UNO LA MASIKINI 14---15----16. 🔞

Tulipoishia
Alijua tayari taarifa imeshamfikia Tino kwamba yupo na mwanaume mwingine, akihofia yule kijana aliyemshobokea pale ndani ambaye ni Tonny

Binti moyo ulijaa barafu akaganda dakika nzima akifikiria amjibu nini Tino, sms nyingine ikazama “Uko wapi mbona haujibu Tina” Tino aliandika tena

Endelea
“mbona umeduwaa tena Christina” Jeff aliuliza

“Naomba niondoke Tino nanilii Jeff” alijikuta anaongea na kuchanganya majina bila kuelewa afanye nini

“Unaenda wapi sasa jamani hata hatujaongea vizuri” Jeff alisema na kumshika binti mkono

“Niachie…….Mume wangu ameshajua niko na mwanaume mwingine naomba please uniachie mimi ni mke wa mtu” binti alisema na kujikwamua kwa mtaalamu

“mmmmh sasa basi ulipie ulichokunywa” jamaa alisema kwa hasira maana alijua anamla kirahisi

“hilo tu, na wewe nakulipia pia?” binti alisema kwa dharau 

“daaaah” alisema mtaalamu

Tina alienda mpaka kaunta na kusimama, “bili yangu na ya yule kaka pale ni shi ngapi” aliuliza huku akiishika pochi yake na kufungua

“10200 (elfu kumi na mia mbili)” alisema muhudumu

“haya kata hapa” alimpa elfu kumi na tano, halafu akamuangalia Tonny aliyekuwa anakunywa pale nje kidogo pamoja na wenzake

“Jamani Tonny kwanini umefanya hivyo” alisema binti huku akisikitika

“Nimefanya nini tena Tina” aliuliza

“umempigia Tino ona sasa ameshakasirika” alisema binti na kupokea change kisha akasogea hadi kwenye meza ile ya kina Tonny

“heee mimi sijaongea na Tino kabisa kwani kakuambia kwamba nimesema kwamba upo hapa” aliuliza

“hapana ameniandikia message mbili za hasira kuonyesh kwamba amekasirika sana halafu mimi kwa haraka haraka nikajua umemuambia”

“hapana wewe ndo umechukulia ametuma kwa hasira kumbe yeye anaweza akawa hata hajatumia hasira kabisa yaani embu mpigie maana mi sijamuambia kweli Tina” alijitetea mtaalam

“subiri” alitoa simu mfukoni akaitoa lock na kutazama kulikuwa na message zingine mbili

“daaah upo bize mpenzi mi nilitaka nikutembelee kidogo tu hapa maana sina kazi yoyote” alituma sms Tino ya pili ilisema “mana nimemiss sasa purukushani zako za kunyonyaga” alisema mtaalam binti alisoma akatabasam huku akiufunika mdomo wake kwa furaha

“vipi” Tonny aliuliza

“nimefurahi sana kuona sms zake kumbe hajakasirika kweli, ngoja nimpigie” alisema binti na kuweka simu sikioni

“Mrembo Tina” alisema Tino

“handsome T” alisema binti kwa hisia kina Tonny wakatabasamu

“mbona haujibu text zangu ulikuwa unachepukaaa” alisema binti

“aaah wapiii” alisema binti “nilikuwa napiga story na mtu mmoja anayekujua”

“hahaha wa wapi” alisema mtaaalamu

“wa huku huku mbezi”

“mh ananijua mimi?” aliuliza mtaalam

“ndiyo subiri ntakueleza baadaye kidogo mpenzi wangu” alisema binti

“powa baby” alisema na Tina akakata simu

“unaona sasa hajajua upo huku kaendelee kupata unywaji”

“hapana sina hamu ya kunywa tena, kwanza ngoja nikachukue juice yangu nimeacha pale na nimelipia” binti alisema na kurudi ndani akamkuta yule jamaa anaendelea kunywa hana wasiwasi

“keti unywe usiogope bwana acha kuwahi wahi”

