DADA MAMU 09

chache tulifika nyumbani dada Mamu alikuja kutupokea mizingo na kuipeleka chumbani kule ambapo paliandaliwa kwa jili ya mgeni yule ,hakika dakika kadhaa tu yule mgeni alitozoea. Maana alikuwa anaongea huyo mno nilifahamu vyema uwenda ni kariba yao watu wachalinze maana nilishawahi kuuambiwa na moja ya rafiki zangu ambaye uendaga chalinze kwa bibi yake basi watu wakule ni waongeaji alafu ni wachangamfu sana.

Hivyo muda mchache alitozea kama vile alikuwepo pale zaidi ya wiki mbili hivi. Tuliendelea kumwonesha mazingira ya nyumbani kwetu pale ili aweze kujua kama atapa shida yoyote asishindwe kujua cha kufanya , mdogo mdogo huku nikiwa na mamu ambaye nilimuona wazi yu myonge juu ya ujio ule. Na hata sikujua shida nini ila mimi sikujali nilianza tu kumfikiria balaha lile lililokuja nyumbani muda mfupi “huyo dada sasa hizi lawama” ijapokuwa nilikuwa nawaogopa wanawake ila sijui kiroho gani cha ujasiri kilikuwa kimenishika
kumfikilia mgeni yule, wee! si masihara hata kidogo nilijiuliza uwenda na hiii ikawa tamu !!!! lakini sikupata jibu. Muda ulienda wakati huo dada mamu alishaivisha chakula tiyari hivyo alitupakulia chakula mezani na kutukaribisha mimi na mgeni , tulielekea mezani na kuanza kula niliendelea kula huku nikimtazama sana usoni mwake kama vile nashangaa kitu fulani niliendelea kupiga matonge huku nikiwa na mtazama hadi alijistukia nilivyokuwa na Mtazama alinishangaa “vipi wewe unashida gan?” aliniuliza dada Pammy ambaye kwa makamo alikuwa mdogo tu hata mimi uwenda nilikuwa nimempita ila siunajua tena watoto wakike wanakuwaga na miili mikubwa ukilinganisha na umri wao. Dah! Akiniambia neno lingine ambalo nalo lilinifanya ni tayari. Hata mkono ulishindwa kunyanyuka na tonge kwenye yangu sahani. “Mmh dada pammy yamekuwa hayo sasa unaonaje aibu wakati mimi mdogo wako” ,nilijisemea kimoyo wakati aliponiambia kuwa anaona aibu kwa jinsi nilivyokuwa nikimtazama . Nilibaki tu mdomo wazi hata hamu ya kula yote ilinishinda nilianza kuyafikiria maneno yake wakati huo da pammy alikuwa akiendelea kula.
Nilitulia tuli bila hata ya kusema neno lolote lile.

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post