WANAWAKE WA AINA HII.. HUKIMBIWA BILA NDOA BAADA YA KUCHEZEWA

1. msichana ambaye si msikivu kwa mpenzi wake yaani yeye huona kila analoambiwa si sahihi bali analolifikiria yeye ndiyo sahihi. Mwanaume hupenda kusikilizwa na kumuheshimu akiona huna usikivu kwake atakuchezea na kutokuwa na mipango yeyote endelevu katika mahusiano yenu
2. Msichana msafi kila mwanaume hutamani kuwa naye yaani awe mke ndani ya nyumba. Wanaume wengi usafi ndani ya nyumba na mavazi umewashinda hivyo hupenda wanawake wakuwasaidia katika ufanyaji wa usafi wa mazingira yao.
3. Msichana anayependa competition na mwanaume yaani kama vile wakati wa maongezi msichana hupenda kuonekana anachoongea yeye ndiyo sahihi na sio anachoongea mpenzi wake. Usawa katika mahusiani unasaidia mwanaume kukuona kuwa unamuheshimu na wewe unafaa kuwa mke.
4. Msichana asiyejua nafasi yake katika mahusiano. Hii haina maana kuwaambia kuwa wanawake muwe wadhaifu ila inabidi mfahamu kuwa wanawake mnapaswa kuwaheshimu wanaume zenu nikiwa na maana kuwa mwanamke husikiliza yale ambayo ya maana mwanaume umueleza na kutii si kubisha
5. Mwanamke usijifanye wewe ni kichwa ndani ya nyumba yaani kujitutumua na jambo dogo tu unakimbilia muachane humuogopesha mvulana kufikiria mara mbili kukuingiza katika ndoa usije kumuacha kwenye mataa
(share kama umeipenda na maoni yako ni muhimu pia)

Post a Comment

Previous Post Next Post