“hapana ngoja nikakae na marafiki zangu wewe umeshanikera kwanza” alisema binti na kutoka nje akaketi na washkaji akamimina juice na kuendelea kunywa

Lakini kina Tonny hawakukaa sana waliondoka wakiahidi kurudi muda sio mrefu. Binti naye akaona asepe

Binti alipojaribu kuinuka pale alipokuwa ameketi alishangaa anashindwa kuinuka anarudi chini “mh” aliguna huku akijiuliza maswali kwamba imekuwaje

Kumbe wakati yule jamaa alipobaki na ile juice kule ndani aliamua kuitia madawa ya kulevya, kwa hiyo binti alivyoichukua anywr ilikuwa tayari ni hatari kwa afya yake.

Jeff kumbe alikuwa muhuni aliita bajaj ikapaki pale mbele ya pub na yeye akamfuata binti “Tinaaa” mtaalam aliita na kumvuta mkono

“niachie” binti alisema kwa sauti zege ambayo ni ya kulewa tayari lakini kulingana na ulevi Jeff alimkokota kirahisi akamshawishi mpaka binti akazama ndani ya bajaj

“Vipi Tina” alikuwa akimuita ili kuchunguza kama binti amelewa vizuri

“Tafiii……” mdomo ulikuwa mzito “tu…tu…tunaenda wapi?” aliuliza binti bila kujielewa mara akakat moto na kumdondokea Jeff huku bajaj ikitembea

Jeff alimpeleka Tina hadi kwenye lodge moja halafu dereva bajaj akamsaidia wakamuingiza ndani, nia yake alitaka ale naye uroda tu binti yule

Alimlaza kitadani binti akiwa bado amekata moto kwa kilevi kikali alichowekewa kwenye juice, Jeff alianza kumvua nguo zote binti akabaki na chupi tu halafu Jeff alivyokuwa muhuni akatoa simu ili arekodi tukio zima alilokuwa akimfanyia binti yule.

Alianza kurekodi bila sura yake yeye kuonekana lakini ya binti ikionekana akiwa hoi, halafu alitoa mashine yake na kuipaka mafuta akitaka kumuingizia binti.……………..JE NINI KITAFUATA 

UNO LA MASIKINI 15 🔞

🆎©️

Tulipoishia
Alianza kurekodi bila sura yake yeye kuonekana lakini ya binti ikionekana akiwa hoi, halafu alitoa mashine yake na kuipaka mafuta akitaka kumuingizia binti. 

Endelea
Ghafla mlango ulipigwa teke paaaah wahuni wakazama mpaka ndani, kutazama hivi ni Tonny na wenzake analinda heshima ya shemeji yao huku wakiwa wameshika visu wote wawili

“wewe kima” Tonny aliongea kwa hasira na kumvamia Jeff akamtupa kule halafu akamchukua shuka na kumfunika mtoto wa kike

Yule jamaa mwingine alimpiga teke la maana usoni, akiwa chali chini halafu akamkanyaga shingoni kwa nguvu

“Unamjua huyu demu au una hamu ya kugongwa fala wewe” alisema yule jamaa mmoja akiwa na hasira kuliko hata Tonny

“diididiiiiachie shigoo” kulingana na kubanwa shingoni alishindwa kuongea vizuri yule jamaa

Tonny alimvamia akampiga mangumi ya maana halafu akamchana chana na kisu usoni ili amuachie alama ya milele makusudi tu
****
Basi baadaye mida ya saa 9 jioni Tonny alikuwa kwenye nyumba ya rafiki yake mmoja wa kike huko Mwenge aitwaye Asma, hapo ndipo alimpeleka Tina baada ya kukata moto, Tina naye alikuwa ameshashtuka kwenye kukata moto

“jamani nipo wapi hapa” aliuliza Tina

“Wangekuuwa wale majamaa sio wazuri walikuwa wanataka wakuzalilishe mtandaoni usiwazoee kabisa” alisema Tonny kwa hasira

