TEGO 🔞❤️🌹 7---10

Endelea nayo ……

…….yule paka alikuwa nakuja kwa kasi ya jabu huku akiwa analia kama
mtoto mchanga

Endelea naayo……
 alipofika karibu aalibadilika na kuwa Yule mama alifika pale na
kumuangalia Yule dada, upande wa kule kwa suma radi ilikuwa haijampata
kwa kuwa iliishia kwenye mti wa muhogo
Yule mama alifungua kichupa kimoja hivi na kumwagia Yule dada Yule
dada alibadilika na kuwa ng’ombe
‘’Inahitajika twendeni mkakae kwangu kwa leo’’ ;’’ tulimfata na kufika
kwake huku akiwa amempanda Yule ng’ombe sisi tukiwa tumepanda baiskeli
zetu tulipofika pale alimuingiza zizi ambalo lilikuwa na ngo’ombe
wengi saana

‘’mh! Uyu mama kiboko hawa wote watakuwa ni watu?’’ ;nillijiuliza sana
kwa kile alichonionyesha ‘’nifuateni’’ aiongea huku akiwa anaelekea
ndani tulimmfuata hadi kwenye chumba kimoja ambacho kilikuwa na irizi
na vibuyu vingi sana ilikuwa ani ofisi yake anakofanyia dawa
tuliingia na kumzikiliza
Alichukuwa jiko na kuinjika maaji na kuchanganya na dawa zake tusizo
zifahamu na kuanza kuchemsha dawa baada ya kuchemsha tulimchukuwa
jamari na kuanza kumuogesha

‘’We kijana ingia kwenye hicho chumba ukishaingia utakachoambiwa
chochote fuata maelekezo ili kuhitimisha tiba ya mwenzenu’’
‘’Swa’’,. Nilikubali na kuingia ndani
Kilikuwa ni chumba chenye kiza kizito sana nilipoingia nilisikia
sauti ikiniambia
‘’vua nguo zao zote’’
‘’Nilivua nguo zangu kama nilivyombiwa ghafla mwiliwangu ulisisimka
sana kipindi ambacho niliingi ndani ya kile chumba,

‘’Chukuwa hicho kidani na ukivae’’ nilipotazama mbele yyangu niliona
kitu kama kamba ikiwa imesuwa na kuchonewa vitu kama irizi hivi
nnilichukuwa na kuvaa shingoni mwangu
‘’Chukuwa ifungu kimoja chaicho kidani na kiweke kwenye mdomo
wako’’Nilifanyakama alivyonielekeza mbele yaangu kulikuwa na mishuumaa
ikiwa inawaka ambayo ndio iliyozalisha mwanga hafifu katika kile
chumba
‘’Sogea hadi hapo kwenye mishumaa’’;Nilisogea hadi kenye ile mishumaa
na kukaa chini
‘’Chukua hayo maji na yanawe’’ ;Nilifnya kama nilivyombiwa
nilichukuwa maji yaliyokuwa kwenye chungu kidogo na kuyanawa usoni

‘’Aya kijna ingia chumba ukionacho mbele yako na utakae mkuta fany
anachokihiitaji hapo ndugu yako ataapona’’Nilisogeaa hadi kwenye
paazia jeusi hivi ili na uingia ndani yake sikuamini mcho yangu
baaada a kuona mtu akiwa kama alivyozaliwa nilishituka sana huku
sura yake ikiwa imefunikwa kwa kitambaa cheus.i alisogea karibu
yangu na kuinama mbele yangu

‘’Mh mbona mambo ya ajabu kupona kwa rafiki yangu hadi nifanye ujinga
huuu’’Nilijiuliza sana Yule mtu aliinuka baada ya kuona sifanyi
chochote alinisogeelea na kunishika uume wangu na kuanza kuuchezea
‘’Hapana tusifanye hivi niliongea huku nikiwa na wasiwasi sana’’
chakushangaza hakunijibu chochote aliendelea kinipikicha dudu langu
kiukweli ulikuwa umesimama sana si unajua hakuna mkate mgumu mbele ya
chai nilijikuta najibu mashambulizi ka kutoa miguno ya utamu

‘’mh inabidi nifanye haraka maana tumebakiza muda mchache sana inabidi
tukatimize lie jambo ; nilijiongelea moyoni mwangu huku Yule dada
alikuwa akizidi kupikicha dudu langu,nilimshika na kumgeuza na
kumuinamisha alikuwa amejariwa sana akiwa na shanga nyingi sana zenye
rangi tofauti pia alikua na kovu kenye kiuno alikuwa mwenye umbo
nzuri mnoo bila kuchelewesha nilishika uume waangu na kuuingiza
kwenye kitumbua chake hapo ndipo tulipovunj amri ya sita
nilipomaliza Yule mtu alielekea kunako kiza na ile sauti ilisikia
ikiniambia

