DADA MAMU 11

Nilibadilisha nguo na kujiweka sawa vizuri , nilivyohakisha niko powa nilitoka na kuelekea sebuleni ambapo hakuwa na mtu hivyo nilivofika niliwasha tv nakuanza kuuangalia taarifa ya habari nilijishangaa yani nimelala muda mrefu vile, nilijiona wa ajabu sana niliangalia taarifa mbili, aunty alikuja eneo lile akiwa na mdogo wake hivyo nilimsalimia wakati akiendelea kunifamisha vyema kwa yule mdogo ake na kisha akaketi na kuanza kuungalia tv. Punde taarifa ya habari ilivyoisha nilijipakulia chakula na kwenda nacho chumbani kwangu.

Nilikula ni katosheka, kwakuwa nilijipimia mwenyewe hata siku ubakisha , kama sikunyingine dada mamu akiniwekea chakula huwa ananipendelea hadi nakibakisha . Nilimaliza na kujitupa kitandani kwa mara nyingine ila usingizi ulichelewa kuja na hata ulipokuja sikujua ilikuwa saa ngapi nilishangaa tu asubuhi imewadia kimwanga nacho kimeanza kujitokeza hivyo nilijiinua kiuvivu uvivu hadi maeneo ya bafuni ila kabla sijagonga mlango wa bafuni iliniweze kujua kama kuna mtu au laha niliona tu mlango unafunguliwa mama weee!!!

Macho yangu iligongana uso kwa uso na Da Pammy, nilimpisha huku nikiwa namsindikiza kwa macho na yake kanga mkononi na kufuri lake hakutaka hata kunisemesha aliona aibu. Ila huku nyuma aliniachia lawama tako lake lilitikisika si masihara kiukweli ilileta usumbufu muda mfupi tu kwenye yangu boksa.
Nilingia bafuni na kujimwagia haraka tu sikutaka kuchelewa. Maji yenyewe yalikuwa ya baridi, nilioga haraka haraka na kujifuta maji na taulo langu sikutaka hali ile ya ubaridi initawale kwenye mwili wangu. Nilivyomaliza niliingia chumbani kwangu na kuvaa nguo alafu nikatoka kuelekea sebuleni.
Kutokana na nilichelewa kuamka uncle na aunty walikuwa wameshaenda kazini, hivyo ndani walibaki dada mamu ambaye na yule mgeni ambaye aunty ameniambia nimwite da Pammy. Taratibu nilipiga hatua kuelekea sebuleni kufika tu nilikutana na dada mamu wakati da Pammy sikujua alikuwa ndani maana hakuwepo pale wakati sielewi hili na lile nilishangaa dada mamu akinivutia kule maeneo ya jikoni.

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post