SIMULIZI FUPI. HUKUMU KWA BABA MKWE 01



Sikuwa na lakufanya ila nilitamani kumwambia Patrick jinsi baba yake anavyonisumbua. Muda mwingine nawaza labda ni matani tu yakawaida kutoka kwa baba mkwe.
Siku zilizidi kwenda baba mkwe aliendelea kujiweka karibu na mimi na muda mwingine alitaka aweze kunitoa Out lakini nilikataa huku akikasirika kwa kukataa wito wake.

Siku moja mpenzi wangu Patrick aliagizwa kwenda Ethiopia kufuata mzigo wa biashara ambayo mara nyingi hufanya biashara hiyo na baba yake sikuwahi kujua ni baishara gani hufanya lakini nikimuuliza Patrick huwa mara nyingi ananijibu ni biashara za kawaida za baba yake. Sikuwa na ujasiri wa kutaka kujua kiundani kuhusu biashara hiyo, ili mradi tu nilifurahi kuwa na mwanaume mwenye pesa zake. Baada ya siku mbili baba mkwe alikuja mpaka nyumbani na kunikuta nimevaa kanga pekee kwasababu ilikuwa ni asubuhi sana na muda huo nilikuwa nimetoka kuamka.
Sikuwa na namna nilivyomuona baba mkwe ameingia na kumkaribisha sebuleni, nikaamua niende chumbani nikabadili nguo ili niweze kumsikiliza anahitaji nini. "Baba karibu". Nilimkaribisha baba Patrick.
"Asante mwanangu. Jumba lote hili unaishi peke yako".
"Baba si unajua kabisa mwanao Patrick umemtuma nje ya nchi kuchukua mzigo wa biashara na mimi ameniacha peke yangu ? ". Nilimjibu baba mkwe huku nikielekea chumbani kwangu kubadili nguo.
Nilivyoingia chumbani kubadili nguo, ghafla baada ya muda mfupi baba mkwe aliingia chumbani kwangu ambapo alinikuta ndo natafuta nguo ya kuvaa. Nilishtuka sana huku nikitetemeka. Baba mkwe alitabasamu huku akinisogelea karibu.
Kwakua nilikua naogopa sana sikuwa na wazo la kupiga kelele mpaka baba mkwe aliponisogelea na kunitupa kitandani. Sikuwa na nguvu kabisa ya kupambana nae, alifanya mapenzi na mimi na baadae aliweza kuniingilia nyuma ya kimaumbile.
Nililia sana kwa kitendo alichonifanyia baba mkwe, nilihisi labda mimi sikuwa na bahati ya kuwa na Patrick ambaye baada ya kukutana nae nilijua nimepata mume bora na mwenye pesa zake.

Baada ya miezi mitatu na nusu kupita kabla ya Patrick kurejea nyumbani nilijihisi ninaujauzito. Hapo sasa nilihisi kuchanganyikiwa. 
Inaendelea....... 

Post a Comment

Previous Post Next Post