IN'BOBO 16 MWISHOOOOOOO

Ilipoishia.

"Hubby karibu nyumbani"Alice alinikaribisha,nikasema hee huyu nae kaniita jina gani tena.mi naitwa goodlucky,yeye ananiita hubby,ndo jina gani aisee.ila kwa kupotezea nikajibu...

"aaaa....aasannntee"

Endelea.

Kidume nikakaribishwa sebleni ambako kiuhalisia siwezi kueleza ni namna gani kulikuwa kuzuri.nikiwa Niko katika hali ya kutokujiamini,nikakaa kwenye sofa moja maridadi kweli kweli.

"Sorry,nakuja asaivi"Alice aliniambia kisha akaanza kutembea kuelekea katika sehemu fulani ndani ya mjengo wao.muda punde alirudi akiwa ameongozana na mwanamke fulani ambaye kwa uharaka sikuweza kumfahamu.kwa heshima nilinyanyuka ili niweze kusalimiana nae.

"Shikamoo mama........"nilisalimia lakini nikiongeza na neno 'mama'.niliweka tahadhari,kichwani nikiwa na sababu,nilifikiria kuwa huyu m'mama pengine ndiye mama yake alice au ndugu wa karibu wa mwanadada huyu.

"Marhaba,karibu sana baba...."yule mama aliongea kwa heshima.baada ya salamu za hapa na pale niliketi sambamba na Alice huku yule mwanamama akikaa katika moja ya sofa,upande wa kushoto wa sofa tulilokuwa tumekaa mimi na Alice.Dakika mbili baadae,pale tulipokuwa tumeketi,akaongezeka mzee Fulani mwenye miaka kati ya hamsini na sitini.nae pia nilisalimiana nae kabla ya kuzungumza mambo machache ya kimaisha.

"Goodlucky,hawa ndio wazazi wangu,huyu ndiye baba yangu mzazi na huyu vile vile ndiye mama yangu.........,wazee wangu huyu mnaye muona anaitwa goodlucky,yeye sio mzaliwa wa hapa....ni mgeni,leo ndio mara yake ya kwanza kufika huku"alice alitoa utambulisho wa awali,yani mimi niliweza kuhakiki kuwa hawa tuliokuwa tumekaa nao ndiyo wazazi wa mwanamke wangu Alice.kwa mara ya pili tukapeana mikono ishara ya kukubaliana na utambulisho uliotolewa.Alice alikaa kimya kwa sekunde kadhaa kisha akaendelea....

"Daddy and mom,ni muda kidogo sikuwepo nikiwa nimekwenda mbali mahala ambako sikuwafahamisha kipindi natoka.sikutaka mjue kwa sababu nilikuwa na maana yangu nzuri tu......."hiyo ni moja ya kauli ya alice ambayo aliongea,nadhani mwanzo wa kutaka kunitambulisha ulikuwa ndio huu,wakati huo sisi tukiwa kimya tunamsikiliza,lakini moyo wangu ukiwa katika fukuto la uoga mkubwa.nilijua huko Maelezo ya Alice yalikokuwa yakielekea ndiko kubaya,na uoga wangu wote ulikuwa ni huko tu na si sehemu nyingine.

"......ni wazi nilikuwa nakwenda kulitimiza lile mliloniomba nilifanye.huyu ni goodlucky kama nilivyowatambulisha mwanzo.na ndiye mchumba wangu"Alice alimaliza kuzungumza na kukaa kimya akiacha nafasi kwa wazazi wake watoe neno kuhusu hicho alichokiongea.muda huo tumbo langu lilikuwa limejaa gesi mpaka balaa,ni ile presha ya kutambulishwa ndio ilikuwa inanipa kashi kashi.yule mzee ambaye nilimfahamu kuwa aliitwa lemega,akanitazama kwa umakini mkubwa akionekanika kunitathimini kuanzia juu ya kichwa hadi chini ya unyayo,kisha akarudia mara kadhaa kufanya hivyo,kabla ya kutoa kijikohozi cha kishikaji kuliweka sawa koo lake tayari kwa kuanza kuongea.....,nikasema enheee muda wa hatari ndio huu sasa.nikangoja nisikie ni nini atachokiongea baba yake Alice.

"Tunashukuru kwa kutekeleza kile tulichokwambia.......lakini nina vitu kadhaa nitataka kuvifahamu kuhusu huyu mwenzio....."mzee lemega akatulia na kunitazama kama mwanzo kisha akaongea kitu....

"Kijana....."mzee lemega aliniita kiufupi.

"Naamu baba"niliitikia kwa unyenyekevu,siunajua uoga tena niliokuwa nao ni shida eti.

"Nimekufahamu kwa jina la goodlucky,lakini jina lako kimuonekano halijakamilika,waweza nikamilishia?"

