UNO LA MASIKINI 11---12----13 🔞




Tulipoishia
Ilipowaka hadi mwisho ilionekana picha ya Tino akiwa amewekewa mkono begani na mwanamke mmoja mwenye umri mkubwa mkubwa kwa haraka haraka angeweza kuwa ni mama yake, halafu alipoitazama tu ilifunguka kwa sababu ya screen lock kuwa ya kutumia sura yake

Endelea
Tino alirudi na kuketi kwenye sofa halafu akawasha data kwenye simu hiyo. Ziliingia message nyingi sana kutoka kwa watu mbali mbali lakini yeye aliingia kwenye Hangout kwa haraka haraka kwani kulikuwa na message kutoka kwa mtu mmoja tu akaifungua ilikuwa ni video

Video hii ilimuonyesha yule msanii mpya Mido baby akiwa anachezea hela nyingi sana tena akiwa anazikanyaga kwenye sherehe maalumu huku akiwa na producer mmoja ambaye alikuwa akifanya kazi Switch records

“Hizo hela sio za kawaida huyu msichana ameenda China leo, Jumapili atarudi kutoka China na atakuwa na madawa ya kulevya hivyo mfuatilie maana rais kanionya sana katika suala zima la wasanii kufanya biashara za madawa ya kulevya ilhali muziki haulipi kama watu wengi wanavyodhani” ilitoka message kutoka kwa waziri huyo wa sanaa na michezo

Siku zote ilifahamika kwamba kijana yule ni masikini sana lakini kumbe alikuwa akiigiza maisha lakini alikuwa na kazi ya upelelezi ndiyo maana aliishi kwa kuigza maisha. Cha kushangaza alikuwa ni mtu wa karibu sana na mheshimiwa bila binti Tina kufahamu hali hiyo

“Tino” sauti ilisikika kutoka nje ya mlango wa Tino na aliyekuwa anaita ni Tony

“zama ndani mzee” alisema mtaalam na Tony akaingia na kuwahi kwenye sabufa akaiwasha na kuanza kula muziki kwa sauti ya taratibu. Nyimbo iliyoplay ilikuwa ni nyimbo ya Belle 9 iitwayo Burger Movie Selfie

“Tino mtu wangu una mapepo au?” aliuliza Tonny 
“Acha tu man hii kazi ya round hii ngumu sana” alisema mtaalam

“hivi unatoka na mke wa muheshimiwa unataka ufe?” aliuliza “sema tu Mzee anakuelewa ingekuwa mtu mwingine ungekuta ashakufa siku nyingi, vipi ulimla?” aliuliza Tonny

“hahha, hapana sikula” alidanganya lakini sisi tunajua alikula

“hahahaaa, pole sana” Tonny aliongea

Wakiwa wanaongea pale simu ndogo ya Tino iliita wote wakaiangalia na kucheka kwani alikuwa anapiga Tina “zima redio hiyo” alisema mtaalam na Tonny akazima

“Hallooow” alipokea

“hallow Tino mbona kimya hivyo jamani” alisema binti

“daaah sina bando ndiyo maana niko kimya” alijibu kwa mkato

“sawa mwaya ngoja basi nikutumie bando, halafuu ninaumwa” alisema binti

“unaumwa na nini tena Tina” alisema

“naumwa na tumbo sana mpenzi” 

“pole sana Tina jamani umemeza dawa?” aliuliza

“hapana jamani sina dawa mpaka niende duka la dawa usiku huu jaman ni mbali sana eti, halafu nnahisi usiku huu nitaingia period” binti alisema kwa sauti yenye upendo aliamua kumpa siri zote jamaa ake

“hooooh, na nilitaka kesho nije tunaniliu” alisema jamaa

“haahahaa kwenda huko mi chitakiii” alisema vizuri na kwa furaha

“hahahaa haya basi hakikisha tumbo linapona hilo” alisema Tino

“sawa baby ngoja basi nikuunge kifurushi hicho jamani tuchat unitie hata moyo” alisema binti

“poa maa” alisema mtaalamu

Baada ya kukata simu Tino alimtazama Tonny akamuona jamaa amefurahi anatabasamu ikabidi Tino acheke

“eeeh” Tonny alisema “hivi unajua aka kademu kameshakuelewa mwanangu usikatendee makosa” alisema Tonny

“kwa hiyo na wewe unanishauri nipige mkuu aniuwe?”alisema

“hapaaaaana piga kwa siri……halafu man tumemiss nyimbo zako nipe mistari” alisema Tonny na kumpa gitaa ili jamaa aanze kuimba

