ADELINA. 5

...............ilipoishia nilishituka na kumkuta baba mdogo akiwa chumbani kwetu ,tena ndani ya kitanda chetu akijaribu kunipapasa baadhi ya sehemu zangu za mwili ,mpaka muda huo sikujua aliingiaje chumbani kwangu

"Baba mdogo unafanya nini hapa" nilimuuliza kiukali 
Hakunijibu badala yake alikazana kunipaka mafuta usoni ,kama hakusikia swali nililomuuliza
"Baba mdogo,unafanya nini? chumbani kwetu nilimuuliza mara ya pili

Alishituka! Sana ,taratibu alitoka juu ya kitanda chetu na kufungua mlango nakuelekea nje

Niliamka taratibu nakuanza kujikagua kwa wasiwasi ,nilikuta nipo sawa hakuna chochote mwilini mwangu ambacho hakikuwa sawa

"Vipi adelina mbona ulali usiku wote huu"Adela aliuliza

"Mwenzangu ,yule mgeni tuliyeambiwa tumuite baba mdogo si nimekuta akinipapasa muda huu"

"Unasema ukweli adelina"alisema adela uku akijipapasa vizuri kuakikisha kama yuko sawa 

"Ndio adela nakwambia ukweli uzuri, hakufanikisha alilolipanga kwa uwezo wa Mungu,kukikucha tutamwambia mama mdogo tujue atachukua uwamuzi gani"nilimwambia adela na kugeuza shingo kuutafuta usingizi.

"Yani nyie watoto adi saivi ,ebu amkeni muoshe vyombo muende uko shule maana sijaona wasomi apa,kutupa pesa tu " sauti ya ukali ya mama mdogo ilisikika nilipotupa macho kwenye saa ya ukutani ilisomeka majira saa kumi na moja na dakika tatu  

"Mmmmh kumekucha,yani kama wafanyakazi wa ndani ,atatuvunjia mlango mama mdogo"niliongea kwa asira

"Tumtafute baba yetu tu ,haiwezekani tukae maisha haya,kwani sisi hatuna ndugu wengine upande wa baba "aliuliza adela

"Wapo ila sina kumbukumbu watakuwa maeneo ya wapi,maana toka darasa la tatu ndo tuliendaga na baba ,ile siku wewe uliyokuwa umesafiri na mama kwenda arusha"nilimwambia adela

"Nyieeeee mbwa wawili hamsikii"mama mdogo aliendelea kufoka

"Tutoke mwenzangu yasiwe makubwa ,tukaja kuchelewa shule bure"nilimwambia adela ambae muda huo usingizi umemjaa machoni.

tulifanya usafi tulipomaliza,tukajiandaa kuelekea shule nikakumbuka lile jambo la jana ikabidi nimueleze mama mdogo

"Yani ndo huo upuuzi unaonieleza,kwaiyo mtu akiwa anakupapasa na anakushika ,ujui anataka nini siumpe anachotaka,au ulitaka yule baba ako aliyekuwepo jela ndo aje kukubikiri"et aliongea mama mdogo

"Nilijua jambo la maana kumbe uo upuuzi ,mama mdogo nimepapaswa tena shika adabu yako mwana halamu ,kama utaki kupapaswa mfate mama ako nitokee apa "aisee nilijikuta machozi yananitoka taratibu hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku hii kitendo cha kunitukania mama angu ,ambae alishakuwa chini ya tumbo la ardhi

"Dada tuondoke" ,Adela alinifataa lakini siku muelewa alinivuta tukaelekea pembeni"dada achana nao cha muhimu shule tunaenda na chakula tunakula ,tupapambane tu dada ngu ,hakuna jambo linalokosa mwisho"maneno aliyoniambia adela kidogo yaliniingia nilifuta machozi na kuelekea shule.

Baada ya mwaka mmoja kupita ,tulikuwa tunakaribia kufanya mtiani wa darasa la saba ,ikiwa ni mwaka elfu mbili na kumi kama sikosei,nakumbuka mwalimu aliturudisha alisema hatuwezi fanya mtiani wa taifa mpaka tupeleke fedha na michango mbali mbali kwa ajiri ya shule .

tulifika nyumbani na kumwambia mama mdogo yaliyotokea shule jibu alilonipa lilizidi kuninyongonyesha"sikia mie sina pesa,kama mnaweza ingieni mtaani muitafute kama raisi kiivo'au kamwambieni mama yenu kaburini au baba yenu libakaji ukonga uko ,lijue litawalea vipi"jibu alilotoa mama mdogo lilinichosha taratibu niliingia ndani nakumsimulia adelina

"Kwaiyo atutosoma tena"aliuliza adela uku akilia kwa kwikwi 
"Usijali mdogo wangu tutasoma ,nitajua cha kufanya "nilimwambia Adela.