“jamani kwani ilikuwaje” aliuliza

“Jeff alikuwekea madawa alitaka akakufanye mambo tumempiga sasa” alisema Tonny

“acha utani Tony bhana” alisema

“ndo hivyo, sasa sikiliza tutoke hapa nina shughuli ya kwenda kufanya kazi ya muhimu sana, twende tutoke nje” alisema Tonny

Tina alishuka kitandani akaomba maji ya kunawa uso halafu akabeba pochi yake na kuhakikisha usalama wa vitu kisha wakatoka nje na kumshukuru Asma halafu wakaondoka zao na kwenda mpaka barabarani maana kulikuwa sio mbali

“sasa Tina mi nakuitia bajaji uondoke urudi nyumbani ukapumzike halafu mi nitakucheki wewe nitajie tu namba yako” alisema na kutoa simu mfukoni akamkabidhi binti na kuandika ile namba,

Kumbe bwana Tino hakuwa mbali alimuona binti akiwa amesimama pembeni mwa barabara pamoja na Tonny, Tino alikuwa kwenye foleni kubwa hivyo alipata fursa ya kuona wakiwa wanapeana namba, roho ikamuuma sana lakini hakuwa na cha kufanya alitulia tu hakutaka kupaniki alitaka kufahamu mwisho wa namba hiyo aliyopewa Tonny itakuwaje

Basi foleni iliachia, Tino naye akaelekea uwanja wa ndege kuhakikika anaenda kufanya kazi yaliyoagizwa, pia Tina aliagana na kumshukuru sana Tonny kwa kumsaidia halafu akaondoka zake na kusepa mpaka getoni ndipo alipoenda kumkuta dullah akiwa anasikiliza muziki sebleni

****
Wiki nzima iliyofuata nchi nzima ilikuwa na habari moja ambayo iliiongoza matukio ya nchi nzima kila gazeti liliandika kuhusiana na habari ya msanii chupukizi Mido Baby kukamatwa na madawa ya kulevya gramu mia saba katika tumbo

Hata hivyo tukio hili lilimuuhusisha vikali meneja wake afahamikae kwa jina la Papaa Makudo kumfanya binti huyo aingie katika sakata hilo ili amsaidie atoke kimuziki

Waliswekwa jela kwa hukumu ya miaka 30 bila kuwa na mzamana kabisa.

Rais alipongeza sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri huku akimpongeza pia Waziri wa sanaa na michezo kwa juhudi nzuri anayoifanya kuhakikisha nchi ipo salama hasa kwa vijana ambao ndio taifa la leo

Wakati story hizo zikisambaa mtandaoni binti alimpigia Tino simu

“Agustino” alimuita jina lake full

“ahahaa tangu lini ukaniita hivyo Tina?” aliuliza

“kila siku ntakuita tukishafunga ndoa mamboooo lakini” aliuliza

“mi niko poa ila nimekuwa mzito sana siku hizi hadi nashindwa kutembea”

“kwanini?”

“zimejaa baby”

“ahahahaha nini hizo zimejaa?” aliuliza

“Nyeeeee” aliongea kwa mkato binti akacheka sana

“kwendraaaa ukoo, mimi sipendi utani wako haufananii utani unasababisha kila saa nataka unisugue” alisema binti

“haahaahaa na sina mpango wa kukusugua namuhofia mheshimiwa wako” alisema kwa utani

“aku hana jipya yule halafu baby msanii wako kakamatwa umepata taarifa?” aliuliza binti

“ndiyo ninazo sana tu yaani acha akamatwe tu?” alisema mtaalam binti hakujua kama jamaa ndiye aliyehusika katika kumkamata

“Sawa bana kumbe humpendi kumbe we muongo”

“simpendi hata kidogo Tina siku moja nitakupa siri ya maisha yangu ila tu ni pale tutakapotoroka na kwenda mbali au pale utakapoachana na waziri huyu ambaye namuogopa” alisema Tino