"Ndiyo baba,naitwa goodlucky elias"

"Vizuri.we ni mwenyeji wa mkoa gani"mzee lemega aliongeza swali jingine kwangu.

"Mimi ni mzaliwa wa Dodoma,na nimekulia hapo pia"

"wazazi wako wanajishughulisha na nini huko Dodoma"

"Aah mzee wangu kiukweli mi sina wazazi,wakati nakuwa nilijikuta katika kituo cha watoto yatima.kwa hiyo sifahamu kama ni wako hai ama walishafariki"

"Oky pole kwa hilo.je una elimu gani na unajishughulishaga na shughuli zipi kwa huko Dodoma goodlucky"

"Nimeishia darasa la sita mzee wangu,na ni muuza matunda katika soko Fulani pale mjini ninapoishi"

"Umeishia La sita?"

"Nd...nndiio baba"nilijibu.mzee lemega akaonekanika kufikiria kitu kwa sekunde kadhaa.

"Binti yangu mimi ni msomi wa elimu ya juu,utawezaje kumuongoza na huku ukiwa huna elimu"mzee aliniuliza swali la mtego.

"elimu yake na mapenzi yetu havihusiani mzee,yeye atabakia na elimu yake tu pasipo kuyahusisha na mahusiano kati yangu na yeye."

"Sawa nakubaliana na wewe kwa hilo,na vipi nikihitaji shukrani ya kukutunzia mke unaweza ukanipatia?na unavyoona sisi kidogo hali ya kimaisha tuliyonayo si haba"

"Baba nikiwa na uwezo wa kukupatia siwezi nikashindwa kufanya hivyo.lakini ninavyojua mimi ndoa ya kweli kati ya mke na mume sio ya utoaji wa kitu Fulani kwa wazazi wake mwanamke tu,bali ndoa ni makubaliano ya dhati kati ya mke na mume kuamua kuishi pamoja....."

"unataka kuniambia,utoaji wa kitu cha shukrani au tuseme mahari huwa sio sahihi siyo?"

"Hapana sijamaanisha hivyo,ni kweli hicho kitu ni muhimu sana baba.......japo kwa mtazamo mwingine si muhimu kutokana na kwamba ndoa si mahari"nilipoongea hivyo nikamshuhudia mzee lemega akitikisa kichwa kiaina huku akitoa tabasamu kwa mbali.

*****

nikiwa nimependeza vilivyo baada ya kutoka katika barber moja ya kibosi hapa town pembeni yangu nikiwa na patron wangu(yaani yule msindikizaji wa bwana harusi),tuliingia ndani ya gari kuelekea kanisani,kwani muda wa kufunga harusi ulikuwa umekaribia.kwa namna ambavyo ungebahatika kuniona usingeweza kuamini kama ndiye mimi kweli.kiuhalisia nilikuwa nimetupia nguo za gharama ajabu.manake suti kama suti kwa makadilio ya chini aisee sijui nikadilie bei gani,acha niishie kusema tu kwamba siku hii nilivaa suti ya ghari mno.nakumbuka kuna siku walikuja mafundi na kunipima kisha wakaondoka na vipimo vyangu.lakini siku kadhaa mbele Alice alinifumbua macho ni kwa nini nilipimwa vipimo vya suti badala ya kwenda kuinunua iliyokuwa iko tayari......,alichoniambia Alice ni kwamba vile vipimo nilivyochukuliwa vilitumwa katika kampuni Fulani ya utengenezaji wa suti,huko itali na walitakiwa kuandaa suti yangu kwa ajili ya harusi yetu.nilishangaa kiukweli ila nilibaki kukubali tu kuwa pesa ilikuwa na uwezo wa kufanya chochote,hili la kwenda kushonewa suti itali lilikuwa dogo sana.

siwafichi kila nilipokuwa najitizama,mwenyewe nilijikubali kwamba nilikuwa nime shine sio mchezo.kwa sababu gari ilikuwa ni ya harusi mwendo wetu ulikuwa wa kawaida mno,nadhani hata ninyi magari ya harusi huwa mnayaona spidi zake,yani huwaga yanatembea mdogo mdogo bila haraka yoyote.bhasi bhana japo mwendo ulikuwa ni wa kiaina lakini hatukuchukua muda sana tulifika katika kanisa ambalo harusi kati yangu na alice ilitakiwa kufungwa hapo.kanisa lilifurika watu mpaka nilishangaa,moja kwa moja tukashuka na kuzama kunako nyumba hiyo ya ibada.mapema sana tulikuta bi'harusi alice na matron wake tayari wakiwa wameshafika kabla yetu.vile alivyokuwa kapambwa jamaniiiii heee acheni tu alice alikuwa akimelemeta mpaka raha.lisaa limoja baadae ibada ya harusi ikaanza,yakafanyika mambo mbalimbali ya kufurahisha,zikiwemo nyimbo na baadhi ya mashairi ya ndoa.lakini hatimae ikafikia kipindi cha tukio maalumu.maharusi tukaitwa mbele.hapo kanisa zima likalindima kwa vigelegele kutushangilia sisi maharusi.nyuma yetu tukiwa na wasindikizaji wetu,tulisogea hadi mimbalini juu kabisa katika eneo ambalo mchungaji huwa anasimama muda ambao huwa anatoa neno kwa waumini,bhasi tulipofika tukasimama hapo,tukiwa tumewapa mgongo waumini.

