UNO LA MASIKINI 17---18---19. šŸ”ž

Tino kwa uoga alioupata hasa pale alipokumbuka anatoka na demu wa boss wake, ilibidi ainuke 
“nijifiche au” alisema mtaalam kwa sauti ya kunong’oneza

“haina haja bwana kama ni yeye nitamuambia ukweli kwamba mi nakupenda wewe” alisema mtaalam

“we mwanamke hutaki kufungua au” ilizidi kusikika sauti ile iliyoonekana ya mzee mzee kidogo

Tina akaona liwalo na liwe ngoja tu akafungue aone tatizo nini, alipofungua mlango alikutana na sura mzee mmoja wa jirani pale

“shikamoo baba Abdul” alisalimia binti

“sitaki shikamoo yako”

“kwanini mzee wangu?”

“hivi mikelele yote unayotupigia kwenye redio yako hiyo unafikiri tunafurahi sana? Mimi mwenyewe ninaumwa hata sauti yangu nahisi unaisikia halafu unanikorofisha”

“naisikia sauti yenyewe kweli sikujua ni wewe mzee wangu, nisamehe napunguza sa hivi”

“ndiyo upunguze bwana, mikelele asubuhi asubuhi ya nini” aliuliza kwa hasira na kuondoka akiwa anaongea maneno mengi

Binti aliufunga mlango na kurudi chumbani, na kwenda kupunguza sauti ya redio

Alivyokuwa anatembea kwa madaha kule chumbani Tino alipagawa na maana kalio lilienda vizuri sana, kushoto kulia Singida Dodoma

“wazee wengine wasumbufu sana wanatutishia amani” alisema binti na kuketi pembeni ya Tino, kumtazama Tino anamalizia chapati ya tatu “mmmh ulikuwa na njaa mume wangu hata bila supu unakula haraka hivyo?” aliuliza binti na kumshika mtaalamu

“simama nikuambie” alisema mtaalam

Binti alisimama na kumtazama kimahaba Tino akamvuta binti akamdondokea akaketi kwenye mapaja yake na kucheka, yaani alimkalia mtaalamu

“hutaki ninywe chai baby?” aliuliza malikia

“mmmh kimoja please, yaani nataka uikalie hapa hapa” alisema mtaalamu na kumeza chapatti

“mmmmmh na nikisema sitaki” alisema binti huku akimtazama Tino kwa ukaribu Tino akamtekenya binti akacheka na kumpa denda

Wakiwa wanakulana denda mtaalamu alilishika lile shuka la kimaasai akalifungua kifuani halafu akaanza kumpapasa kifuani na sehemu zingine za mwili, aliivuta ile shuka binti akajinyanyua kidogo ikatoka na alibaki kama alivyozaliwa

Aliuachia ulimi “nyanyuka kidogo” alimuambia kwa sauti ya kunong’oneza na kumrudishia ulimi wakaanza binti akanyanyua kiuno na Tino naye akafungua suruali akaishusha kidogo halafu akatoa mjeledi wake na kuutegesha

Kitendo binti anarudisha kalio kwenye mapaja ya Tino alishangaa imezama yote “aaaash “ alisema na kuachia ulimi wa Tino wakaanza kupapasana huku ikiwa ndani

Tino alikuwa anachochea na kupapasa, mda wote alikuwa hata nguo hajavua vizuri, aliinjoy sana kitumbua cha binti maana ni binti ambaye alikuwa anampenda sana kipindi chote tangu walipokutana

Binti alizidi kumpa denda huku akilizungusha mpaka pale walipofika kileleni

“mi nahisi sijawahi kupenda kiasi hiki Tino” alisema binti

“mimi mwenyewe yaani isingekuwa waziri yani ningetamba na wewe kila mahali” alisema Tino

“one day yes, ipo siku tutakuwa free ntamletea visa mpaka aniache” aliongea Tina na kujifunga tena mshuka wake naye akaanza kunywa supu na chapatti

Sms iliingia kwenye simu ya Tino akaichukua na kuifungua bila binti kuona ilikuwa message ya mheshimiwa
“Acha mambo yote unayoyafanya tukutane Mwenge sasa hivi” alisema Mh R Mwasoka

