JAMANI ANKO 03💖MWISHOO


Ilipoishia Sehemu Ya Pili 

"lakini mama mi nilikuambia ni elfu 15 tu" 
"usijali we chukua hio, mana umeumia na mizigo... Afu ivi umechukua matunda ya kupeleka nyumbani" 
"aaaahhh usijali mama nitanunua tu" 
"hapana bwana kwanini usichukue matunda na nazi umpelekee mama" 
"usijali nitachukua siku nyingine" 
"basi njoo kesho mchana kama saa nane hivi" 
"sawa mama" 
Hatukukawia kuagana, lakini ghafla yule mama akanishika chuchu moja ya kifua changu huku akisema 
"ooohhhh sorry, nilijua ni kauchafu kameganda" 


ENDELEA.............. 


"haina shida mama" 

Siku hio kwangu ilikua nzuri sana kwani hata hela ya kijiweni sikuhangaika nayo, nilirudisha mago au kwama la watu, kisha nikaingia mahari kwenye kamwanga kisha nikaanza kuzihesabu, 
Yule mama alinipa shilingi elfu 50 keshi, Kiukweli toka kukua kwangu sijawahi kuzishika kwa mara moja kama hivi,... Nilichokifanya ni kuingia dukani na kununua kilo 10 za mchele na kilo 10 za unga,... Afu nikapitia buchani na kichukua kilo moja ya nyama, mana tupp watu watatu tu nyumbani...... Siku hio mama yangu alikua na hofu sana juu ya vitu nilivyokuja navyo, 
"joshua mwanangu, umetoa wapi pesa ya kununua vitu vyote hivi" 
"mama, leo nimefanya kazi sana" 
"muongo joshua, mbona kila siku hufanyi hivi" 
"leo kulikua na kazi nyingi sana mama angu" 
"mwanangu angalia lakini usije ukaiba baba sawa eee?" 
"siwezi kufanya hivyo mama.. Siwezi" 
Basi siku hio kama bahati, hata mdogo wangu wa kike aliporudi shule alikuja na tatizo la kipesa shuleni kwao, basi na hilo nalo nikalimaliza.... Siku hio tulikula ubwabwa kwa nyama, yani ilikua kama sikukuu kwetu..... 

Kesho yake sikua nimeenda shule bali nilikua naisubiria ile saa 8 ya kule kwa yule mama, 
"Joshua leo shule huendi" 
"mama jana nilifanya kazi ngumu sana yani mgongo unaniuma huuoo" 
"mmhhh sawa ila kesho usiache kwenda" 
"sawa mama" 
Daahhh nilimdanganya mama yangu huku nikiwa na shauku ya kufika kwa yule mama kule, 