“oooh nitafurahi baby ngoja birthday yangu akinipa zawadi ya gharama nitaiuza tukimbie tukaishi zetu hata nje ya nchi ila please usinisaliti

“usijali mpenzi”

“ninafurahi ukiniita mpenzi, baby nataka nikununulie smartphone” alisema binti

“nope usininunulie mpenzi, nitanunua mwenyewe” round hii Tino alikataa, na alikuwa na sababu

“utanunua lini sasa” aliuliza

“wiki hii hii kuna sehemu ninavuta mnyama subiri tu honey” alisema mtaalamu

“haya baby, sasa hivi unaonekana una maisha mazuri kuliko zamani” alisema binti

“ndiyo umenibadilisha sasa hivi nahisi ninaelekea pia kupata kazi” alisema mtaalam

“lakini Tino naomba kitu kimoja” alisema binti

“kitu gani honey?” aliuliza

“ninataka mtoto mmoja mimi na wewe hivi karibuni” alisema binti

“nooope” alikataa

“kwanini hutaki Tino” Binti aliuliza

“noope siwezi Tina”

“Tino waziri anataka nimzalie mtoto, unajua mimi nataka nizae na wewe nimdanganye mimba ni kwake"

“hauko serious”

“kweli mpenzi naomba please mimi sipo tayari kumzalia mtoto”

“daaah siwezi kweli Tina huo ni mtihani, naamini siku moja utaelewa namaanisha nini Tina” alisema mtaalam

“Tino”

“naam” alisema

“Mi nakupenja” alisema binti

“hahha najua kipenzi najua sana na mimi nakupenda saaaana, sidhani kama nitakuacha” alisema mtaalamu

“haya bye usiku mwemaaa” alisema binti

Baada ya kukata simu binti alianza kuhesabu ni siku ngapi zimepita tangu atoke MP 

‘mh ni sita jamani tayari kabisa wewe ngoja kesho nimtege lazima nizae na Tino, ni mzuri huyu mkaka’ aliwaza na kuandika sms

“Baby Tino kesho uje tutombaneeee” alituma binti message, Tino alipoisoma akachanganyikiwa………TUONE KESHO YAKE ITAKUWAJE KWENYE SEHEMU INAYOFUATA 

UNO LA MASIKINI 16 🔞

🆎©️™️
Kesho yake asubuhi na mapema Tino aliamka akiwa anawaza mapenzi tu, alitamani aende akamfinye mtoto maana alimuomba mwenyewe

“yaaani Tina mimi kukuacha ni ngumu sana waziri aniue tu” alianza kuwaza mtaalamu alikuwa ameshachanganyikiwa kwa mahaba anayoyapata kwa mtoto wa kike

“Oy niaaaje mzee Tino kuna ishu yako moja nimeisikia babu nataka uje unieleze kama ni kweli” alisema Dickson

“subiri niende kwa mtoto mzee masuala ya story baadaye kabisa” alisema mtaalam na kuvaa shati lake akasepa mia mia

Akiwa barabarani muheshimiwa alimuandikia message
“ABC” alimuita hivyo Tino akatabasamu kidogo maana hilo ni ambalo walizoea kutaniana na waziri yule

“niambie mkuu” alijibu ile sms

“malipo yako yameshatumwa kwenye akaunti yako, unaweza kuinjoy sasa” alisema mheshimiwa

“shukrani ziwe juu yako baba” Tino alifurahi sana kitendo cha muheshimiwa kumlipa hela yake katika ile shughuli ya kumkamata Mido Baby na mkurugenzi wake

“Tino uko wapi mpenzi mwenzako nakufa et” alituma sms binti

“unakufa kwanini mpenzi”

“mimi nina hamu halafu wewe haufiki, kinachoniuma zaidi ni kwamba nimeshaandaa kila kitu mpenzi wangu” alisema binti

“haya baby, vuwa na nguo kabisa nikija hapo sitaki story nyingi” alisema mtaalamu

