STORY FUPI ADELLINA 1. (Nasitaili kulipa kwa haya)


.............kwa jina naitwa adelina junior (sio jina halisi) katika familia yetu tulizaliwa watoto wawili pekee wa jinsia ya kike ,nikiwa mimi adelina na wenzangu anayefahamika kama adella tulikuwa mapacha tunaofanana kila kitu ,ilikuwa ngumu kututofautisha ,isipokuwa alama ya kidoti ambacho adella alikosa hii ndo ilikuwa alama yetu ya kututofautisha kati yangu na adella.
Sehemu ambayo, adella alikuwepo ,basi na Mimi ungeniona apo,mara ungemsikia angeniita dada ,na Mimi nilikuwa nikifurai sana jina hilo.

 Kwa kipindi iko tulikuwa tunakaa masaki baharesa na shule tuliosomea ilikuwa international of tanganyika kwa kipindi chote ,mpaka kufikia darasa la tano.

  navyokumbuka mwaka 2008 tukiwa darasa la nne siku moja akati natoka shule nilimsikia mama akiongea na simu"Na wewe zuwena unashindwa kufanya biashara ,yani milioni mbili nimekupa mwezi ujaisha,una ulichofanikisha "mama alikuwa akiendelea kuongea na simu ,zuwena 

Post a Comment

Previous Post Next Post