Tino alishangaa sana kwani alishtuka na hakutarajia. Hakuelewa ni kitu gani anaenda kufanya Mwenge, akawaza labda mzee ameshtuka kwamba yupo na binti lakini akajitia moyo

“Tino naona kama umeduwaa hivi unawaza nini” alisema binti

“naondoka sa hivi mpenzi” alisema

“hapana bhana leo ni siku yangu tunapaswa tuwe wote mpaka jioni halafu baby si nimekuambia nina kesi na wewe” alisema binti kwa huzuni na kumshika Tino

“kweli inabidi niende Tonny amepata ajali yuko muhimbili inabidi nikamtizame” ilibidi adanganye ili binti amruhusu

“acha masihara Tino” binti alishtuka maana alimjua Tonny na alimsaidia siku sio nyingi

“kweli yaani hapa nimepewa taarifa sijui itakuwaje”

“embu niione hiyo message” alisema binti 

“bafu liko wapi nikaoge” Tino alipotezea mada ya message 

“nione sms mbona unanipotezea, ina maana bafu hujui lilipo” alisema binti kwa hasira tayari

“I am sorry babe, message nimefuta” 

“angalia sasa yaani mi sipendi tabia za wanaume……haya kesi nyingine hiyo kwanini ulinidanganya”

“baby mi sijakudanganya kweli nimeambiwa hivyo nikifanikiwa kurudi mapema nitakuja tulale huku wote basi ili…..”

“sio masuala ya huko bwana kesi yangu mi ipo hapa. Embu niambie kwanza kwanini ulinidanganya kwamba wewe hujui kiingereza wakati unakiongea vizuri namna hiyo hadi nyimbo ya Meddy slowly unaimba vizuri tu”

“samahani siku ile nilikutania babe, halafu nikirudi nina zawadi yako, mi naenda kuoga”

“ole wako usinipe zawadi yangu, ila msalimie sana Tonny jamani nimemmiss” binti alisema

“mmmmh kummiss huko vepee”

“nyoooo kumbe una wivu” walianza kutaniana na Tino akatoka akiwa anacheka akaingia hadi bafuni

*

Mnamo saa sita mchana Tino alikuwa Mwenge ITV katika lile jumba la kifahari, alikuwa ameketi mbele ya waziri R Mwasoka

“leo tunaenda zetu Kilimanjaro Hotel kujipongeza” alisema waziri kwamba wanaenda kujipongeza kwa kazi nzuri aliyokuwa ameifanya pale uwanja wa ndege na watu hawakushtuka

“nakukubali mnyamwezi” Dullah alimtania waziri maana walimzoea sana. Mheshimiwa alicheka

“sasa kazi inayofuata, kuna kiongozi mmoja wa chama pinzani anapaswa afe” alisema mheshimiwa wote wakashtuka

“mmmmh yupi tena muheshimiwa” aliuliza Tonny

“nitawatumia details na sababu ya kummaliza” alisema mheshimiwa “tujiandae tuondoke” alisema na kumgeukia Dullah, “umesikia mnyamwezi” naye alitania na kucheka

“mi nishajiandaa mheshimiwa tusepe tuwaache hawa” alisema Tino

“hahahaa halafu unaonekana kama vile una wasiwasi sana Tino, ila nitakutafuta kwa muda wangu” mheshimiwa alisema

“nope usikute unataka kunimaliza, mzee kule kwako mi nimeshapaacha sasa” alisema Tino kujitetea

“najua umepaacha maana hata dharau hana siku hizi, halafu bado siku chache sana tuende kwenye birthday yake na wewe lazima uwepo ili ajue ni karata tulikuwa tunamchezea”

“mmmh”

Basi wote waliondoka na kwenda mpaka Kilimanjaro Hotel maeneo ya posta jijini Dar es Salaam. Siku hiyo walijipongeza saana

Tino pia alipata muda wa kupiga picha kadhaa akiwa na waziri pamoja na washkaji wengine ambao alikuwa nao kwa karibu sana kina Tonny, Dullah pamoja na mshikaji mwingine aitwaye Ishengoma