“Ooooooooh, sura yakeee ni mtoto mzuri sana kama malaika

Oooooooo, umbo lake ni lawama, mi naburudika

Ejapo nikikaa karibu yake huwa ninapata tabu sana

Endapo aliniambia kwamba nimuache kisa mheshimiwa” aliimba wote wakacheka kwa nguvu mpaka wale washikaji wawili wakaingia ndani ili jamaa aendelee kuwapa mistari maana alijua kuimba sana 

****************
Sasa siku moja Tino alikuwa na binti ufukweni wakiwa wanakula maisha na Tina wakiwa wamevalia tisheti zao zilizokuwa zimeandikwa TinaTino.

“ila Tino tunaendana sio siri” alisema binti

“hata mimi nimeshaona, natamani niendelee kukaa na wewe hapa hapa kipenzi una penzi tamu kushinda wanawake wote”

“Tino wewe ni mwanaume ambaye nakupenda kweli tazama mimi nakupenda katika hali ya umasikini hivi jamani na kazi nimekutafutia” alisema binti

“Tina naomba tuzae wawili” alisema mtaalamu

“mmmmh Tino” binti aliguna akiwa anatabasamu

“ndiyo baby utakubali kuzaa na mimi kweli” aliuliza jamaa

“ndiyo mpenzi nitakubali” alijibu Tina wakaanza kunyonyana mate mara kwa nyuma ikasikia sauti ya kukoki bastola krrr ikabidi waachiane na kutazama nyuma

Macho yaliwatoka walikutana na uso wa Waziri Regnald pamoja na wapambe wawili wakiwa wamewanyooshea bastola.

Tina kwa uoga aliinuka na kuanza kukimbia huku Tino akibaki chini

Pah puuh paa prrrrrrrrrrra” sauti ya risasi zilimiminwa kwenye mgongo na kichwa cha Tina, Tina akadondoka kwenye maji ya bahari huku damu zikimtoka nyingi

“Tinaaaaaa” Tino aliita kwa uoga akiwa haamini kile anachokiona na yeye akala moja kichwa Paaaah alishtuka katika usingizi mzito kumbe alikuwa akiota “Tina” alisema kwa uoga na kuinuka akaketi kitandani kule kule alipolala jana yake

“Vipi unaota ndoto ya kutisha Tino” ilisikika sauti ya kike pembeni yake kumbe kulikuwa na msichana aliyekuwa amekuja pale asubuhi ile ile na alikuwa ni mpenzi wake kuanzia zamani kabla hajakutana na Tina

“Tino mambo” aliuliza

“safi umefika sa ngapi hapa saa ngapi Tuma” aliuliza mtaalam

“saa nyingi sana mpenzi nimekukuta ukiwa unatoa jasho jembamba ulikuwa unaota nahisi” alisema

“ndiyo nilikuwa naota ndoto ya kutisha sana” alisema

“haya bwana, vipi lakini mpenzi mbona kama umenisahau sana siku hizi nimekukosea nini lakini sweetie” alisema yule binti

“Nilikuwa bize kikazi, nimekuja kusalimia kidogo huku niondoke leo leo”

“sawa mpenzi” binti alisema na kumsogelea Tino kwa karibu akitaka kumpa denda

“ngoja kwanza nikaswaki halafu nije unipe mambo nimemiss sana” alisema

“hata mimi jamani”

Tino alichukua mswaki na kutoka akiswaki uwani na kurudi baada ya dakika mbili, ambapo alimkuta binti akichezea guitar yake.
Binti alipomuona Tino akaiweka ile gitaa pembeni kidogo na kuinuka akamkumbatia wakaanza kunyonyana mate.

Ile wanapapasana tu hivi, simu ya Tino ikaita na aliyekuwa anapiga ni Tina. Hakutaka kuipokea ili kuepusha ugomvi

“Pokea simu” binti alisema kwa hasira na kuitazama “Tina ndo nani?” aliuliza

“hapana si…” alitaka kuongea lakini binti akampokonya ile simu na kuipokea 

“Hallo Tino” alisema Tina

“Hallo…..” aliongea kwa uoga

“mbona nimeota unanisaliti mpenzi” alisema Tina
“si unaona sasa kumbe ni Malaya wako huyu” Tuma aliongea kwa hasira na kuipokea ile simu akaanza kuongea mwenyewe “we Malaya ndiyo unatoka na mwanaume wangu usiniletee kisirani mbwa wewe, achana na mwanaume wangu tafuta wa kwako” Alisema Tuma maneno ambayo alimsabaisha Tina kuishiwa nguvu kabisa………………..ITAENDELEA 