“hahahaa, niko na kanga moja tu tena nimetoka bafuni now kunyoa yaani leo usiponinyonya mume wangu hunipendi” aliandika kwa hisia

“nitakunyonya mpaka kule kwingine”

“tinooooo, wa tanga wa Tanga tu” alisema binti kwa furaha

“haahaa, nna njaa lakini”

“usijali leo nimetengeneza Mayai, chapati na Supu ya kuku japo hupendi hivyo vitu” 

“sshhhhh eti sipendi..... kimya wewe mwanamke” aliandika mtaalamu na kushuka kwenye gari akaanza kutembea kwa miguu mpaka pale binti anapoishi, akasikia sauti ya nyimbo ya Meddy ndani ikipiga kwa mbali, alikuwa anaipenda sana halafu akazama ndani

“weee” alimshtua binti binti akashtuka na kumtazama 

“Tino utaniua kwa mshtuko” aliongea

Tino bado hakujua mtego ni mbaya, binti alitaka amzalie angalau mtoto kwa kupitia mgongo wa waziri akiamini roho yake itarizika kabisa

“Tina wa Tino” alisema huku akijiandaa kuimba wimbo huo wa meddy uliokuwa ukiimba kwenye Sub Woofer ya binti mara ukaisha

“Hahahaaa, umekoma kuimba nyimbo za watu” alisema binti, Tino naye akafunga mlango

“urudishe please nikuimbie” alisema Tino.

Tina aliurudisha ule wimbo ukaanza huku Tino akinesa nesa ndani kwa binti na kuzunguka, mapenzi yalikuwa yamepamba moto

“do you believe in love……..how crazy it could be……..baby baby stop……..take it easy” aliimba wimbo wa slowly vizuri binti akafurahi sana

“jamani woooow” alisema binti kwa hisia na kumfuata jamaa akamkumbatia “unaimba kama yeye jamaniiii mwa mwa mwa” alimbusu kwenye shavu na kumuachia Tino huku kanga ikifungua na kudondoka chini Tino akashindwa kuimba akabaki anamtazama tu binti kwa jinsi alivyokuwa amenona akiwa uchi

“mmmmh endelea kuimba mbona unanishangaa” binti alisema na kuokota khanga yake ili ajifungie.

Akiwa anafunga alishangangaa Tino amemvuta binti akazunguka kama pia na kujikuta ametua kifuani mwa Tino kwa style za nyimbo zile walizokuwa wakiimba wasanii wale wa Korea.

Style hii ilikuwa sio ya kawaida, ni mtu ambaye anajua kucheza haswa, na kulingana na uzoefu binti aliokuwa nao kwa muda mrefu alijua kabisa Tino ni mchezaji mzuri lakini anamficha.

“Tino nina kesi na wewe” binti alisema huku akiwa amejituliza kifuani mwa mtaalamu

Tino alimsogeza taratibu kinyume nyume hadi binti akafika mpaka kitandani akamlaza taratibu huku wakitazamana kwa karibu sana

“nini baby” Tina aliuliza kwa sauti ya kunong’oneza aliongea kwa mahaba yote yaani

Tino alimpa denda moja ndefu, halafu akaachia ulimi ukali ssstha, “aashshss” binti alihema kwa hisia

Tino alishuka taratibu na kulishika ziwa la binti la kulia kwa mkono wake wa kushoto akaanza kulisugua sugua juu kwenye chuchu halafu mdomo wake akaupeleka kwenye ziwa la kulia na kuanza kulinyonya taratibu

“beb….beeibyy” binti alilalamika kwa hisia hasa pale aliposikia kidole cha mkono wa kulia cha Tino kimeanza kuchezea kisimi chake taratibu “aahshhhsss ingiza kidole mp….enzii huuuh” alisema kwa hisia mtaalamu akatulia kimya hakutaka kukiingiza kwanza mpaka binti apagawe