Leo Tino alienda kuangalia kwenye akaunti yake akakuta kuna kibunda cha milioni kumi kimeingia, hata hivyo kilimfanya afurahi sana, halafu pia kuna mshahara wa kila mwezi maana kitendo cha kukaa mbali na mji na kuishi maisha ya taabu zote zilikuwa ni ajira hizo

Tino alirudi nyumbani mida ya saa saba usiku leo hakwenda Boko alilala tu maeneo ya Mwenge kwenye nyumba yake alipokuwa amewaacha washkaji

Asubuhi kesho yake Tino aliondoka kuelekea mbezi, alitamani akamuone binti wa watu maana tayari alishampenda binti huyo. Leo alienda na simu yake kubwa hadi kwa binti halafu pia alichukua guitar mkononi aliitaji akamuimbie kidogo

“baby Tina” aliita mtaalamu binti alikuwa amejilaza kitandani akasikia sauti nzito

“beibiiiii” aliendelea kuita ikabidi Tina akafungue mlango na kumtazma mtaalam nguo kila siku ni zile zile tu alizomnunuliaga

“Umenikatia usingizi wangu mtamu” binti alisema na kujirusha kitandani

“so niondoke sio” aliuliza mtaalam

“ondoka tu” binti alisema, Tino alipatwa na hasira akatoka nje…………………ITAENDELEA 

UNO LA MASIKINI 18 šŸ”ž


Tulipoishia
“Umenikatia usingizi wangu mtamu” binti alisema na kujirusha kitandani

“so niondoke sio” aliuliza mtaalam

“ondoka tu” binti alisema, Tino alipatwa na hasira akatoka nje

Endelea
Binti hakuamini mtaalam anaondoka kweli, kumbe Tino alikuwa serious, ilbidi ashuke kitadani
“we Tino” aliita huku akitoka kwa kukimbia

“njoo bana acha mambo yako unaenda wapi” alisema binti

“unazingua wewe?” Tino alisema huku akiendela kutembea

“jamani njoo nimekutania tu mi sikuwa serious” alisema “njoo basi”

Kutokana na mapenzi mazito yaliyokuwepo kati yao, Tino alijikuta anarudi taratibu
“njoo bana kuna kitu ninataka nikushukuru sana” alisema binti

Tino aliingia hadi ndani
“kitu gani unishukuru mimi” alisema mtaalamu

“yani huku tumboni ninasikia kama panavuta vuta kidogo nahisi jana kitu kimeingiaa” binti alisema kwa kutania maana kitu hakiwezi kuwa kinasikika ndani ya siku moja tu

“mh wewe mwanamke wewe” alisema mtaalamu

“hahahahaa, hata haunipendi” alisema binti “haya naona umekuja na guitar lakini hauna zawadi yangu embu nieleze iko wapi” alisema binti

“zawadi yako kila siku huwa natembea nayo”

“mbona siionagi”alisema binti

“huionagi wakati kila mara huwa unainyonya”

“ahahahaaa, Tinooo nakupenda bure ukija yaani mi sikaukiwi tabasamu haya gitaa nayo wajua kupiga au ni ya Dickson” alisema binti

“tulia hapo jilaze vizuri nikuimbie nyimbo nzuuuuri ya mapenzi halafu mi napiga guitar” alisema Tino binti akajilaza kweli na kuanza kusikilizia nyimbo hiyo

Tino alianza kuivuruga guitar kama vile hana akili nzuri, aliituni mpaka binti akablow mapigo

“From the day that I met you girl………. I knew that our love would be, everything that I ever wanted in my life 
From the moment you spoke my name……. I knew everything had changed, because of you I felt my life would be complete

Ooh baby I need you……For the rest of my life girl…..I need you………to make everything right girl I love you…….and I would never deny that I need youuuuuu”,  

Aliimba shairi la kwanza la wimbo wa Marc Antony binti alipagawa, tena jamaa aliimba kwa mapozi matamu sana nyimbo aliifanya slow kidogo