UNO LA MASIKINI 12
 
B Y AB©️
“si unaona sasa kumbe ni Malaya wako huyu” Tuma aliongea kwa hasira na kuipokea ile simu akaanza kuongea mwenyewe “we Malaya ndiyo unatoka na mwanaume wangu usiniletee kisirani mbwa wewe, achana na mwanaume wangu tafuta wa kwako” Alisema Tuma maneno ambayo alimsabaisha Tina kuishiwa nguvu kabisa

Endelea
Tuma aliamua kuikata ile simu na kuitupa pembeni na kuanza kumletea Tino noma sana alitaka hata kumpiga

“nini kinakuchanganya wewe mwanaume kwani mimi ni kitu gani nisichokupa wewe mwanaume” alisema binti kwa hasira hadi lengo la kufanya ngono liliishia pale pale

“Wewe unanipaga hela?” aliuliza mtaalam

“nikupe hela kwani wewe si mwananume, mwanaume anatakiwa ampe mwanamke hela na sio mwanamke ampe mwanaume hela ok?” alisema binti

“sasa mbona yeye huyu Tina huwa ananipa ina maana mimi ni mwanamke au” aliongea maneno ambayo yalimkatisha tamaa binti hadi kelele zikaisha 

“kwa hiyo unampenda kisa anakuhonga sio?” aliuliza binti

“ndiyo ninampenda kwa kuwa ananihonga kwanza sikia huyu binti mi amenipenda katika hali ya umasikini wewe kama hukujua nina kazi na pia nina nyumba nzuri kama hii, ungenipenda? Tena nakumbuka kipindi chote nilichokuwa sina kazi ulinikataa ila nilipopata kazi tu ndo ukaanza kujipendekeza, acha nimpende anayenipenda katika hali yoyote, mfano leo nikifukuzwa kazi naamini utaniacha ila yeye hata kazi hajui kama ninayo” alisema Tino na kuibeba simu “tizama hii message hiki kifurushi cha 10000 cha mwezi ndiyo kanitumia wewe ushawahi kunitumia hata cha jero?” Aliongea mtaalamu kwa hasira

“Tino yasiwe hayo mimi kweli nakupenda” alisema binti

“basi mimi sikupendi nampenda huyo aliyenipigia simu” alisema mtaalam

“sawa Tino mimi umeshanichezea ndo unaniambia hivyo leo”

“sijakuchezea mimi, mbona hata wewe umenichezea sana pesa zangu, mi sikutaki tena, kwanza wewe utaniua masikini” alisema Tino akaenda kufungua mlango “toka nje” alisema kwa hasira

“Tino” binti aliita

“usilitaje jina langu mimi, embu wewe toka na ufuate mambo yako nisikuone tena hapa ndani nitakupiga” alisema Tino

“sitoki” Binti alikataa na kuketi

Tino alienda mpaka kwenye droo akatoa bastola na kumnyooshea “tokaaaa” alisema kwa hasira binti akaogopa na kuinuka akatoka

Tino aliufunga mlango akavuta pumzi ndefu na kuivuta simu mkononi kisha akampigia Tina

Tina alipokea simu huku akiwa analia “Tina” mtaalam aliita

“sitaki uniite Tino” alisema binti huku akilia sana “sitakiii, na usilitaje jina langu Tino” alisema binti 

“nisamehe Tina please nisamehe mpenzi huyu ni mwanamke wangu wa zamani alikuwa ananipendaga sasa alipokuta umeniunganishia kifurushi akaona wivu”

“no Tino nyie wanaume ni waongo sana, usinidanganye nimeshaumia sana naona kama penzi langu kwako ni la kutesana tu”

Tino naye ghafla alianza kulia bila kuelewa machozi yanatoka wapi kumbe kwa kifupi na yeye alikuwa ameshakolea kwa mtoto Tina “Tinaaa, hihihiiiii usinifanyie hivi mi ninakupenda kweli naapa kwa mwenyezi Mungu” alisema Tino 

“unanipenda usiniigizie mapenzi najua unaye umpendaye ndo maana mwanzo ulinikataa” alisema binti

“no Tina kweli nakupenda mpenzi mimi nifanyeje ili uamini jamani Tina angalia navyolia kwa ajili yako” alisema mtaalamu

“fuata maisha yako bwana, mimi mwenyewe umeshanikera sikuhitaji tena” alisema binti na kukata simu.

