Je, kufika kileleni kwa mwanamke anapofanya mapenzi ni tofauti na mwanaume? 😍

Wanatofautiana Katka Kufika Kilele
Je, kufika kileleni kwa mwanamke anapofanya mapenzi ni tofauti na mwanaume?

Tafiti nyingi zimefanyika na mojawapo ni ile iliyoruhusu Wanawake na wanaume wote kuandika vile wanajisikia wanapofika kileleni na baadae wakaruhusu watu wengine wasome na wapendekeze nani ameandika kati ya mwanamke au mwanaume hata hivyo ilikuwa vigumu kwa wasomaji kufahamu maelezo yaliyoandikwa yameandikwa na mwanaume au mwanamke.

Hii ina maana kufika kileleni kwa mwanaume na mwanamke huhusisha uzoefu unaofanana.
Hata hivyo kuna tofauti ya uzoefu wa kufika kileleni kwa Wanawake na hata mwanamke mmoja na hii tofauti hutokana na aina ya kusisimuliwa ili kufika kileleni kuanzia kis..mi, K, Gisipoti, maziwa n.k *Je, ni kweli kwamba kinachomfikisha kileleni mwanamke huyu ni tofauti na mwanamke yule?
Ni kweli, na pia hata mwanamke huyo mmoja kinachomfanya asisimuliwe kufika kileleni leo ni tofauti na wiki ijayo na mwezi ujao na hata miaka matano au kumi ijayo.
Wapo wanaopenda kusisimuliwa Gisipot na wengine hawataki, wapo wanaopenda kusisimuliwa kis..mi wengine hakuna lolote, wapo wanaopenda kusisimuliwa K na wengine hawataki. Wengine maziwa au masikio au shingo nk kila mmoja au hata huyo mmoja uliyenaye anatofautiana.

Kama tunavyopenda vyakula tofauti na nguo tofauti na usisimuliwe wapi kwa mwanamke kufika kileleni ni tofauti.
Kuamini kwamba kumsisimua mwanamke Mahali fulani ndipo huweza kumfikisha kileleni bila kuwasiliana naye wakati mwingine huweza kuwa kero. *Je, mazoezi ya kukaza misuli ya K huweza kuongeza uwezekano wa mwanamke kufika kileleni kirahisi? 

Post a Comment

Previous Post Next Post