“Tino wewe ni nani?” binti alimuuliza bila kuamini kile jamaa anachokifanya

“kwanini” aliuliza

“nahisi wewe sio mtu wa kawaida kama mimi ninavyodhani, kuna kitu umekuja kutafuta kwenye maisha yangu” alisema binti kwa wasiwasi mkubwa binti akiamini kwa vitu anavyovifanya kwenye maisha sio vitu vya uhalisia ni vitu vya kuigiza tu

“Kwanini unasema hivyo Tina” aliuliza Tino na kuacha kupiga gitaa

“kila kitu unachofanya ni kitu ambacho mimi binafsi sijawahi kutarajia kama unaweza kufanya ndiyo maana mimi ninapata wasiwasi zaidi kuhusu wewe, wewe sio mtu masikini kama ninavyodhani wewe mwenyewe swaga zako sio za kishamba kama vile nilivyokuwa nadhani mwanzo uko kama mtoto wa mjini kabisa mimi niambie ukweli who are you?” binti aliongea kwa wasiwasi

Maneno haya yalimpa wasiwasi sana Tino akahisi tayari ameshashtukiwa lakini akajitia moyo na kuingiza mkono mfukoni na kutoa simu yake ya Samsung A30

“baby niangalie” alisema mtaalamu huku akimnyooshea simu binti

“umenunua lini?” aliuliza binti

“jana”

“embu” binti aliipokea na kuitazama simu ile ya mtaalam kwa nje “Mbona sio mpya?” aliuliza

“hamna nimeinunua mkononi ndio mpya” alisema binti 

“haya bwana but Tino nina wasiwasi na wewe please niambie ukweli wewe ni nani mbona marafiki zako wenyewe wako classic na wanakula maisha halafu wewe unaonekana sio mtu msafi wala mwenye hela kwanini lakini usikute unaniigizia Tino

“Baby buana acha wasiwasi na mimi mi ni mtu wa kawaida, sana”

“mbona Tonny yeye nikitazama hata status zake whtsapp anakula maisha sana ina maana wewe marafiki zako hawawezi kukusaidia ukapata kazi nzuri tu mbona upo jobless Tino” binti aliendelea kulalamika

“Tina, kama ukiendelea na maswali yako haya mimi nahisi kamwe hatutafika popote, kama huniamini sawa tu”

“nakuamini Tino lakini naogopa, unajua mimi ninakupenda ile kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, sitamani hata kidogo kukuacha lakini wewe unaonekana wa tofauti na Tino niliyemuona mwanzo kule beach”

“daaah, sawa bwana Tina ila mimi wewe ndo umenifanya mchangamfu mimi sikuwa hivi kutoka mwanzo” alisema mtaalamu

“haya Tino, sawa basi endelea kuniimbia nisikie raha”

“sasa mimi nakuimbia wewe halafu unahuzunika mi siimbi tena”

“imba Tino ila imba nyimbo ya Kiswahili ambayo inafaa kunifanya nipagawe” alisema binti

Tino alichukua gita akaanza kuicharaza na kuanza kuimba nyimbo ya Pete iliyoimbwa na Christian Bella pamoja na Mwana FA na AY hata hivyo nyimbo hii ilionekana nzuri akiwa anaiimba yeye binti akafumba macho na jamaa akaacha kupiga gitaa akampigia binti magoti na kutoa pete mfukoni

Tina alipofungua macho alishangaa kumuona Tino akiwa amepiga magoti amemnyooshea pete 

“haaa Tino, ndo nini hiii sasa” binti alisema lakini Tino akaendelea kuimba chorus ya wimbo huo

“namvisha pete…………….namvisha petee” aliimba Tino binti hakuamini “ninyooshee kidole Tina nimekupenda kutoka moyoni naomba usinikatalie ombi langu

Tina akiwa haamini alinyoosha kidole chake na kuweza kuvishwa pete ile japo ilikuwa ya bei rahisi sana hata hivyo muda haukupita wakiwa wanaendelea kusheherekea pale na kupigana mabusu, simu ya binti iliingia ujumbe kwa njia ya whtsapp Tino yeye akatoka na kwenda chooni kujisaidia