Tino alibaki ndani akilia sana hakujua hata afanye nini “mimi ninakupenda Tina wewe hujui tu” aliongea mwenyewe ndani, akainuka na kuvaa vizuri halafu akatoka bila hata kupanga vitu huko chumbani

Kutokana na kwamba mbezi shule sio mbali sana kutoka Mwenge, ilimgarimu dakika 18 tu kufika kwa binti kwani alienda na pikipiki, Tina alikuwa ndani akimeza panadol kutokana na maumivu ya tumbo hasa kwa sababu alikuwa kwenye menstrual period.

Alisikia mlango umegongwa “karibu” alisema binti na Tino alizama ndani

“Tina” aliongea Tino binti akashtuka baada ya kumuona tena akiwa amevaa zile nguo alizomletea na raba

“umekuja kutafuta nini ndani kwangu wewe mwanaume” alisema binti

Tino hakupoteza mda alimsogelea na kushusha magoti chini “Tina nisamehe mpenzi” aliongea mtaalamu kwa huzuni ndipo Tina akaamini kwamba kweli jamaa ameshampenda sana

“Tino upo sawa” alisema binti na kuchuchumaa kidogo akamshika mabegani

“Sipo sawa Tina naomba unisaidie japo msamaha wako ninapata tabu mimi tayari nimeshakupenda” alijikuta akimtamkia maneno hayo mpenzi wa boss wake

“Jamani Tino” binti alisema kwa huku akimuwekea ulimi mdomoni na kuinuka wote wakinyonyana mate na kukumbatiana huku wakipapasana kila sehemu ya miili yao

Msamaha ulikuwa umeshapitishwa na binti, hii ni baada ya Tino kumuonesha mapenzi ya dhati kutoka nyumbani na kumfuata binti ili amuombe tu msamaha, binti alimkumbatia kwa nguvu

“Tinaa” Tino aliita baada ya kuachia ulimi wa binti

“abee mume wangu” binti alisema kwa hisia kali na kumvuta Tino kwa karibu zaidi ili at least vifua vibanane kwa ukaribu zaidi

“Naamini nakupenda sana babe siogopi vitisho tena japo najua nipo katika hatari kubwa”

“usiseme hivyo Tino mimi nipo tayari kufanya chochote kwa ajili yako” alisema binti na kupeleka mkono kwenye suruali ya jamaa akakuta tayari amesimamisha binti alianza kupapasa dudu ya jamaa

“jamani unaponipapasa hivyo nasikia raha natamani ningepata kidogo tyu” alisema kwa hisia

“nikunyonye?” binti aliuliza na kuanza kuchuchumaa taratibu

“subiri kwanza nikafunge mlango babe mi sijiamini nikiwa hapa” alisema mtaalamu na kwenda mlangoni akafunga mlango na kurudi akamkuta binti akiwa ameketi kitandani huku akimtazama kwa furaha kwani alihitaji hata ampe penzi sema ndo hivyo alikuwa MP

Tino alisimama mbele ya binti na kunyanyua tisheti akaivua, huku binti naye alikuwa anafungua mkanda wa jamaa na suruali ikadondoka chini

Aliona jamaa amevaa Boxer kali ya bei ambayo jamaaa hakuwa nayo kabla na pia hakuwa na hadhi ya kuimiliki boxer ile kutokana na kwamba alijua jamaa ni masikini sana

“Boxer yako umenunua lini?” aliuliza binti, kumbe lijamaa lilipofika kule geto kwake Mwenge lilivaa boxer mpya maana nyumba ile ilikuwa na vitu vyake vya thamani sana

“Jana ndio nimeona wanauza kwa bei rahisi nilikuwa na buku tano nikainunua mnadani” alisema mtaalam

“mmmmh hizi huwa wanauza 15000 itakuwa walikupendelea mpenzi” binti alisema na kuishusha kidogo akaushika mtarimbo wa jamaa akaubusu kichwani halafu akauingiza mdomoni wote na kuuchomoa 

Aaaaash” Tino alisema kwa utamu aliosikia binti akamtazama na kutabasamu kulingana na utamu aliokuwa anampa mtaalamu

“una uboo mtamu” alisema binti na kumpapasa tumboni akauzamisha tena mdomoni 

“haaaaaash” Tino alilalamika binti akaanza kuunyonya kwa raha zoteee…………. 

