Adelina 06


.....................ilipoishia adelina anatuambuia alikuta pesa kadhaa juu ya meza lakini alipojiangalia aligundua ameshatumika teyari ,ilimaanisha kuwa zile pesa ni za kazi aliyoifanya usiku uliopita .......endelea nayo sasa 

Nilimuangalia adela uku nikisubiri atie neno,"khaaa mama ndo kamtuma yule mkaka aje akufanyie ivo"aliongea Adela kwa huzuni,gafra! machozi yalianza kumtoka

"Ndio unafikiri tutaenda wapi,na ndo shatokea haya,sasa hapa sijui kama mimba ishaingia teyari au ni ukimwi"niliendelea kuongea kwa udhuni

"Unaonaje tukamuua tu kama alivyomuua mama yetu "nilimwambia adella

"Mmmmh kwani,yeye ndo kamuua mama ,"Adela aliuliza 

"Ndio kamuua,nikaamua nimpe mkanda mzima wa miaka mitatu nyuma,nilivyomshuhudia mama mdogo akiwa jikoni ,alipika supu akimuwekea mama unga flani ambao sikuufahamu"

"Nikuulize swali adelina"
"Niulize tu ata usijali"
"Ivi wewe unaweza kuniua Mimi,kama jibu ni hapana basi mama mdogo hawezi kumuua mama ,cha pili kama leo kakufanyia ivo wewe kesho ashindwi kunifanyia mimi ,unaonaje tukaondoka hapa "alisema adelina

"Sawa tunaondoka ,tunaenda wapi ?adela kwa muda huu ,hakuna pa kwenda mdogo wangu ,tuendelee kuvumilia tu,chukua hizo pesa naomba uzi hesabu ,haina haja ya kulia adela" 

Adela alienda mezani na kuhesabu zile pesa"laki moja na nusu "aliniambia

Sawa weka vizuri izo pesa ,tupeleke shule ukalipe kwanza wewe ,mie sijajijua afya yangu naweza nisimalize shule nilimwambia adela kwa uchungu

Usiseme hivyo dada utakuwa salama na tutamaliza shule ,alisema uku akilia tulikumbatiana na kujiandaa kuelekea shule...................

Mama mdogo hakuishia apo,aliendelea kila siku kutuletea wanaume adi ilipotimia laki na hamsini na nikaweza kulipia maitaji ya shule ,lakini mara zote adela nilikuwa nikimwambia alale chini ya uvungu kwa kuofia angekuwa kama Mimi .

Siku moja usiku tulimuuliza mama mdogo "ivi mama mdogo dada diva atarudi lini "

"Ili mmuwekee sumu afe,shetani wakubwa nyie ivi kwanini amuondoki apa ,mnagagania na uzuri kila mtu anakula kwa jasho lake ,kazi utayoifanya ndio itayokulisha,aliongea uku akiingia ndani

"Zimebaki siku ngapi ,tufanye mtiani wa taifa "nilimuuliza adela

"Miezi miwili,kwanini umeniuliza hivyo "aliniuliza Adela

"Naisi Nina mimba ,hivyo kesho sitoenda shule na rasmi nitaingia mtaani kuendelea kukaa hapa mama ataniua ,maana sipumziki kila siku wanaume wawili kwa watatu na sipati chochote nafikiri nitafute sehemu ambayo tutaweza kukaa "nilimwambia adela

"Dada unaacha shule ,kwaiyo utosoma tena sindiyo" aliniuliza kama mtu aliyekata tamaa 

"Mdogo wangu utasoma wewe ,mambo yakikaa sawa nitaendelea na shule "niliongea kama mtu mzima kila kitu cha watu wazima nilikuwa nishaanza kufanya ,nilijikuta tu nakomaa naona muda umeenda tuingie kulala sasa nilimwambia adelina

kesho yake asubuhi ,nilingia mtaani kutafuta cha kufanya ,nilikosa kabisa sikuona matumaini mpaka inafika mida ya saa moja usiku nilijikuta nimefika uwanja wa fisi bila kujitambua 

"Unauza shilingi ngapi"
"Nauza nini ,nilimuuliza
"Kwani apo unatafuta nini"
"Natafuta kazi yoyote nifanye"
"Basi njoo nikupatie kazi ya kufanya "