 haikua mbali, ilifika nami kwa mama sikuchelewa yani juu ya alama nipo nje ya geti mpaka yule mama alicheka sana kwa kuniona jinsi nilivyojali muda, 
"karibu anko" 
Mama alinikaribisha kwa tabasamu na wakati huo nilivaa kishamba sana,... Alinikaribisha mpaka ndani... Mama alifungua friji na kutoa juice moja nzitoooo khaaaaa sijawahi kuinywa juice hio, Mama alinipa huku akiniangalia kama mtu mwenye jambo flani na mimi,... 
"iv unaitwa nani anko" 
"naitwa joshua mama" 
"ooohhh joahua.... Joshuuuu" 
"ahahahahaahha" 
Nilijichekesha baada ya mama huyo kuliita jina langu kwa mbwembwe.... 
"mama, jana nilikuta kuna watoto hap vp mbona leo siwaoni" 
"ooohh wamekwenda shule mpaka saa 11 ndio wanarudi" 
"oookeee, haya mama mimi naondoka" 
"sasa unaenda wapi joshua, afu mi nataka nikuite anko tu si sawa" 
"lakini mama" 
"sitaki hizo lakini zako... Hebu kaa kwanza" 
Nilikaa tena mana niliamka kwa kutaka kuaga ili niondoke, 
"sawa" 
"mbona umekaa mbali hivyo, au mi nang'ataga eee" 
"hapana sina maana hio" 
Ghafla mama alianza kunisogelea huku akiwa kang'ata lipsi zake, nilijisogeza ili kumkwepa mana nilijua alikua anataka nini 
"nini sasa anko, mbona kama sio mtoto wa kiume" 
"lakini mama, mimi bado ni mwanafunzi" 
"mwanafunzi?? Mwanafunzi wa kidato cha ngapi" 
"cha nne" 
"khaaa sasa mbona unafanya kazi za mikokoteni" 
"ni maisha tu mama angu, wala sikupenda" 
Mama alishusha pumzi kubwa na kuangalia chini kama mtu anaetafakari kitu 
"sasa sikia, mimi sitaki ufanye hio kazi tena, na kama ni shule mimi nitakugharamikia sawa" 
"sawa" 
"ok, tunaweza kutoka kidogo" 
"sawa" 
Aliingia chumbani kwake na kuvaa bizuri kisha akatoka,... Aisee hapo uwani kwake kumejaa magari hayo duuuu.... Alichukua gari moja na kutoka nalo nikiwa nae dereva ni yeye mwenyewe, tulikua tukielekea mjini kati ila sikujua tunaelekea wapi,... Nilishanga kuona tunasimama kwenye bonge moja la dox (duka la nguo) Mi mwenyewe nilikua naogopa kuingia humo ndani, mana duka lenyewe nilikua naliskia tu likitangazwa kwenye redio, sasa leo ndio tumeingia.... 

Kiukweli mama alinipiga shopping ya ukweli,... Baada ya kupiga shopping ya nguo alinipeleka saluni, nikaenda kupiga bonge la mshevu, afu nikafanyiwa sclubing ya uso, yaani nilipendeza mpaka nimejisahau kua huenda nikawa sio joshua ninaejijua.... Mana nilikua nimependeza hemsamu kasingiziwa,.. Tulipotoka hapo nikaingia kwenye duka la vitu vya shule, nikavuta begi moja kaliii, afu sijasahau yunigom kama pea tatu hivi na viatu vya kutosha, tai za shule... Kila kitu cha shule kwangu kilikua ni kipya,..... Heeeeee nilishangaa tunaingia mpaka kwenye duka la simu, mungu wangu mama alininunulia simu moja kali aina ya Samsung Galaxy S6 simu ilikua kubwa... Yani mimi hata nokia tochi tu yenyewe sijawahi kuitumia je? Huu mtachi nitauweza kweli?... Ila sikuikataa ile simu tena nilionesha kuipenda japo sijui alitoa kiasi gani mana hizo pesa zilikua ni nyingi mno... 

Tuliingia kwenye gari kisha mama akaniuliza 
"vp anko, kuna tulichosahau kweli" 
"hapana mama nadhani kila kitu kipo sawa" 
Nilijikuta naanza kumueshimu huyu mama kama mama yangu mzazi,...  
mara simu yake ikaita.. Ila sikuskia walichokua wakiongea, hivyo ilimfanya awe na haraka ghafla ghafla tu, 
Alitoka kule mbele kisha akaja huku kwenye siti za nyuma, 
"anko.... Naomba upende shule sawa" 
"sawa mama" 
"afu anko ushaanza kunieshimu ee" 
"ndio, tena nakuheshimu kuliko unavyofikiria" 
"mimi sitaki iwe hivyo" 
"kwanini mama" 
"kwasababuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu" 
Alinisogelea na kunikiss mdomoni kisha hakuridhika, akaninyonya na ulimi wangu, hivyo tukawa tunanyonyana ndimi zetu, alijikuta ananogewa na kusahau kama tupo ndani ya gari.... 
"oooohhh sorry anko, unajua sitaki kukuchanganya akili yako... Ila nitakusubiri mpaka umalize shule na nitakusomesha mwenyewe kwa gharama zangu" 
"asante mamy" 
"naomba usome sana sawa anko... Afu kila juma pili njoo nyumbani kwangu.. Nikupe posho ya kujikimu na familia yako sawa" 
"sawa" 
"alafu kingine cha muhimu kwangu... Naomba usiwe na uhusiano wa kimapenzi na mschana yeyote yule, ukifanya hivyo tutagombana" 
"hapana siwezi kufanya hivyo mamy" 
"ok ngoja nikuitie tax mana nimepigiwa simu kuna mahali nahitaji kuwahi" 
Mama aliita tax ikanichukua mpaka nyumbani, wakati huo nimeushikilia mfuko wangu wa suruali uliojaa hela nyingi kweli kweli,.... 