‘’ sasa toka nje kwa kinyumenyume’’ nilirudi taratibu hadi karibu
na mlango nilivaa nguo zangu na kutoka nje nilipofika nje nilimkuta
jamari akiwa mzima kabisa nilimfuata
‘’vipi unajisikiaje?’’;nilimuuliza
‘’yaani mzima kabisa bro’’ ;alinijibu huku akinyoosha viungo vyake
kwa kuniakikishia zaidi nilifurahi sana
‘’Mganga kakufanyi tiba sana huko eti’’; nilishtushwa sana na kauli ya jamari
‘’Kwani yupo wapi mgngaa”?
Alikufuata huko kuja kukupa dawa……….



TEGO

Epsod 8
Alikufuata ndan ili akup e dawa….
        Endelea nayo…

…. Nilishtuka sana baada ya kusikia vile

‘’Mh! Itakuwa nimelala na mganga? Mbona sijamuona ndani zaidi ya Yule
mwanamke ?” ;Kipindi najiuliza alitokea Yule mama ambae ni mganga
alifika na kusema ,
‘’ mkae hapo kwenye kilinge change tulisogea na kuketi tulikaa upande
mmoja huku ulunge kulikaa katikati ya sisi na Yule mama alianza dawa
zake lilikuwa kiza ndio linaingia karibia siku ya jumapili kuisha
hivyo kabla ya jumatatu kuingia inaahtajika tuwe tumeshafikisha mgomba
tulioagizwa

‘’Daha hivi tutaweza kufika kweli au ndio mbio za sakafuni uishia
ukingoni ?’’; lilikuwa ni swali ambalo niiksa jibu lake, nilishikwa
na mshngao pale nilipoona kiuno cha Yule mganga akiwa anachukuwa
dawa kilikuwa na kovu kama lile nilioliona kwa Yule ,tu niliekuwa
nimezini nae kule kwenye kile chumba tena nilishangaa pale nlipoona
shangaa za yuel mganga kiunoni kwake,

‘’Kumbe mganga sio mganga analake jambo mbona haya mambo ya aajabu
sna kil tunappewa msaada hapakosi vituko’’ nilijiongelea moyoni
mwangu huku kichwani kwangu nikiwaza kuondoka tu,; Aliendelea kama
nusu saa hivi alipomaliza dawa akasimama na kuondoka
Kipindi anaondoka moja kati ya irizi alizoshonea kwenye ile nguo yake
nilishituka kuona ile dawa tuliopewa na mganga ambae katutuma kuja
kuchuku huku ni ,moja kati yake kwenye nguo zake

‘’ huyu sio mtu mwema kwetu nimeiona ile daawa kwa huyu mama, muda
umefika alafi anahitaji kutuchelewesha hapa ?’’ niliwambia wenzangu
kile nilichokiona na kilichonitokea ndani
 ‘’ kwahiyo tunafanyaje?’’;aliukiza suma
‘’Mi nawazo moja?’’
‘’Tuambie wazo gani jamari’’;
‘’Kaama wewe umewez afanya nae mapenzi basi nenda kwa kufanya kama
unahitaji mapenzi nae maana tumebakiza masaa manne na nusu pekee
kwaiyo inahitajika tufanikishe suala letu japokuwa hatujui wapi
tutakapo pata mgomba’’;’’yalikuwa ni mawazo ya kishujaa sana alionipa
jamari
‘’Niwazo zuri sana jamari ngoja nijaribu kwenda’’; nilitoka haraka
hadi kule alikoelekea Yule mama kwenye chumba kimoja hivi chumb cha
Yule mganga niiimkuta akifanya dawa zake
‘’Vipi kijana mbona umefikaa huku?”
‘’Hapana kunashida ninayo mganga’’
‘’Shida gani?’’, aliuliza ,;Niilimsogelea taratibbu sana huku
nikimkazzia macho,
‘’We kijana kaaa huko huruhusiwi kumsogelea kiti’’ ,; alijaribu
kunitisha ila nilijikuta sina uoga tena kwake nilizidi kumsogelea
‘’ wewe kama nimeweza kuzini na wewe unanizuiaje kusogea karibu
yako” niliongea katika akili yangu,;Nilisogea bila kuhofia chochote
Nilimsogelea hadi pale alipo na kumshika kiuo chake
‘’We kijana acha nitakufanyia kitu kibaya’’……