Nilijikuta namfata taratibu bila kuitwa ,nilienda nae yule mkaka mpaka anapoishi kwa ajiri ya kunitafutia kazi ,yaliyotokea huko siwezi kusema ila haikuwa kazi kama niliyoitaka kumbe nilienda sehemu wanapouza miili nilirudi na elfu arubaini kwa siku ile

"Dada ndo unarudi saivi"adela aliniuliza

"Ndio mdogo wangu,mama yupo"nilimuuliza kwa wasiwasi maana ilikuwa saa tatu usiku

"Hapana sijamkuta ,sijajua kapitia wapi "Adela alijibu

Nilimpa michapo ya siku hiyo ,nilimdanganya nimepata kazi nzuri tu ,ili nisimchanganye kisaikolojia aweze kufaulu mitiani yake sasa hivi tutaama hapa nyumbani 

Alionekana kufurahi ,ilionesha dhahiri alifurai kilichoongeleka pale.
**************************************
Wiki moja tuliama pale nyumbani,mama alikuwa ana habari tulimsubiri kaondoka asubuhi ,tukachukua kila kitu chetu,vitu vyote tulimuachia yeye na kuamia makazi yetu mapya.

Huku nikiendelea na biashara ya kuuza mwili ,mimba yangu ikikaribia miezi mitatu lakini haikuonekana ,hivyo niliendelea kuimudu kazi yangu ya kujiuza baada ya mwezi mmoja nilinunua kila kitu ndani,ila amini Mimi na mdogo wangu adela tukisimama unaweza sema yeye ni mwanangu nilifubaa uku Adela akiendelea kuna wili,sababu hakuwa na mawazo alilidhika kabisa tofauti na Mimi ,nayewaza pesa ya kula,Kodi ya nyuma na mengine mengi.

Nakumbuka siku moja Adela ,aliludi saa kumi na mbili nyumbani tofauti na siku zote ,mpaka nilianza kupata wasiwasi

"Dada adelina za hapa"alinisalimia
Safi mbona muda huu,au mnajiandaa na mitiani

"Eeeeh dada ,uku akiweka begi lake la shule chini nakutoka nje ,sikujua alienda kuchukua nini

"Kwaiyo Mimi,nitakuwa mama ambae baba wa mtoto ajulikani ,kwanini nisitoe mimba hii ni dhambi siyo Mungu atanisamehe ,mfumo mzima wa maisha yangu umearibika niliwaza

Ebu nijikumbushe kidogo nilishika begi la Adela nilitoa madaftari kadhaa nakuanza kuyapitia "daah uyu sikuizi anafeli ,yani hakuna wa kumsimamia shule tofauti na tulivyokuwa tunasoma wote

Ngriiiiiiiii ,nilisikia mtetemo kuangalia vizuri niliona simu kwenye begi la Adela

Khaaa! simu ,kapata wapi simu huyu,nilichukua na kuanza kuikagua ilikuwa ni nokia ,nilipoingia kwenye mesege zilizopokelewa nilishituka!

"Mambo ,mke wangu leo nimefurai kuonana na wewe,hiyo ni zawadi ndogo ya simu ,sikuingine nitakupa zaidi ya hiyo"mesege iliyoingia ilisomeka hivyo

"Dah ana mdanganya nini mdogo wangu huyu,adela maisha yetu yote unayajua hali zetu pia,nafuu kidogo ushaanza mambo haya ,najiuza Mimi utu wangu naweka pembeni kwa ajiri yako usome lakini unashidwa kusoma na unajua una mtihani mwezi unaokuja ,unaanza kutumia simu nafanya kazi haramu lakini uniurumii sawa ni mtoto lakini unaacha kujifunza kwa haya apa nilipo Nina mimba ambayo haina baba lakini bado Adela why Adela kwanini mdogo wangu nilijikuta naongea peke yangu uku nikilia ,nilijikuta hasira zinanipanda bora tuwafate wazazi wetu kuliko kuendelea kudhurula duniani nikisema kwa hasira

niliinuka na kwenda kwenye beseni la vyombo na kuchukua kisu na kukificha nyuma "adelaaaaaaaaaaa niliita kwa hasira

"Abeeee dada aliitikia"uku akiingia ndani ,alipoingia tu niinuka kwa haraka na kufunga mlango na kutoa kisu mahala nilipokificha uku nikitetemeka
.......................itaendelea like 180 nandosha kingine ,tujitaidi kukoment kushare ili wengine wapate kujifunza 

Post a Comment

Previous Post Next Post