“Hello” ilitoka kwa muheshimiwa

“hello how are you”aliijibu ile message

Message ya binti kwa muheshimiwa haikujibiwa ikabidi binti aanze harakati nyingine huko huko whatsApp, aliangazia Status ya mheshimiwa akaona mheshimiwa ameweka picha akiwa na mmoja wa wale vijana marafiki wa Tino ambaye kijana huyo pia alimkuta kule bar akiwa na Tony, kijana huyo aliitwa Ishengoma maana ni Muhaya

Aliendele kuview status za mzee akaona nyingine mzee amepost na Tonny binti hakuamini macho yake akaanza kutetemeka akiendelea kuziangalia zile status. Lakini kwa bahati nzuri hakupost picha akiwa na Tino hata moja
“hawa watu wana mahusiano gani na mzee?” alijiuliza zaidi mara Tino akaingia ndani akamkuta binti ameshika simu lakini akiwaza

“vipi mke wangu” aliuliza Tino round hii alijirusha kitandani pembeni ya Tina

“hivi Tino kina Tonny wanafanya kazi gani na mzee mwasoka” aliuliza binti, Tino alishtuka sana binti akahisi kitu

“Mi sifahamu kwani vipi?” aliuliza mtaalamu kwa uoga

“yaaani mzee amewapost yeye na rafiki yake mmoja hivi sasa sielewi” 

Tino alishtuka akaanza kuhisi binti ndo anampigia mafumbo “embu hiyo simu nione” alisema mtaalam na kupokea simu akaanza kuziangalia status za mzee yule huku akiwa anatetemeka ‘mungu nisaidie asije akanipost’ aliwaza kwa uoga, ili apotezee mada ikabidi aanze kumnyonya mate binti

“mthwa mwnathaa ooosh” walianza kuchezea chumbani na kusumbuana kitandani, binti alikuwa akishikwaga na Tino hata kama hana hamu lazima hamu ilikuwa inampandaga, walianza kupapasana dakika mbili ameshaanza kumnyonya mb*o wako hoi…………..ITAENDELEA 

UNO LA MASIKINI 19 šŸ”ž

šŸ†Ž©️
Katika Hospitali ya mwananyamala kwa siri aliingia Mke wa waziri wa Sanaa na michezo Mama Matrida Mwasoka, alikuwa na mpambe wake mmoja ambaye alimsindikiza

Hata hivyo mama yule alivalia barakoa usoni akijikinga na watu wasimjue kirahisi, binti aliyekuwa mpambe wake alionekana mwenye ukakamavu wa hali ya juu ana alikuwa ni binti mmoja mwenye mafunzo ya kijeshi kwa hiyo alikuwa anamlinda mwanamama huyo bila watu kushtuka

Kutokana na kutokuwa na umaarufu mkubwa, mama huyo aliweza kupenya kirahisi bila kuzingirwa watu wa aina yoyote

Mwanamama huyu alipenya hadi kwenye wodi ya wanaume kwenda kumsalimia mtu fulani ndani kule. Hata hivyo alipofika katika kitanda kimoja alimkuta mgonjwa huyo amefumba macho ikabidi amguse na kumtikisa

Mgonjwa huyo alishtuka sana kumgeuzia uso mama huyo, uso huo ulikuwa umejazwa vitambaa vya kufungia vidonda, na alipomtazama mama, alivua mask yake ili mtu huyo amjue

“Jeff” mama alimuita kumbe alikuwa ni yule kijana aliyemlewesha Tina na kumpeleka guest ili akambake

“mama” kijana yule alimuita kwa mshtuko huku sauti ikiwa hafifu yenye huzuni kubwa sana, machozi yalianza kumtiririka Jeff

“pole sana mwanangu” alisema mama yule

“asante mama” alijibu 

“vipi ulifanikiwa kuchukua video hata kidogo?” aliuliza mwanamke yule e bwana ee kumbe ndiye alimtuma kijana akambake binti na kumrekodi video

“Hapana mama, nilirekodi lakini wale vijana walionivamia walichukua simu yangu” alisema kijana yule