TEGO

Epsod 09

Endelea nayo….
 Sikuogopa chochote niliendelea kumshika kiuno cha mganga nilizidi
kumshika niliona taratibu Yule mama alikuwa analegea nilimvuta na
kumsogeza kifuani kwangu hukumacho yangu yakiwa yanatazama nguo ya
Yule mganga ili niweze kuona ile dawa nilifanikisha kuiona ile dawa
ila alikuwa anaishika kwa mkono wake nilichukuwa mkono wangu wa kulia
na kumshika ule mkono wake unaoshiashika dawa na kumtoa hapo
nilipopata nafasi ya kupeleka mkono wangu kwenye ile dawa na kuivuta
alishtuka na kunisukuma alivyonisukma nilikimbia na kutoka nje
nilipofika nje niliwaita

‘’Jamari jamari…suma.. suma suma’’ ;walitoka na kuungana na mimi
kukimbia tulikimbia sana huku kiza kikiwa chenye mwanga wa nyota na
mbaramwezi zenye manga hafifu pekee unaotufanya tusione kwa umbali
mrefu, Tulikimbia sana tulipofika mbele niliweza ona mlima mbele yetu
 ‘’Jamari na suma mmeuona mlima ule?’’niliwaonyesha wenzangu nilichookiona
‘’Ndio tumeuona.; tujaribu kuelekea kenye ule mlima ‘’
‘’Ila mbona hatukuuona siku zote tulizokuwa hapa au tulifungwa macho
na hawa watu’’ ; nilionge huku nikiwa sina uhakika na ule mlima kuwa
ndio mlima sinjo
‘’Twendeni kwanza’’ aliongea suma ,;Tulijongea hadi juu ya mlima
mlima ulikuwa unamiti mingi sana

‘’Waoooo pango tuliloambiwa ni lile pale ‘’

‘’Dah sanji unamacho tungepapita hapa sikupaona hebu tusoge,’’
nilipoagalia muda ulikuwa ni saa tano tulimwaga dawa haraka haraka
mlangoni na kuingia ndani kweli tuliukuta mgomba mmoj ukiwa umeota
kwenye jiwe
‘’Mh! maajabu mgombaa kuota kwenye jiwe? Kweli dunia inamaajabu’’
 ‘’Acha kuuliza bwana usije tusifanikishe’’ tulifika na kuutoa ule
mmgomba na kuondoka nao tulitoka naa kuanza safari ya kurudi
kijijini kwetu

‘’Tusipite njia ile ya mwanzo’’
‘’We jamari acha uoga tutarudi kwa njia ile ile niliongea huku
nikiwa na wasiwasi sana juu ya usalama wetu
Nilishika mgomba na kuanza kukimbia kuelekea ile jia ya mwanzo
tuliteembea sanaa il cha hajabu hatukuona nyumba yoyote maeneeo yale
ya Yule mma mganga palionekana ni uwanda tu yaani hapauonekana
dalili ya makazi wala mifugo ila kulikuwa kunamti mmoja mkubwa sana
unaoitwa mbuyu tulistaajabu sana ama kweli ukistaajabu ya mmusa
utaona ya filauni ,

‘’Hapa si pale kwa yule mama aliejifanya mganga ?’’ iliuliza suma
maana ilikuwa ngumu kkuaminii tunachokiona
‘’Ndio ni pale ila mbona ni uwanjaa mbao hauna chochote kile ila
angalia pale mboa kama baaiskel zetu zile pale’’
Tulisogea na kukuta baiskeli zikiwa zimelala chini ya mbuyu
tulizichukua na kuanza kurudi kijijini tulitembea kwa kasi sana ila
nilishituka kutoiona ile nyumba ya Yule baba il tulikutana na msitu
mkubwa sana msitu wenye miti mrefu sana tulipiga peda sana ili
tuwahi kupeleka mgomba
‘’Sanji tazama yale makazi’’ ‘ aliongea jaamari kwa mshtuko sana
Ha! we mbona kipindi tunafika hatukuona haya makazi tuachane nayo haya
tusonge mbele utusije tukaingia kwenye yale matatizo hebu tusonge,

Acha zako sanji tusogee huku acha ujinga muda unaenda ,;Nilipoangalia
saa ilikuwa ni saa tano na dakika hamsini Sikujibu mtu baada ya kuona
muda uliobaki nilianza kuparaza baiskeli hadi kule kenye kile kijiji
‘’Mh jamani mbona kama napafahamu hivi ?’’ niliuliza bada ya
kukisogelea kile kijiji
‘’’Sanji hapaa ni nyumbni bwana ple si kwa mwenyekiti wa kijiji pale’’
‘’Hahahahahahahahaha’’ nilicheka sana sikuamini kilichotoke