Tukiwa tushakaa wiki moja bila kwenda shule tukiwa tunadaiwa laki mbili ,ili tuweze kuendelea na shule ,kwa kipindi chote tulikuwa tukifanya kazi masaa yote ,tulipumzika kipindi ambacho mama mdogo hakuwepo pale nyumbani.

Siku moja usiku mama mdogo alirudi na furaha ,sikujua alifurai kitu gani

"Wanangu,acheni hizo kazi kaogeni nimewaletea nguo na chakula kizuri nafikiri shetani alinifanya niwatese leo nimegundua makosa yangu naomba tusameane"aliongea mama dogo

"Mmmmm niliguna ,ila tulikuwa tushaoga ikabidi tusubiri izo nguo ,ambazo mama mdogo alitaka kutupatia

Alitupa nguo zinazofanana ,taiti ambayo inabana mapaja na kitopu kinachokataa kufunika kitovu ,nilizigundua baada ya kuzivaa,hatukuwa tofauti na machangu doa

"Mama mdogo ,hizi ni nguo gani? ,mbona tuko uchi "aliuliza adela

"Mko uchi? si tuko ndani jamani kwani kuna ubaya ,au kwakuwa nilikuwa nawatesa nisameeni basi mie sio mbaya"alisema mama mdogo uku akitupa chipsi na vipande vya soseji,hatukula mpaka alipoanza wewe kwa kuofia usalama wetu

Akati tunakula kuna mgeni aliingia "karibu chuma jisikie upo nyumbani"mama mdogo alimsalimia

"Shikamooo"tulimpa Salam

"Msijali wa chumba ,"alijibu yule mkaka aisee zile nguo nilihisi aibu mbele ya yule mkaka nilitamani niende ndani lakini sikuweza kusimama kwa aibu

"Sasa Adela na adelina hamna ela ya shule ,uyu kaka yupo teyari kulipa izo ada mkikubari kulala nae kwa usiku mmoja tu "alisema mama mdogo bila kupindisha maneno

"Khaaa mama mdogo ,ndo nini hivyo ata kama ukutuza wewe hatuko tayari kufanya huo upuuzi "nilinuka kwa hasira na kuelekea ndani uku adela akinifata nyuma

"Sawa shule mtaisikia kwenye bomba la mvua ,wapuuzi wakubwa nyie. "tulifunga mlango kwa funguo tusisikie upuuzi wa mama mdogo

"Twende tukamshitaki bwana "alisema Adela

"Tukamshitaki wapi sasa adela ,unapajua watu wanaposhitaki"nilimuuliza

"Si bakita "alisema

"Bakita? Si baraza la kiswahili Tanzania unapajua walipo watatusaidia nini sasa ,maana mie sijui ,niliongea uku nikizima taaa kwa ajiri ya kuutafuta usingizi.

Wakati nimelala usiku niliota nafanya mapenzi uku damu zinanifuja kwa wingi ,nilijihisi maumivu uku nipo kwenye ndoto ,baadae nilikuja kuzinduka mamaaaaa! nilijikuta napiga kelele

Adela alikurupuka kitandani na kuwasha taa "adelina vipi? aliuliza

Gafla! macho yetu yaliangalia mezani kulikuwa kuna elfu kumi kumi zikiwa zimewekwa pale akati najiuliza nani atakuwa ameweka ,lakini muda huo huo nilikuwa najisikia maumivu sehemu zangu za Siri ,nilipeleka mkono uku Adela akiendelea kuniangalia tu nilihisi maumivu nilipotoa mkono nakuangalia nilikuta una damu na mabaki ya mbegu za kiume kwa maana kuwa nilitoka kutumika..................itaendelea tujitaidi kushare,kukoment tupe maoni yako like 180 nandondosha kingine sasa ivi hadithi yote itasha cha muhimu kusaport 

Post a Comment

Previous Post Next Post