UNO LA MASIKINI 13 🔞

🆎©️™️
Siku ya jumapili asubuhi na mapema Waziri Regnald Mwasoka alikuwa ameketi nyumbani kwake. Mkewe alikuwa anaenda kanisani lakini lizee siku hiyo halikuwa na mzuka wa kwenda kusali kabisa

Baada ya mke kuondoka mzee alichukua simu yake na kumuandikia sms Tina “lile ombi la kunizalia mtoto mbona haukujibu” alituma

Tina naye alikuwa ndiyo amemalizia siku yake ya mwisho katika siku zake za mwezi aliinuka na kuifata simu kwenye chaji akaifungua sms “Sawa mpenzi nimekubali” aliandika sms kama hiyo alisema kwamba yupo tayari kumzalia mtoto mmoja

Vivyo hivyo Tino alikuwa amelala kwa Dickson, bado Dickson alikuwa hafahamu kwamba yule jamaa hana kazi na alimdharau sana kwa sababu alikuwa anaishi kwake. Sms iliingia kwenye simu yake
“Ujiandae saa kumi na mbili jioni ndipo Mido anaingia nchini hakikisha unaenda kushuhudia suala zima la madawa ukimkuta emebeba madawa tafadhali umkamate na nitakupa zawadi nono, halafu suala la kumpeleleza Tina naomba uliache kuanzia leo” alisema waziri

Kumbe Tino alipokutana na Tina nia yake ilikuwa ni kumpeleleza haijulikani kwa nini lakini Tino yeye alikuja kuzama katika mapenzi mazito na binti
“Sawa mkuu” alijibu Tino na kufuta ile message kisha akainuka akatoka nje mara akamkuta Dickson akiwa Anaongea na Jane

“Mambow Tino” binti alimsalimia Tino

“Safi, vipi?” alisema mtaalam huku akimuangalia, ile sura haikuwa ngeni kwake

“safi nimekutembeleeni asubuhi asubuhi yaani kumbe hata chai hampiki” alisema binti

“hahahahaaa, samahani unajua sijakupata ila sura yako sio ngeni”

“Jane rafiki yake na Tina bwana uliyetukuta kule ufukweni ukamuua na yule nyoka hukumbuki?” alisema binti

“ahaaaaaa okay okay okay, I now remember you” alijikuta amechanganya kimombo wakati anakumbuka kuna siku Tina alimuambia kwamba Tino hajui kiingereza “Ina maana wewe sa hivi ni shemeji yangu pande zote yaani kwa Tina na pia kwa Dickson” alisema Tino

“Hahahaaaaa, ndiiiiyo” binti aliitikia ikabidi Dick naye acheke

“Mlikutanaje kwa mfano mbona mi sielewi elewi hii kitu” alisema mtaalam

“acha tu, story ndefu shem lake ila wewe ndio chanzo cha sisi kukutana, ok isiwe kesi bwana vipi Tina sijamuona kitambo mimi nilihama kule”

“yuko powa sana binti yule though ni kama siku tano sijamuona ila tunachati”alisema mtaalam

“ok powa mwaya”

“haina noma ngoja mimi niondoke nikuachie nyumba mama mwenye nyumba, ila usimpe huyu jamaa sawa” alitania wote wakacheka

“jamani hhaahaa simpiiiii” alisema binti

Tino aliondoka na kwenda zake mtaani kuzunguka zunguka leo alikuwa hana mishe ya kufanya mpaka jioni alitakiwa akamkamate Mido uwanja wa Ndege wa Nyerere
Hata hivyo Tina naye leo alitoka nyumbani, alienda mpaka maeneo ya V&B Pub kuna mtu alikuwa anaenda kuonana naye

Ejapo ilikuwa asubuhi sana lakini Tina alikuwa anawahi sana

“Nimeshafika hapa Makumbusho” Aliandika sms baada ya kufika makumbusho

“Njoo mpaka maeneo haya ya ofisi zetu za Tigo” alisema mtu aliyekuwa anaenda kuonana naye na hakuwa mwingine alikuwa ni yule kijana aliye renew laini yake siku ile akamwambia achukue namba

“kwa mguu?” binti alihoji maana yeye kwa namna alivyokuwa anang’aa kwa kweli isingewezekana atembee kwa mguu

“panda pikipiki mwambie akulete hapa bar kwa Mzee Minja basi” alisema mtaalamu huku akiwa na hamasa sana ya kumuona mtoto wa kike

