DADA MAMU 20

mara kabla hata sijapakua chakula nilisikia sauti ya da pammy ikiniita

Aliita kama mara tatu hivi wakati tiyari nishafahamu yake shida hivyo nilifanya kama alivyokuwa akitaka sikuona tabu kumpakulia tu chakula haikuwa kazi kwangu nilifanya vile punde tu nilipomaliza kupakua yangu sahani nilimwekea sahizi aliyokuwa akitaka na kumpelekea mahali pale alafu nikarudi mezani pale kwa upole nikianza kusukuma matonge huku jambo lile likinirudia mara mbili kwenye kichwa changu hata sikujua itakuwaje kwenye usiku ule kama wataamua kunichangia maana nilishaanza kuhisi uwenda wameambizana au wanajuana kama wanafanya michezo ile mitamu na mimi
ilo liniumiza kichwa kwasababu siku ilikuwa tofauti hata na siku nyingine maana haikuwa kawaida tangia da pammy afike pale nyumbani hakuwa na ushangamfu ule kati ya Dada mamu na dada pammy ila leo ilikuwa jambo la kushangaza hata jibu sikuwa nalo niliendelea kula tu

na hatimaye nilimaliza kula kwa vile muda ulienda niliwaaga kwenda taratibu niliongoza njia kuelekea kwenye changu chumba mdogo mdogo nikiwa nasonga nilihisi kama kuna mtu anakuja nyuma yangu mmh niligeuka macho yangu yaligongana moja kwa moja na Dada mamu sikujua anataka nini ila alinisogelea karibu na kuniambia amemis mautamu yangu hivyo lazima atakuja chumbani kwangu baada ya da pammy kulala hata kujibu nilishindwa nilimuangalia tu nakuishia chumbani kwangu
Nilifungua wangu mlango na kuingia ila hali ya chumbani kwangu ilikuwa tofauti ila hata sikujali niliusindika tu mlango nakujitupia kwenye changu kitanda changu nakuanza kuutafuta usingizi nusu saa ilitosha usingizi kunichukua baada ya usingizi ule kiukweli niliota ndoto mbaya kweli inatisha vibaya jini si jini hata sikujua ila nilistuka huku nikiwa na pumua vibaya hali ile ilinitisha hata usingizi haukuja tena nilitulia kimya tu kuutafuta tena usingizi dakika kumi zilipita lakini haukuja dakika kumi na tano zilipita ila haukuja ila safari hii nilianza kuhisi kama mlango wangu unafunguliwa mmh kweli haikuwa kuhisi tena mlango ulifunguka tena bila kificho
ijapokuwa usiku ila muonekano wake ulitosha kujua hakuwa mwingine alikuwa da pammy…

#itaendelea 

Post a Comment

Previous Post Next Post