Alimpandisha kitandani vizuri halafu yeye akapiga magoti pembeni mwa kitanda akaanza kumtekenya binti . Tina alizungusha kiuno huku akiwa anasikia raha za ajabu mwenywe akachukua mkono wake na kujaribu kukisugua kisimi chake mwenyewe

Tino aliushika ule mkono wa binti akautoa kwenye kitumbua cha binti akauweka pembeni “no no no noonono baby niache nichezee” alisema binti huku akinyanyua uso na kumtazama Tino kwa hisia

“sio jukumu lako kukichezea ni jukumu langu” alisema mtaalam na kuinama akaanza kumnyonya binti kwenye kitovu

“aahaaash beibyyyy” binti alilalamika kwa utamu

Tino aliushusha ulimi wake taratibu akiwa anaendelea kulamba mpaka juu ya kisimi cha binti alipanua mapaja ya binti na alipeleka ulimi kwenye kitumbua binti aliinuka kitandani bila kutarajia huku akiwa amefumba macho, akarudisha kichwa kitandani na kuanza kupagawa kwa utamu ule

“Tiiiiiiiiino unajua mume wanguuuu” alisema huku akibana mapaja yake alikuwa anapenda sana kufanya mapenzi yeye na Tino

Tino alinyonya kitumbua cha binti ndani ya dakika tatu, binti alikuwa amemshilia kichwa kwa mikono yake miwili huku akikatika kiuno na kusema maneno ya kila aina mpaka kiarabu

“baby inatosha, mi nataka naniliu” alisema binti na kunyanyuka na kumvuta Tino kwa nguvu, Tino aliinuka na kuingia katikati ya mapaja ya binti alikuwa hoi

Kwa haraka haraka alishika mkanda wa Tino akafungua suruali na kutoa uume huku akiwa anatetemeka mwili mzima kwa hamu

“mimi leo hauninyonyi” alisema mtaalamu

“kimoja kwanza beby please sijiwezi please hunie” alisema binti na kuushika mjeledi wa Tino akaulengesha mwenyewe ukazama mpaka mwisho 

“auwiiiiii shhhsssssh” alisema kwa hisia na kumkumbatia Tino huku akiwa anakata kiuno kama vile hana akili nzuri kabisa “nakupenda, huuuh nakupenda tinoooo mmmwah” alisema binti na kuanza kumnyonya ulimi Tino.

Tino naye alianza kukata kiuno chake akiwa anachochea kwa nguvu alifanya makusudi ili binti akojoea haraka lakini cha kushangaza yeye ndo alisikia wazungu wakija

Tino alitaka kuchomoa mashine ili akojoe nje lakini binti alimbana kwa nguvu ili tu akojoe ndani 

“baby tamu, usichomoe hhhhha naomba” alisema binti na kuzidi kukatika huku akiwa anazidi kumkumbatia mtaalam

“nakkkkkojoa ndani baby aash”” alisema mtaalamu

“usijali kojoa tu babe wangu usichomoe napenda mbegu zako” alisema binti Tino kwa kupagawa akaachia shahawa zake ndani

“aaah baby” alisema huku akiacha kuchochea

“asante mume wangu jifute” alisema binti na kumuachia jamaa yeye akainuka na kuchukua kanga akaanza kujifuta

“umefika kileleni baby” Tino aliuliza

“Nilifika mara ile tu ulipoingiza mume wangu asante sana na nakupenda” alisema binti

Tino aliifunga suruali yake na kumbusu demu mdomoni halafu akaangalia kule jikoni kama kuna chochote maana alikuwa na njaa.

Tina aliinuka na kufunga shuka la kimasai halafu akaenda kunawa mikono akaleta msosi binti yule akauweka mezani

“njoo huku kwenye sofa ule” alisema binti mara mlango ukagongwa wote wakashtuka maana penzi la wizi lilikuwa ni hatari sana

“Fungua mlango wewe mwanamke” sauti ilisikika nje bila kujua ni ya nani. Wote waliogopa…….USIKOSE SEHEMU YA 17 

Post a Comment

Previous Post Next Post