Adelina 8

...................ilipoishia Gafra! alifungua mlango , na kuucha wazi uku akiniangalia usoni

"Nilijikuta natoa macho kwa nilichokiona...........
"Baba "nilijikuta napata mshangao nikashidwa kulitamka ata neno lenyewe vizuri ata kumpa heshima ya ubaba nilishidwa nilishidwa kabisa kumuamkia nilishikwa na kimue mue ambacho sikujua kimetokea wapi

"Yeah mwanagu ,naona saivi ushakuwa mama na ulivyofanana na mama ako yani kama namuona mke wangu"aliongea baba 

"Adela si ukabadilishe nguo ,mgeni si umekuja nae wewe huyu",nilimwambia

Alitabasamu na kuingia ndani akituacha na baba tukizungumza mawili matatu,"aisee sikumficha niliamua nimuadithie yote yaliyotokea kwa miaka mitatu iliyopita kuna muda nilitabasamu ,muda mwengine nililia baba ndo ilivyokuwa hivyo

"Aiseee kwaiyo ulivyodondoka chooni ,mimba ndo ilipotoka "baba aliniuliza

"Yeah nazani ile mimba ilikuwa na laana Fulani ,nashukuru ilivyotoka maana mtoto asingekuwa na baba ,na nilivyoenda kupima nilikuwa safi tu ,sikukutwa na magonywa yoyote,lakini mama mdogo sitomsamehe ata siku moja vipi kuhusu wewe baba mpaka leo maana miaka minne sasa imekatika ilikuwa vipi"

"Kuhusu mimi nafikiri mama mdogo wako ,alikuwa mtu mbaya sana ,kuliko kiumbe yoyote duniani kama ulivyosema" nakumbuka ile siku sikwenda kazini ,gafra! mtoto wake aliludi kutoka shule,na mambo yalikuwa hivi

"Mbona leo mapema ,ukwenda shule"
"Nilienda baba,lakini niliyokutana nayo"
"Umekutana na nini mwanangu"
"Tuingie chumbani nikuadisie ,"
"Na nguo mbona umezichana hivyo kwani apa kuna shida gani mwanagu ukiniambia"
Alivua siketi ya shule na brauzi "baba subiri nikuonyeshe kilichotokea

"Umekuwa chizi eti mbona unavua nguo"

Hakujibu kitu alinifata uku akianza kunishika kiuno ,diva ebu niachie kwanza,nilimpiga kibao kimoja na kumsukuma chini 

Gafra! Mama ake aliingia "khaa unafanya nini una mbaka huyu mtoto ,uku akimkimbilia mama ake

Hakuongea sana alimchukua mtoto wake na kuondoka nae 

"Khaa jamani ivi hili swala limekaaje mbona anataka kunidhalilisha kwa wanangu na kwa wanajamii"niliendelea kuwaza na kuwazua nilijikuta usingizi umenipitia

Nilipokuja kushituka! nilisikia kelele "uyo mbakaji atoke umo ndani"aliingia mama mdogo wako na kunitupia vipimo ya hospitali sijui vipimo vile walipata vipi ,nilijikuta naishiwa nguvu alinivuta na kunitoa nje 

Baada ya kusumbuana sana nyie mlifika kutoka shule lakini nadhani hamkuelewa kwa kipindi kile sababu mlikuwa wadogo sana,basi baada ya nusu saa polisi walifika na kunipeleka kituo kikuu cha polisi,kesi ilifunguliwa na nikanyimwa dhamana kwa kosa lile la kubaka,hakuna siku niliumia kama ile.
 Nilifikiria watoto wangu sana ,maana ata donda la kufiwa na mke wangu lilikuwa halijapona ,ila nilimuachia Mungu

Niilifutwa kazi baada mwezi kupita ,nilikaa kwa miezi miwili polisi waliniambia niwape laki tano waniachie ila sharti nisionane na mtuhumiwa zadi ya miezi sita ,ili watapoulizwa waseme nilikaa miezi sita mwenye kesi hakutokea hivyo nikapewa dhamana.

Nilirudi nyumbani dodoma kwa bibi yenu akanifanyia dawa za kimila kidogo baada ya mwaka kuisha nililudi dar es salaam kwa ajiri ya kuuza mkaa ,maana kazi niliomba sehemu nyingi za makampuni ,kwengine nilijibiwa na kujaribiwa pia ila majibu yake,hayakuwa mazuri

"Njoo wiki ijayo,ukienda wiki ijayo nafasi haipo,mara tutakupigia simu majibu yalikuwa kama hivyo ,niliamua kurudi dar es salaam na kufungua biashara yangu ya mkaa,ila kuna kampuni kama tatu nilijaribu ila zote zilikuwa kimya nikaendelea na biashara yangu ya mkaa

Nina kama miaka miwili,na mpaka asaivi nishafungua duka pia la bidhaa za chakula ila bado haliko vizuri sana

"Aaaaah sasa baba ulishawai kwenda kututafuta kule masaki"nilimuuliza

"Nilienda kuwafata nikakuta nyumba imeuzwa ,nilijiuliza nitawapata wapi wanangu,ila sikuwaza kama mngeteseka kiasi hiki,leo kama Mungu nikakutana na Adela kwenye daladala,mie nakaa kinondoni biafra apo tu

"Lakini dada umenisema sana kwa baba nimesikia yote alikuwa adela lakini baba hakukwambia kama mie nafaulu vizuri,Nina miakili kama yako,nawapunguza tu uko jangwani"

Gafra! Simu ya baba ilianza kuita "mmmmh Nani huyu namba ngeni"alijiongelesha kabla ya kupokea baada ya dakika mbili aliipokea

"Alafu baba "adela aliita "mmmmh wewe muache aongee na simu Kwanza kwani nani sio baba ake"nilimwambia

Gafra! Sura ya baba ilianza kuonyesha tabasamu ,alipokata simu alikohoa kidogo uku akitabasamu

"Baba nini "tulimuuliza kwa pamoja tulikuwa na shauku ya kujua kinachompa furaha

"Kani leteeni maji "alisema baba
"Hatuendi mpaka utuambie Kwanza ,alisema Adela

Basi sawa alianza kusema.Haya iko ivi kilichonipa furaha ni kuwa......itaendelea like 200 zikifika ata asaiv naachia kingine sitoangalia vinapisha masaa mangap mangap unaposoma hakikisha una like 

Post a Comment

Previous Post Next Post