DADA MAMU 10

Mara dada mamu naye alikuja kujumuika nasi ,kufika tu mamu alitumbulia jicho la wivu akiashiria ajapendezea Na ukaribu wangu Na da Pammy Na kujua ataibiwa tamu yake nilijuwa wazi nikutokana hali ile hivyo niliamua kunawa tena hata sikutaka kuendelea na chakula. Kwa upole nilinyanyuka mahali pale, moja kwa moja nililekee chumbani kwangu.nilijifungia kimya sikutaka hata kufahamu nje kinaendelea nini kwa wakati ule.

Nilifika chumbani moja kwa moja nilijitupia kitandani kutokana na kuchoka na kale kamchezo nilichocheza jana karibia kutwa nzima na asubuhi ya leo hivyo kujitupa kule usingizi haukutaka kuniacha hivi hivi. Usingizi mzito ulinichukua hatima yake nilikuja kustuka kigiza kimeingia wakati huo kwa mbali nilizisikia sauti ambazo tiyari nilikuwa nimeshazielewa. Zilikuwa sauti ya aunty yangu na yule mdogo wake da pammy wakipaza sauti kwa furaha ilionekana watakuwa wanapiga soga za kwao chalinze .
Sikutaka kudadisi sana nilitoka kitandani na kuchukua taulo , na kuelekea bafuni ubaya sasa chumba changu mimi hakikuwa mbali na chumba cha da pammy sehemu ambayo ukimaliza tu unakutana na bafu hivyo.lazima upite eneo lile ndio ulifikie bafu. Hivyo na maongezi yao ya kikuda kuda niliyasikia vizuri ila sikutaka kusimama kuendelea kuyasikiliza mimi nilichapua hatua na kulifikia bafu nilioga dakika chache tu na kisha nilijifuta nakujifunga taulo langu. Nilifungua mlango wa bafuni na kutoka ahamadi sura yangu ilikutana ana kwa ana na Da pammy ambaye alionekana kuwa amebanwa na haja uwenda kama si ndogo basi kikubwa ,hivyo nilimpisha huku nikiwa kimya ila cha ajabu nilitazama maeneo ya mbele kulikuwa kumevimba aiseeh!!!. Sijui ndicho kilimfanya anitazame vile mimi sikuwa na habari hata sikumwangalia nilipisha tu nakuelekea chumbani kwangu.

Nilibadilisha nguo na kujiweka sawa vizuri , nilivyohakisha niko powa nilitoka na kuelekea sebuleni ambapo hakuwa na mtu 

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post