KIBUTI 06💃 MWISHOOO

Frank akamaliza chuo pia, kipindi akiwa hana kazi Rebecca alikuwa anafanya kila kitu pale home na akamkataza kuomba pesa kwa wazazi coz yeye anafanya kazi. Frank akamchumbia Rebecca, baada ya miezi kadhaa akamuoa wakiwa na mtoto mmoja fresh tu. Frank akawa mtu mpya kabisa👍🏾

Sasa hivi anawatoto 2, anakituo chake cha mifugo na maisha ni mazuri. Rebecca anaenjoy maisha na mwanaume anayempenda mno.
Nurat nae ameolewa na yule jamaa wake wa Prado, maisha yao ya raha yanaendelea kama kawaida.
Frank ameshamsahau Nurat na sasa anakula maisha matamu.

FUNDISHO:
Kukataliwa na umpendae sana sio mwisho wa kuenjoy mapenzi. Kuwa mvumilivu huku ukitafuta njia zako, utaletewa wa kufanana nae wa maisha.
Usimuombee mabaya aliyekukataa bali muombee baraka na wewe utabarikiwa.

(Kwa sie ambao tushawai kupigwa chini tuishi humu wazee) 🖐🏽✊🏽

Mtunzi: Japhet Luhende
 : 0675 373 713
 : @hadithikali 

Post a Comment

Previous Post Next Post