ADELLINA 09

.....Baba nini "tulimuuliza kwa pamoja tulikuwa na shauku ya kujua kinachompa furaha
" kinachonipa furaha ni kuwa
"Umepata kazi "tulimjibu kwa pamoja,mimi na adela
"Hahaha mmejuaje ,nyie wachawi nini ila ni wiki ijayo tarehe moja ndo nitapoanza"alisema baba

"Haina shida baba,cha muhimu tumeonana ,na masiliano tutaendelea kufanya ili tujue swala hili tunaliweka vipi"

"Yeah kikubwa uhai tu,mali zinatafutwa na kikubwa zaidi nimewapata wanangu mkiwa salama"alisema baba

"Tulikumbatiana machozi ya furaha yakatutoka kwa wingi siku ilienda hivyo na ikapita salama

 Baada ya mwezi mmoja kupita tukiwa tushaonana na baba nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi ,nikiwa nyumbani Mimi na adela

"Mtoto mbaya wewe,yani toka tununue television ata kazi ufanyi"
"Lakini mkubwa wa kazi sinitafanya"
"Mkubwa wa kazi ni nani hapa,aisee vile vyombo ikifika saa kumi hujaviosha ,sijajua itakuaje"

Gafra! Simu ikaanza kuita ,kuangalia alikuwa baba

"Watu na ma telephone,wanajishaua"alisema Adela

Nikamkazia macho uku nikimuonyesha ishara ya ngumi"basi mkubwa wa kazi nisamehe"alisema uku akicheka

 nikatoa kwenye chaji na kuipokea alikuwa baba
"Hallow baba shikamoo"
"Marhaba hamjambo wanangu "
"Hatujambo baba,ila nitakuja nimpige mwanao mvivu kufanya kazi kisa hii television uliotupa"
"Hahahahah nakuja kuifata,ila nilikuwa naomba mje kinondoni biafra saa kumi "
"Mmmmh kuna nini baba"nilimuuliza
"Nyie njooni tu"
"Sawa tutafika,si wote na adela"
"Ndo mana nikakwambia usome,mje wote maana yake ni wingi au umoja "
"Mie sijui bwana basi baadae tutakuja"nilikata simu

"Oi baba kasema baadae twende cha kufanya ,kaoshe vyombo saivi"
"Kwani adelina baba kasema tunaenda kufanya nini"

"Sinajibu la swali lako bwana ,we utaona tukienda huko huko"nilimwambia

"Alinibinulia midomo na kwenda kuosha vyombo ata sikumjali nilimuacha na hasira zake.

 Saa kumi juu ya alama tulikuwa kwenye centa tukipakia vyombo

"Kwani baba tunaamia wapi"nilimuuliza
"Mbezi beach apo,kwenye nyumba ya kampuni ya azam bank"
"Kumbe umepata azam bank"
"Ndio mwanangu ,we adela ivo vifurushi viweke mbele kwa dereva ,eeeeh apo apo acha ushamba wako na wewe 

"Hahaha nilijikuta nacheka "
"Unacheka nini sasa na wewe ,uku akininyoshea ishara ya ngumi"
"Basi boss samahani sana"nilimwambia
"Boss tena baba aliingilia ,ebu fanyeni haraka muondoke

"Tuondoke twende wapi tena mzee"
"Adi nakosea tuondoke mbezi bwana"alisema baba.

 Saa moja kamili tulikuwa mbezi tukipata hewa safi na salama

"Kumbe mbezi kuzuri kuliko masaki "Adela aliuliza

"Hamna bwana ,masaki kuzuri kuliko nyie mbezi nyie"nilimwambia

"Kuzuri mbezi wewe "baba alidakia

"Ila baba hii nyumba nzuri,na lile jeep pale nje vipi kwani baba ile gari nayo ya kampuni nilimuuliza

"Eeeeh vyote vya kampuni ivi,ila tutanunua vyetu muda sio mrefu cha muhimu tutumie kwanza hivi"alisema baba

"Twendeni tukatembee ,twende wapi kwa mda huu wa jioni "aliuliza baba

"Twendeni jangwani seabrez"niliwaambia

Haina shida baba alikubari ,tukajiandaa tukatoka zetu

Tulishuka tukaingia kwenye gari aina ya jeep ilikuwa new model

"Nani anaweza kuendesha nimuachie,maana wote niliwafundisha kuendesha"alisema baba

,"Adela si kaendeshe ,maana marehemu mama si alikuwa anakufundisha"nilimwambia

"Aka we jeep ilo mie siwezi gari kubwa ilo bora ya passo"alisema adela

"Dereva wangu adelina ,njoo uendeshe nimekunoa sana,trafick hamna usiku huu kazi kwako"alisema baba

"Nilienda nikaa kwa dereva ,nikachukua mto na kuukalia ili nione mbele ya gari"

"Hahahahahah dereva ata mbele aoni ,si tutapata ajari"alisema adela

"Tulia dawa ikuingie ,nilimwambia uku,nikiweka gia kwenye alama ya d nikatoa hand break nikakanyanga mafuta fuuuuuuh! liliunguruma na kuingia barabarani kwa fujo

"Hahahahaha,dah we mtoto kama mwanaume kichwa kibovu wewe"alisema baba

"Dah baba anaendesha vibaya adelina,ona mwendo wake"alisema adela
"Bado sana uku nikikanyaga mafuta,mpaka ikasoma mwendo kasi 70 , nimwambia adelina ndizi za Moto nyama ziko chini ,we tulia dawa ikuingie"

Baada ya dakika kumi tulikuwa africana ,tukiwa tunaitafuta jangwani sea breaz hotel ili tukapate kuburudika

Gafra! Adelina si mamisha gari aliongea" Adela kwa haraka
"Acha uoga ,niliendelea kukanyaga mafuta "
"Adelina sure simama aliongea uku akimaanisha 

"Nilikanyaga break gari ilikuwa na break imara ilisimama dakika moja tu ,nakuacha vumbi kali

"Shida nini Adela "baba alimuuliza
"Oneni alituambia uku akiangalia nje "
"Haaaa! Tulijikuta wote tunatoa macho ya mshangao ,hatukuamini macho yetu. Kwa tulichokiona ilikuwa ajabu sana like 200 naachia kingine unaposoma hakikisha unasoma.................itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post