa sana wa kubeba, mana alikua ana nazi maembe na vitu vingi sana ambavyo ametoka navyo safari... 
"kaka niitie Kirikuu (gari aina ya Bajaj ila ya tairi nne)" 
Alimuambia konda mmoja ambae alikuepo maeneo hayo.. 
Mara yule alienishtua mimi ndio akaongea nae 
"dada, usijali dogo uyu apa atakufkishaia mzigo wako" 
"lakini mimi nilitaka Kirikuu ili niende nayo" 
Nikaingilia kati kibiashara zaidi 
"samahani mama nitaifikisha hata kwa maelekezo tu" 
"mmmhhh nyie vijana wa arusha nyie mnaaminika nyie?" 
Yule konda alidakia juu kwa juu 
"dada, kweli arusha kuna wezi lakini sio wote, na ndio mana akajiajiri kupitia mkokoteni wake huuu" 
"kwanza bado mdogo huyu" 
"lakini sister kikubwa si mzigo ufike? Mpe rizki apate kula huyu" 
Aahhhhhh yule konda alinipihia debe sana mpaka mwenyewe nikafrai kimoyo moyo... 
"dogo patania bei apo mi napita ivi" 
"thenx sana bro" 
"usijali.... Ila uaminifu wako ndio nguzo yako ya maisha sawa dogo" 
"poa broo" 
Aliondoka yule konda na kuniacha nikiwa na yule mama 
"enhee utanipelekea kwa shing ngapi" 
"ni wapi mama angu" 
Nilikua naongea nae huku nikivipakia kwenye mkokoteni wangu, vilikua ni vizito lakini nilikua najitutumua mpaka vipande ili hata ile kauli ya kuasema huyu bado mtoto ife 
"sio mbali sana... Niii pale mtaa wa jamhuri pale" 
Nilistuka kuskia anaishi mtaa wa jamhuri... Jamhuri ni mtaa wa kitajiri ile mbaya yaani kama ni dar utasema ni mbezi mbezi kule au Ostabei... Yaani ile mitaa ya kishua,... Basi nilipakia ile mizigo yote 
"mama kama ni pale utanipa elfu kumi na tano tu" 
"sawa... Ngoja nitangulie na toyo utanikuta pale kwenye kona sawa" 
"sawa mama" 
Nilijijutia kwa kitaja pesa ndogo mada kumbe mtu mwenyewe hana tabu wala nini,... Daahhh nilitamani nimuite ili nianze upya kuongea bei, lakini nikaona labda huenda ni rizki yangu niliopangiwa na mwenyezi mungu,.... Ilikua inaendea mida ya saa 12 hivi... Ila kamwanga bado kapo, Kweli mama yule nilimkuta mahari aliponambia kua nitamkuta akinisubiria, 
"nyumba yangu ni ile pale" 
Alinielekeza kwa kidole huku kama akitabasam flani hivi, na mama huyu alikua sii haba mahabuba mungu alimjaalia upande wa huba... Kaibika mpaka kaumuka, ila kwa mimi nilikua kama sioni maumbile mazuri kutokana na hali yangu ya kimaisha, mana najua mademu wakali hupata watu wenye fedha zao,... Jumba la huyu mama lilikua ni bonge la jumba sio mchezo, yaani ni jumba haswa, basi mtoto wa kiume nikaanza kujitutumua kwa kushusha mizigo... Kuna yale magunia ya nazi nilikua siyawezi vizuri 
"jamani angali usiumie ankoo" 
"haina shida mama" 
Nilijikaza mpaka nikaliingiza ndani, doh!! Mpaka mwili ulikua ukiuma kwa mzigo mzito nilioubeba, Baada ya kumaliza kazi yangu nilitoka nje haraka haraka, mana hio nyumba hata nikisimama najihisi sio hadhi yangu hata kidogo, 
"mbona umetoka haraka hivyo Anko" 
"aaahhhh nilikua nina haraka kidogo" 
Nilidanganya kua nina haraka lakini wala sikua na haraka, sema nimeogopa kukanyaga tailizi ya watu kila mara 
"pole" 
"asante" 
"Afu anko, we unapatikana wapi wewe mana nina mdogo wangu nae anakuja keshokutwa na ana mizigo pia" 
"aaahhh kijiwe chetu kipo pale jirani tu na stendi" 
"oohhhhh ila una simu, ili iwe rahisi kukupata siku hio" 
"hapana sina mama" 
"ooopss.... Ok sio tabu, unandai kiasi gani" 
Nilitamani kuongeza kiwango tofauti na tulivyoelewana lakini nikaona sio vizuri kuongea Biashara mara mbili, 
"ni elfu kumi na tano tu mama" 
"mmmhhh ooooookeeeeeeeee.....chukua hii hapa" 
"lakini mama mi nilikuambia ni elfu 15 tu" 
"usijali we chukua hio, mana umeumia na mizigo... Afu ivi umechukua matunda ya kupeleka nyumbani" 
"aaaahhh usijali mama nitanunua tu" 
"hapana bwana kwanini usichukue matunda na nazi umpelekee mama" 
"usijali nitachukua siku nyingine" 
"basi njoo kesho mchana kama saa nane hivi" 
"sawa mama" 
Hatukukawia kuagana, lakini ghafla yule mama akanishika chuchu moja ya kifua changu huku akisema 
"ooohhhh sorry, nilijua ni kauchafu kameganda" 

USIKOSE KUFATILIA SEHEMU YA MWISHO 

Itaendelea...... Sehemu Ya Mwisho 

Post a Comment

Previous Post Next Post