"bwana apewe sifa........"mchungaji aliwasalimia waumini,kwa pamoja waumini wakajibu 'amina',mchungaji akaendelea...

"Mungu,mwingi wa rehema,aliye tubarikia uhai hadi hii leo kutufikisha katika tukio la muhimu la hawa ndugu zetu,ni mwema sana,kwani anatupenda sana.wengi walipenda kuifikia siku hii lakini hawakufanikiwa,ni dhahiri mungu ametupendelea sana."

"........walioko mbele yetu ni maharusi wetu,ni bwana goodlucky Elias na bi'alice lemega.vijana wetu hawa leo wanafunga pingu za maisha.wao wamekubaliana kuishi pamoja,na wameamua kuja kulidhihirisha hilo mbele yetu na mbele ya mwenyezi mungu.hii ni siku yao,daima wataikumbuka"kama mnavyofahamu wachungaji ambavyo huwa na maneno mengi,bhasi huyu mchungaji aliyekuwa kaandaliwa kwa ajili ya kuifungisha harusi yetu aliongea mengi sana kabla ya kuanza kutuapisha.wa kwanza nilikuwa Mimi,mchungaji akaomba nimfuatishe vile alivyokuwa akisema,nami sikuwa na sababu ya kugoma nilifuatisha kukamilisha kiapo changu juu ya Alice binti ambaye nilimlidhia ndani ya moyo wangu kumuoa.baada ya kiapo changu kumalizika,nae Alice alifuata kula kiapo kama vile ambavyo nilifanya mimi.

"Mimi Alice lemega,nimekubali kuolewa na goodlucky elias,na nimemkubali awe mume wangu katika shida na raha,wakati wa huzuni na furaha,katika uzima na maradhi.....namvisha pete hii ishara ya mapenzi yangu kwake."Alice aliongea hivyo katika kiapo chake ambacho alikuwa akikifuatisha kutoka kwa mchungaji.mpaka hapo ndoa ikawa imekamilika ila vyote vilivyofuata baada ya hapo vilikuwa ni mbwembwe.

baada ya ndoa kukamilikia,maharusi tulipelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya kupata chakula na baada ya hapo tukabadili nguo zingine special kwa ajili ya kwenda ukumbini.naamini harusi nyingi huanzia kanisani then baada ya hapo huhamia ukumbini.kwa utajiri wa mzee lemega,ukumbi aliokuwa ameuandaa ulikuwa babu kubwa na wakisasa kweli kweli.huko ukumbini baada ya kufika kulikuwa na ratiba za hapa na pale,baadae zikafuata zawadi na mambo mengine mengine ambayo kama mtu huna pesa bhasi waweza sema vitu hivyo havina umuhimu kuwepo,lakini kutokana na uchumi mkubwa katika upande wa akina Alice bhasi kila kitu kilionekanika ni cha muhimu.baada ya part ya ukumbini kuisha,sherehe bado ziliendelea hadi nyumbani.sisi maharusi kutokana na kwamba tulikuwa tumechoka tukaruhusiwa kwenda kupumzika pahala tulipoandaliwa katika moja ya hoteli kubwa hapa moshi.

*****

"Lucky kweli umekuwa mume wangu jamani ata siamini"Alice aliniambia tukiwa ndani ya hoteli katika chumba tulichoandaliwa kulala.kwanza nilijichekesha kabla ya kumwambia.....

"Unatakiwa kuamini tu,mimi ni mumeo nawe ni mke wangu....."

"sawa ninaamini japo muda Fulani najikuta nashindwa kufanya hivyo eti.........,namna ambavyo mapenzi yetu yalianza ata bado siamini kiukweli"

"Yakupasa kuamini tu"

"acha niamini........lakini nakuomba kitu kimoja tu lucky,please visichana vyako sitaki nije nikuone una wasiliana navyo.nikija kukugundua utanitambua nakwambia."

