DADA MAMU 08

Lakini kwa uwoga uwoga wakutaka kufahamu jambo lenyewe linahusu nini nilimuuliza ilianiambie nikitu gani ajabu da mamu hakuwa tayari kuniambia jambo lenyewe kwamuda ule. Nikaona isiwe tabu kama mwenyewe ameniambia hata hicho kitu ataniambia tu kwa muda wake.
Hivyo nilitoka mule ndani kwake na kuanza safari ya kwenda kumpokea dada ambaye hata nilikuwa sijawahi kumuona ila, nilishapewa namba zake za simu kwa namna ile ilikuwa rahisi kumfahamu mgeni yule. Nilichukua boda boda mpaka stendi dakika chache nilikuwa nimeshafika eneo lile nikaenda sehemu za kusubiria abilia. Nilikaaa kama nusu saa hivi simu yangu iliinza kuiita nilicheki ni namba ngeni ambayo nilifahamu vyema uwenda ndio ya mgeni mwenyewe niliyetumwa nije kumpokea,

Nilibinya kiganja changu kwenye kibonyezeo cha kuipokea yangu simu alafu nikaiweka sikioni kusikiliza sauti ya upande wa pili. Sauti mzuri ya mtoto wakike ilisikika vyema kwenye yangu masikio.
“Hello nani mwenzangu”. “Mimi hapa ndio tunashuka kwenye gari”, nilisikia upande ule wa pili. “Ok umepanda gari gani?”, nilimuuliza haraka tu akinijibu ni BM na kwasababu sikuwa mbali na eneo lile nililiona vizuri gari lile nikaanza kulifata moja kwa moja lilipo. Huku nikiendelee kuongea na simu ile iliniweze kubaini mgeni mwenyewe ambaye mama alishaniambia ni dada angu ndugu Na shangazi yangu.
Kwasababu ni mdogo wake wakuzaliwa nae. Nilipiga hatua chache tu niliweza kubaini mgeni mwenyewe “mmh”, hata sikuamini mdada yule alivyokuwa ameumbika hatari , hata nilipomfikia mdomo wangu ulikuwa mzito hata kunyanyuka niliongea kwa kikigugumizi. Hata mwenyewe aliliona lile machoni mwake , nilipokea mizigo yake na kuutafuta taxi iliyopo karibu na hapo safari ya kuelekea nyumbani ilianza. Haki yanani mdogo wake Aunty yangu alikuwa yuko vizuri mbaya , nilianza kumjengea picha mautamu yake hata sikuyapatia taswira yake kabisa tu zaidi ya kumezea mate.

Dakika chache tulifika nyumbani dada mamu alikuja kutupokea mizingo na kuipeleka chumbani kule ambapo paliandaliwa kwa jili ya mgeni yule ,hakika dakika kadhaa tu yule mgeni alituzoea tukaanza kupiga story.

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post