*UJUMBE KWA WANAUME*

Kuna baadhi ya wanaume wakishaoa wanakosa kujua kama wapo na mke wa halali,
Yaani wakishaoa wanaendelea kuchati na girlfriend wake, mke akiuliza utasikia si unakula?
unalala?
unavaa?
nini tatizo?
huyu nimezaa naye.
Sasa kama ulizaa naye mbona hujamuoa?
kama unampenda et tumetoka mbali kwanini hukumuoa??
kazi kuharibu ndoa za watu TU, mnachat na wake za watu kisa mlizaa nao yeye kaolewa na wewe umeoa tabia mbaya hii.

Akija mapema nyumbani saa4 akiulizwa et hapa kwangu usinipangie,
sasa kama ndoa ni kula ,
kulala ,
kuvaa kwani yeye huyo ulipokuja kumuoa ulikuta anatembea uchi ??
ulikuta anakosa chakula?
ulikuta analala kwenye miti?
 laiti ndoa ingekuwa kula ,
kulala,
kuvaa unadhani nani angebeba mzigo wa *MENDE?*

Watu wangekaa kwao na kujitafutia maisha vizuri,
ndo maana unakuta binti yupo na Mali lakini bado anatafuta mume jiulize kwanini?
Hapo unadhani kakosa chakula? mavazi?
sehem ya kulala?

Acheni kuwadhurumu wake zenu kisa pesa zenu,
kama umemchoka mwambie sikutaki kuliko kumpa dhiki kila *SAA*
 *WANAUME* badilikeni 

Post a Comment

Previous Post Next Post