“sawa mwanangu pole sana” alisema mwanamama yule na kuingiza mkono kwenye maziwa yake akatoa kifaa fulani hivi

“asante sana ma…” kabla Jeff hajamalizia sentensi ile alisikia kile kifaa kimemchoma katika sehemu yake ya shingo na kukandamizwa kwa nguvu bila kuweza kuhema au kutoa sauti yoyote

“utanisamehe hii siri haitakiwi kufahamika na mtu yeyote zaidi” alisema mwanamama akimalizia kumuua yule kijana

Yeye na mpambe wake walitoka taratibu wakiacha msiba nyuma na kupanda gari hao, wakasepa

Vivyo hivyo ikiwa ni majira ya saa moja jioni taarifa zilianza kusambaa katika vyombo vyote vya habari na hata katika mitandao yote ya kijamii

“Mwenyekiti wa chama cha Uzalendo Tanzania (C.U.T) kanda ya pwani, Mh Juma Abdalah Minihaj amefariki dunia.
Hii ni baada ya kukutwa kwa mwili wa kiongozi huyo wa upinzani katika daraja la Salenda Jijini Dar es Salaam” 

Ilikuwa ni mambo ya kutisha yalikuwa yanaendelea nchini wakati huo taarifa zikisambaa namna hiyo pia Tino alikuwa ameketi pembeni kidogo mwa sehemu moja iitwayo Gengeni katika barabara kuelekea huko Bunju B

Sms iliingia kwenye simu yake “Hongereni sana nimeona kazi yenu” hii ilikuwa message kutokwa kwa waziri Mwasoka

“asante baba” Tino alijibu na kuanza kutembea tembea kwa miguu.

Hata hivyo Tina naye alimpigia Tino simu kwani ni muda mrefu kidogo walikuwa hawajaonana

“Tino mambo” alisema binti kwa sauti nyororo

“niambie maa” alisema

“safi tu Tino wangu nimekumiss sana” alisema binti

“nitakuja kesho nahisi, yaani nina mambo mengi sana rafiki yangu”

“sawa wangu” alisema binti

“lakini sauti mbona ni ya uchovu sana unaongea kama vile unaumwa eti sweetie” aliuliza Tino

“tumbo linauma uma mpenzi halafu kichefu chefu kwa sana” alisema binti

“mmmm wewe”alisema mtaalamu

“kweli mpenzi kesho nataka nikacheki kama nina mimba yako yaani nitafurahi sana Tino”

“Tina mbona mkorofi sana lakini”

“ina maana Tino hupendi kuzaa na mimi, au niitoe hii mimba maana nina uhakika kwamba nina mimba yako” alisema binti

“Usitoe mimba yangu nitaitunza”

“asanteee, hapo leo umenifurahisha baby lakini pia nisisahau kesho ni birthday yangu” alisema binti

“wow kwa hiyo kesho wapi tunaitafunia mrembo” alisema mtaalamu

“kesho nitukuwa home tu baby halafu pia nataka nihame hapa, masuala ya kuwa video queen sitaki tena nataka nilee familia yangu” alisema binti

“uende wapi sasa” aliuliza mwamba

“nataman niende mbali sana lakini penzi lako linanifanya nisiende mbali kipenzi changu” alisema binti

“usijali baby soon nitakamilisha mambo yangu machache hapa mjini natafuta hela kidogo halafu tuondoke zetu tuende mbali ili tuishi kwa amani maana nahofia sana waziri akishtuka tunaendelea na mapenzi”

“sawa baby uwahi kukamilisha basi sweetie, mi nakata simu mheshimiwa ananipigia” binti alisema na kupokea simu ya muheshimiwa

“Christina” alimuita

“Niambie baby”

“una agenda gani na Agustino?” aliuliza

“kwanin baby lakini mbona mimi simjui huyo mtu” alisema binti

“humjui? Nakupigia upo bize nampigia yeye pia yupo bize nikajua tu bado mnawasiliana japo nilishamuonya” alisema kwa hasira

“hapana baby wangu mimi nilikuwa naongea na mama yangu tu, labda naye huyo uliyempigia alikuwa anaongea na mtu mwingine huko sio mimi