Dereva tax alinishusha nyumbani huku mama yangu akiangalia ni nani anashushwa hapo nje mana hata nguo zangu za zamani niliziacha kule dukani, nilikua nimevaa kisharobaro hata mama angu hakunijua.. 
Nilishuka na kuingiza vitu ndani, kwani dereva yeye alishalipwa pesa ya kunileta huku hivyo aliondoka zake... 
Mama alikua anashangaa tu ninavyoingiza vitu ndani, 
"shkamoo mama" 
"marahaba ujambo" 
"sjambo" 
Mama alikua haniamini amini kama naweza kua hivyo nilivyo..... 
Baada ya kuingiza nguo zote ndani mama nae aliingia na kuanza kuhoji 
"mi najua ushaanza kua jambazi... Haya niambie leo umevunja duka gani" 
"mama, ondoa mawazo Potofu juu ya mtoto wako" 
"joshua mwanangu, asubuhi umetoka tofauti afu sasa hivi umekuja tofauti... Na nilianza kukutilia shaka toka jana.... Mmmhhh.. Mwanangu, kumbuka 40 zikifika utafungwa wewe" 
"mama hii ni kazi mama wala siiibi" 
"na ngoja kesho niende huko kijiweni kwenu, lazima nijue unafanya kazi gani na mumeenda kuibia wapi" 
"sawa kawaulize.......... Haya leo tule nini mama" 
"nani ale hela ya kuiba" 
"duuuuuuu mamaaaaa..... Kwahio basi umasikini tuliumbiwa nao, kana kwamba hata njia ya pesa nikiiona nisiipite si ndio" 
"sina maana hio mwanangu, ila ni ghafla sana.... Au ushajiunga na hao mafremason wenu" 
"aaahhhh sasa unakwenda mbali mama... Ebu ngoja nilete nyama upike pilau leo" 
Kwanza niliingia chumbani kwangu na kutoa lile bulungutu la hela na kuanza kuzihesabu, 
Zilikua zapata laki tatu na ushehe... Kwangu zilikua ni pesa nyingi sana kua nazo,.......... 
Basi mama nilimueka kikao mida flani pilau likiendelea kuiva hivi,... Mama alikubali na kesho ndio nakwenda shule nikiwa smati, mana yunifom ni mpya, tai mpya kiatu kipyaa, begi jipyaa kalamu yenyewe ni ile ya bei gali sio hizi za mia mbili mbili, madaftari ya zamani yote nimechoma moto, sasa hivi ni makaunta tena makubwa kweli yani watanikoma na hivyo siwazi tena maisha... Nilikua nakiona kidato cha tano hiki hapa.... 