“Pouwah” binti alijibu na kusogea kidogo pembeni mwa stendi akapanda bajaj mpaka maeneo hayo ya V&B Pub ambayo ilikuwa maarufu sana kwa jina la Bar ya Kwa mzee Minja

“Karibu” alisema yule kijana baada ya kumuona binti akiwa ameng’aa

“asante Jeff, mbona pako wazi sana hapa” alisema binti

“mmmmh pako wazi sana kwani tuhame?” aliuliza Jeff 

“ndiyo au kama kuna sehemu kidogo ya kuingia ndani tuingie mimi sipendi kukaa maeneo kama haya jamani kila mtu akuone barabara yenyewe ndo hii hapa” alisema binti “tena magari ya Mlima wa moto nayaona pale wakati ndo kanisa langu nalosali” alisema kwa hasira

“dada jamani ingieni hapa ndani hamna mtu atawaona” aliongea muhudumu wa bar ile

“hapo sawa” alisema Tina na kuingia mule ndani kulikuwa na sehemu nzuri ya kukaa,

Basi na Jeff alimfuata wakaketi pamoja na kuagiza vinywaji

“Christina unakunywa nini” aliuliza yule jamaa

“Naomba Juice yoyote ya passion” alisema binti

“haunywi bia?” aliuliza

“nope situmii kilevi chochote” alisema binti

“sawa, wewe dada” Jeff alimuita muhudumu “mletee huyu dada Juice ya passion”

“sawa kaka J” alisema yule muhudumu maana alimjua Jeff kwa mda mrefu alikuwa ni mteja wake

“Ulisema unakaa Mbezi ee” Aliuliza mtaalamu

“Yes, wewe unakaa wapi?” aliuliza binti

“nakaa huko Victoria” alisema Jeff

“ok powa, sasa leo jumapili mbona umekuja huku?” aliuliza

“iyaa, nimekuja tu kuzurura baada ya wewe kuniambia utakuja tuonane” alisema binti

Kule kaunta kuna vijana wawili walikuja na kuagiza Castle Lite mbili mbili halafu wakaelekea mpaka ndani ambapo binti ndipo alikuwa ameketi akinywa Juice

“Haaaaah Tina” walianza kumshobokea Tina akashtuka sana “Mambo” alisema mmoja kati ya wale vijana

“Powa vipi” aliongea binti huku akiwa anamshangaa bila kumtambua yule kijana na amelijuaje jina lake.

“safi tu upo huku” aliuliza

“nipo lakini samahani mimi sikukumbuki ujue” alisema binti huku akiwa anatabasamu kidogo

“mimi naitwaTonny” alisema yule jamaa

“Toniiiiiii, Toniiiiiii, mh ili jina sio geni kwenye masikio yangu”

“ahaa ni rafiki yake Tino, kuna siku nilimpa lift ya kwenda Boko mkiwa pale Mbezi shule”

“ahaaaaa nimekumbuka sawa kabisa” binti alisema kwa mshtuko na kwa uoga akijua lazima taarifa zake za kuwa bar na mwanaume mwingine zitamfikia Tino

“hahaahha, haya ngoja sisi tunywe” alisema Tonny na kumnyooshea kidole cha kumuonya binti kuhusiana na usaliti anaoelekea kuufanya kwa mshikaji wao au pia kwa waziri

Tonny alipoondoka wao waliendelea na story kama kawaida

“Kumbe huku unajulikana eti” alisema mtaalam

“hamna huyu ni wa kule kwetu mbezi ndiyo maana amenijua sio wa huku” binti alijitetea kwa uongo maana Tonny sio wa mbezi

“haya bwana, lakini Tina unaonaje leo tukawa wote mpaka kesho” alisema Jeff

“weee, na mke wako umuachie nani?” aliuliza binti

“mimi sina mke ndiyo natafuta mke sasa” Jeff aliongea

“mmmmmh sijui bana”

Mara dakika mbili sio yingi ikaingia sms ya Tino, ikabidi Tina aifungue kwa siri “Uko wapi Tina?” aliuliza Tino kitendo kilichofanya moyo wa Tina upige Paaaah kwa uoga

Alijua tayari taarifa imeshamfikia Tino kwamba yupo na mwanaume mwingine, akihofia yule kijana aliyemshobokea pale ndani ambaye ni Tonny

Binti moyo ulijaa barafu akaganda dakika nzima akifikiria amjibu nini Tino, sms nyingine ikazama “Uko wapi mbona haujibu Tina” Tino aliandika tena………ITAENDELEA 

Post a Comment

Previous Post Next Post