"usijali najijua kuwa nimeshakuwa mume kwako,siwezi kukuvunjia heshima kwa namna yoyote"kipindi naongea hivyo mkono wangu nilikuwa nimeuzungusha katika kiuno cha mrembo wangu wa nguvu.mwili wa Alice ulikuwa una nguo kadhaa kwa sasa kwani baada ya kuingia room,shela na mavitu mengine mengine yote aliyavua na kubakiwa na nguo fulani amaizing,siunajua tena nguo za usiku daa bhasi ilikuwa ni shida.nikiwa nimemshika kiuno nikamvuta kwangu kiaina na kumuomba denda,mtoto akatanua mdomo wake na kuuruhusu ulimi wangu umwemeleke ndani ya mdomo wake.kwa vile wote tulikuwa na hamu ya kufanya majambozi,tukakokotana hadi kunako uwanja wa mechi,tukavuana nguo chapu na kubakia tukiwa weupe pee bila ata kitu.hapo nikapata kuona bolibo za Alice zikiwa zimesimama kama askari kanzu,kwa usongo nikavifakamia na kuanza kuvinyonya vyema pasipo kumuumiza kigoli wangu.kipindi hicho Alice analalamika tu ovyo ovyo mara 'ooh lucky ninyonye na hiii' mara nyingine akisema 'Lucky nasikia raha' bhasi tu Alice alikuwa akiongea vile ambavyo raha za kunyonywa chuchu zake zilimtuma aongee.kiukweli usiku wa leo ulikuwa ni usiku wa kihistoria kwani kwa mara ya kwanza ndio niliushuhudia urembo wa alice hadi ndani kabisa ya maungo yake,na tena ndio ulikuwa usiku nilioweza kulitafuna tunda bichi la bibie Alice.usichana wa Alice nikawa nimeutoa katika usiku wa kihistoria kwetu.

Siku kadhaa baada ya siku za fungate letu kuisha,mzee lemega aliniita na kudai alikuwa na kitu cha kuzungumza na Mimi.nilikwenda kumsikiliza nikitokea nyumbani kwetu(yani kule nilikokuwa naishi Mimi na Alice kwa sasa).

"Kijana wangu nimekuita.......kuna vitu baadhi nataka kuzungumza na wewe.kama unavyoona kwenye hii nyumba mimi na mama yako tulifanikiwa kupata mtoto mmoja tu,na ndio huyo mkeo.,baada ya wewe kumuoa nyumba hii imebakia tupu,kwani tayari wewe ndiye unayemuongoza Alice kwa sasa...."

"Mali zote unazoziona ni halali ya Alice.lakini kwa upande Fulani Alice uwezo wa kuziongoza utakuwa mdogo japo ni kweli amesoma na anayo elimu ya kutosha.ndugu watamsumbua ikija kutokea nimefariki.......inanibidi mali hizi nimkabidhi mwanaume, na hapa sintompa hizi Mali mtu mwingine zaidi yako,kwani umekuwa badala ya Alice kwa sasa.wewe nimekuchagua uwe mtoto wangu wa kiume utayesimamia mali zangu zote ukiwa na binti yangu.nimegundua japo elimu yako ni ndogo lakini una utashi mzuri katika kusimamia vitu.GOODLUCKY,historia ya maisha yako inaendana na jina lako vilivyo.sio siri una bahati njema.unajua nilijikuta nikikupenda hata Mimi,na ndio maana sikusumbuka kuhojiana maswali na wewe siku ile,ni wazi licha ya hali ya maisha uliyonayo ata Mimi nilikupokea kama mkwe kwa roho njema sana...."mzee lemega aliongea.

"sasa goodlucky mwanangu......uko tayari kusimamia mali za mkeo na kuzitetea......"

"Niko tayari baba,kwani Alice ni binti yako,lakini Mimi ni kijana wako kupitia yeye,ata siku moja sintokubali kuona mali zako zikikosa msimamizi ilihali mimi nikiwepo.kuhusu elimu hiyo sio shida,siku hizi hata wazee wanasoma,naamini nitakwenda kusoma na nitarejea kuendelea kusimamia"

"Safi sana,umeongea vyema" mzee lemega alinena huku akinipa mkono ishara ya kunipongeza kwa kile nilichokiongea.bhasi baada ya hapo tukaendelea kupiga stori mbalimbali.

"Hivi kijana mlikutana wapi na binti yangu,manake nilisikia kuwa hii ndio Mara yako ya kwanza kufika hapa moshi"nilisikia baba mkwe akiniuliza swali hilo la utani.nilitabasamu kabla ya kujibu

"Tulikutana IN'BOBO" kauli hiyo niliiongea lakini nilishangaa ikitoka katika sauti mbili tofauti.nilipogeuka kumbe alikuwa ni Alice ambaye nae aliongea kauli sambamba na Mimi.bhasi tukajikuta tukicheka kwa furaha.

********MWISHO******** 

Post a Comment

Previous Post Next Post