Kesho yake asubuhi ndio nilikua naingia shule, tena niliwahi number ili siku hio niwe sina kosa lolote,... Ile asubuhi subuhi wanafunzi hawakunijua mana nilikua kimyaaa, niliingia zangu darasani na kutulia mpaka ilipofika saa 2 muda wa pared baada ya usafi,... Huezi amini pared nzima nilikua naonekana mimi tu, mpaka sir John alikua anashangaa, na kuniita 
"samahani kijana hebu njoo mbele" 
Huezi amini hata sir John hakunijua kua mimi ndio joshua, 
"afu... Khaaaaaa wewe si joshua wewe au nakufananisha" 
"ndio mimi mwalimu" 
"khaaaaaa...... Umevunja kibubu nini... Aahhh hata ungevunja usingefikia hapa" 
Hata wanafunzi leo walinishangaaa, yule joshua wa zamani aliekua bogazi wa kuota ota hivyo ndio huyu..... Daaaahh 
Mara madam leila kafika huku akiwa nae hakunijua, ila sir John ndio alimwambia 
"leila... Unamjua huyu" 
"kama namfananisha hivi" 
"unamfananisha na nani" 
"kama chandoto vile.. Lakini wamefanana ee" 
Sir John alikaukia kucheka mwanzo mwisho baada ya madam leila kunifanisha.... Nilishangaa kutomuona madam Jesca, japo alikuepo kwa muda tu hapa shuleni, sasa sijui keshaondoka? 

Basi tuliruusiwa kuingia darasani, na hatmae zoezi la kwanza lilikua ni la madam Jesca, nilifrai sana kumuona madam Jesca, alipomaliza kuandika aligeuka nyuma na kutuuliza 
"iv joshua na leo hajaja shule" 
Aliuliza na wanafunzi wakakaukia kucheka mana joshua wa sasa sio yule wa zamani, hivyo.... 
"aaaaahhhh pumbavu sana wewe... Jinga kweli, leo imependeza mpaka nimekusahau" 
Aliongea hivyo nami niksmwambia tu asante,...  

Basi kila siku ilikua ndio mapigo yangu, nilivutia sana kwa wanafunzi wa kike, wengi wao waliokua wakinidharau, leo walikua wakijigonga kwangu, lakini mimi sikua na habari ila shida yangu ni madam Jesca peke yake, aliesababisha kueibika siku ileeeeee,..... 
Siku zilizidi kwenda na madam Jesca nilikua namteka taaratibu bila ya yeye kujua, mana nampenda sana kutokana na uzuri na umbo lake, jinsi lilivyogawanyika.... 

Siku moja nikiwa narudi zangu shule, niliskia naitwa kwa nyuma 
"joshua, we joshua" 
Alikua ni madam Jesca ndio alikua akiniita huku akicheka cheka hivi 
"yes madam" 
"yani siku hizi umekua jeuri ee" 
"kwanini madam" 
"yani mwalimu wako nabeba begi umeniangalia tu" 
"oooohhhh sorry madam, hata hivyo nilikua mbele" 
"kwanini usingekuja kulichukua staff" 
"aahhh sikujua kama ungelipita njia hii" 
"yaani siku hizi hata kuongea umekua mjanjaaa" 
Basi nilimseidia mkoba wake ambao kaekea daftari zake, nikaona hii njia sio ya kuiacha kabisa, 