“embu subiri” alisema na kukata simu akampigia Tino, kwa bahati nzuri Tino alikuwa bize anaongea na Dickson

“Una bahati nimemkuta kweli yuko bize” mzee alituma sms

“Ndiyo baby mi sikusaliti nakupenda sana” binti aliongea maneno ya uongo kabisa

“sawa baby halafu kesho najua ni birthday yako, hivyo inabidi tuonane maeneo ya Gasto Ufalme Masaki ni sehemu iliyotulia sana tutaweka kasherehe kadogo” alisema mzee

“wow, halafu umelengea siku nzuri kweli mpenzi, kesho nitakuwa kwenye siku ya kushika mimba kabisa hivyo nitafurahi kama tutalala wote pia” alisema binti

“safi sana, kesho tutalala wote mpaka asubuhi Christina”

“sawa baby mwaaah nakupenda” alisema Christina lakini nafsi ilimsuta maana alimpenda sana Tino kutoka moyoni
*******************
Ni kweli siku ya birthday ya binti binti alimuaga Tino vizuri kwa kumtumia sms

“Tino samahani mpenzi ninaenda kuonana na Waziri Mwasoka kwa mara ya mwisho, naomba uwe mvumilivu kidogo tu naahid hautaumia kwa mara nyingine zaidi ya leo” binti alipomaliza kumtumia SMS alizima simu

Vivyo hivyo Tino alikuwa ameketi katika daraja moja huko mjini huku akiwaza usaliti ambao anazidi kuufanya

Kijana Tino alikitoa kitambulisho chake cha kuonyesha yeye ni usalama wa taifa halafu akasikitika kidogo na kukirudisha mfukoni, akainuka na kuondoka kwa miguu
*****

Usiku katika ukumbi wa kishua ufahamikao kwa jina la Gasto Mfalme, iliingia gari moja kali sana akashuka waziri na kuingia katika ukumbi ule akiwa ana boardguard wake

Hata hivyo alipofika ndani alimkuta binti akiwa ameketi kwenye meza akiwa na rafiki yake Jane, mheshimiwa alifurahi sana akaamuru milango yote ifungwe na kisha hairuhusiwi mtu kupiga picha au kurekodi video ya aina yoyote

“Tino” binti alimuwaza mpenzi wake akiamini anamkosea “mtoto wetu atanisamehe ila nakupenda sana huko ulipo” alisema binti kwa hisia kali

Baada ya shamra shamra kuanza pale na kumpa binti zawadi za kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa, waziri aliamua kufanya makusudi ili kama kuna mapenzi yanaendelea kati ya Tino na Tina yaweze kuisha moja kwa moja

“Sasa nawakaribisha vijana wangu wa kazi waweze kumjua mama yao” waziri aliongea kwa sauti ya kawaida bila maiki maana alihofia sauti kusikika nje “Abdallah, Tonny na wenzenu njooni huku” alizidi kuongea

Kweli walijitokeza vijana watatu Abdallah, Tonny pamoja na Ishengoma pale mbele ya binti na kumpigia makofi kwa ajili ya kumpongeza huku wakimpa zawadi. Binti alianza kuogopa sana maana aliwajuwa wawili kati yao na wote walifahamu kwamba anatoka na Tino

“Tonny” waziri aliita

“Agostino yuko wapi mbona hajajitokeza” alisema waziri

Moyo wa binti ulimpiga paah paaah , Tonny akainuka na kwenda nje kidogo, baadaye akarudi akiwa amemshika mkono mtaalamu Tino anamvuta kwa nguvu

Tina alipomuona Tino alishtuka maana, hakujua kama pia Tino ana ukaribu na mzee 

“Huyu ni kijana wangu mwingine tena ambaye ninamkubali sana katika harakati” alisema waziri

Kichefuchefu kilizidi kumsumbua binti akainuka na kwenda chooni kwa uoga akatapika huku akilalamika
“Huyu Tino ni nani?” alijiuliza……………..ITAENDELEA 

Post a Comment

Previous Post Next Post