Nilifika hadi nyumbani kwake ambapo alifungua mlango na kuingia ndani, nilihisi labda ni ndoto tena, 
"karibu uketi" 
Madam Jesca alipangisha selfcontena, yaani kajuma ka rumu kadhaa,.. Na sio rumu moja kama nilivyoota siku zile, 
Madam aliuchukua ule mkoba wake na kutaka kuupeleka chumbani kwake, lakini nilikataa nao na kudai kua nimpelekee, 
"jamani joshua, utaingiaje chumbani kwa mwalimu wako" 
"kwani unafuga nini uko chumbani kwako" 
"iiiiiiii baba mi sifugi kitu, twende ukaone kama kuna kitu" 
Hio ndio ilikua tiketi yangu ya kuingia chumbani kwake, niliingia chumbani hapo na kujikuta jicho langu likatua kwenye kaukamba kalichopo hapo ndani ambacho kalikua kamejaa chupi za madam Jesca ambazo kila akioga huziweka hapo, jicho lilitua hapo na kunifanya nianze kutembewa na damu kwa spidi,... Madam Jesca alikaa kitandani kwake nami nikakaa, 
"haya lete umeshaufikisha" 
Nilimuangalia kwa jicho la huba mpaka akaangalia chini kwa aibu 
"madam" 
"mmmhhh" 
"zile chupi ni zako zote" 
"heeeee we joshua wewe tabia gani hio ya kuangalia nguo zangu" 
"samaani kama nimekuudhi madam" 
"usijali, coz najua mwanaume kamili huwaje" 
Madam Jesca alitoa khanjifu yake (leso) na kuanza kujifuta jasho maeneo ya shingo 
Nikampokonya ile khanjifu kisha nikaanza kumfuta mimi, madam alikua anaangalia chini kwa aibu ya kutokuniangalia, afu uzuri unazidi kuimarishwa na shingo yake, ilioweka pingili tatu kuashiria afya ndani ya mwili wake, nilikua namfuta jasho mpaka nikawa napitiliza 
"joshuuu huko nako wapi tena" 
"samahani madam" 
Nilikua nataka nifute jasho lililotiririka katika mstari wa kifuani kwake, sasa akagoma mi nifanye hivyo, 
"iv madam? Unajua siku ile nilifanyaje pale darasani" 
"ile siku ulianguka afu sjui ulikua unaota" 
"yes, siku ile, ile ndoto ilikua inakuhusu wewe" 
"weeeeeee... Inanihusu kivipi" 
"nilikua na wewe kitanda kimoja...... Ulikua ni mtamu sana madam." 
Maneno hayo yalimfanya madam aangalie chini kwa aibu, na kushindwa kunitazama usoni, 
"kwaio kumbe mimi ndio nilikusabishia uanguke" 
"ndio" 
"pole.... Eti joshu, poleee" 
Yaani hio pole ungeisikia huko ilipotoka, heee yani kama ni wewe ungezimia,... 
"nikuulize kitu madam" 
"uliza tu usijali" 
"ivi unapenda sana mi niote si ndio" 
"aah aah No spendi uote joshuuu, tena kama ningelikua na uwezo ningee ningee ningeee au basi" 
"ah ah... Madam please malizia sentensi yako please" 
"bwana joshua, hio sentensi haina maana yeyote ile" 
"naomba tu uimalizie please" 
"mmmhhhhh... Ok Nilitaka kusema kua... Ningelikua na uwezo ningeifa;ya ile ndoto yako kua kweli" 
Nilicheke kihuba huba afu nikamswalika 
"kwani sasa hivi huezi" 
Madam aliangalia chini huku aking'ata kucha ya kidole chake, 
"lakini joshua?" 
"lakini nini Jesca, please naomba ufanye ivyo please Jesca" 
Madam Jesca aliyanyanyua macho yake juu na kuniangalia kwa mapenzi mazito, nami pia nikamwakalia vivyo hivyo,... Alitabasamu kisha akanipa ile leso, kumaanisha kua niendelee kumfuta jasho mpaka zile sehemu alizokataa, Ghafla alizungusha mkono nyuma ya mgongo wake na kufungua zipu ya kiblauzia chake, kisha akabakia na kile kilichozuia matiti peke yake.... Jamaa au mshkaji wangu alianza kusumbua ndani ya suruali yangu,.. 
"joshuuuuu" 
"eeeeennnhhh" 
Nilikua naitikia Utafikiri sina meno vile 
"naomba nikunong'oneze please" 
"sawa" 
Tulinyanyuka wote huku mimi nikimpelekea skio na kumuuliza 
"iv madam na hii ni ndoto au" 
"kwenda ukoo, ndoto itoke wapi uko" 
Basi Jesca au maadam Jesca anivuta skio na kuniambia kua... 
"si ulitaka kazi ya kufuta jasho wewe au?" 
Alininong'oneza hivyo nami nikamjibu kua 
"ndio nataka" 
"sasa skia, mpenzi wangu.... Nina jasho jasho Huku ndani ya chupi, ila staki uifute na leso please joshu wangu. Eee?.." 

MWISHO!!!!! MWISHO!!!!! MWISHO!!!!!! 

Post a Comment

Previous Post Next Post