‘’ajabu sana maana tumetumia siku sita kwenda ila masaa tu tumeweza
kurudi ama kweli uchawi upo niliongea ‘’huku kila mmmoja wetu alikuwa
haamini kilichotokea tulifurahi na kuelekea nyumbani ili kpeleka
ule mgomba yani kwweli safari ya kichwawi ngumu sana kutimiza
maasharti ila rahisi sana endapo ukimaaliza,

Tulifika nyubani kabla siku kuisha ya ili iingie jumatatu, tulikuta
ndugu wakiwa wamekaa wakitusubilia walipotuona walifurahi sana
walitupokea na kuwakabidhi mgomba alipoofika mganga alikabidhiwa ule
mgomba
Mmefanya kazi kubwa sana ila hatuwezi ulaza huu mgomba inabidi twende
makaaburini kufukua mweli wa kevi ili kuua hili tego …..


TEGO

Epsod 10

Endelea nayo…….
‘’Kufukua kaburi? ‘’niiliuliza
‘’Ndio dawa hufaanyiwa mtu aliefariki endapo kama angepita miezi
miwili tungetoa hili tego kwa mtu ambae kafa karibuni kwa hili tego
inatakiwa tukafukue’’
 ‘’Tulitoka pale na vifaa hadi makaburini usiku saa sita
Tulipofika makaburini tuliona paka wengi mno wakiwa mazingira yale,
na ndege aina ya bundi wakiwa kwenye miti mikubwa iliookuwa katika
eneo la makabuli naa milio ya ajabu ikiwa inasikika
‘’Hao sio paka hao ni watu wapo kaatika shughuli zao za kufanya
uchafu kwwenye hii dunia’’alionge mganga , tulisogea kwenye kaburi la
kevi na kuanza kuchimba tulichimba sana
Nilianza kupata kizunguzungu baada ya kusikia harufu kali sana katika
pua yangu watu wote wa nje walisogea pemben kidogo ila hatukukata tama
mmi na wenzangu jamari na suma maana sisi ndio tulioaminiwa na ndugu
zetu tulivua mashati na kufunga kwenye pua zetu na kuendelea kuchimba
lile kaburi.

Tulifanikisha kulifikia jeneza la kevi na kulitoa nje ya kaburi
tulifungua ,;Watu walianza kutapika hovyo kwa sababu ya ile harufu na
kuziba pua zao, kweli mtu ukifa mwili hauna dhmani unaruudi avumbini
mganga alitoa mishumaa yenye rangi nyeupe na kutukabidhi sote
tuliiwasha na kuishika mkononi kila mtu na wake alichukua mshumaa
mmoja aliinamisha ule mshummaa kwenye ule mwili wa kevi

‘’Dah nduguu yangu kevi kwanini ulifanya uwizi nini kiliikusibu hadi
leo tunakusumbua hivi?’’Nilikuwa nikijoiongelesha kichwani mwangu
alipoinamisha ule mshumaa maji yatokanayo na ule mshumaa yalidondoka
ndani ya ule mwili

Kisha alichukuwa chungu kikubwa tukawasha moto na kupikailee dawa
ambayo alichanganya na mizizi ya ule mgomba ilichemka sana kisha
alimchukuwa mbuzi mmoja alieandaliwa mwenye rangi nyeupe kote na
kumuweka dani ya jeneza la kevi na kuchukuwa kisu na kuanza kumchinja
 Kilikuwa ni kitu cha kutisha sana ambacho sikuwahi ona katika maisha
yangu ila lilikuwa funzo kuwa uwizi ni mbaya sio mzuri kuufanya

Alimchinja yuule mbuzi hadi kichwa kilipoachana na mwili kabisa
alimgeuza yule mbuzi na kumuweka kinyume na alivyolala kevi yaani
miguu ilikaa kichwani na kichwa cha mbuzi kilikaa miguuni mwa evi
,Machozi yalinitiririka sana nikikumbuka ucheshi wake na story
tulizokuwa tukipiga,
‘’Amakweli kifo ni fumbo kubwa sana tujisafishe tukiwa bado tuko hai’’
 Baada ya palee alichukuwa dawa iliokuwa ikichemka sana na kuanza
kuiwagia ndani mwili wa kevi
‘’Sahivi kazi nimeshaimaliza tuusitiri mwili wake ili alale salama’’
;Tulifunika mwili wa kevi pamoja ya Yule mbuzi na kuuingiza kwenye
kaburi na kuusiitiri tulipofika nusu ulichukuliwa ule mgomba na
kuuweka kwenye kaburi na kuufukia paamoja nae tulipomaliza alichukuwa
dawa na kuimwaga juu ya kaburi kisha tukarudi nyumbani .
Siku ile sikuweza kula wala kulala niliihisi kuumwa sana ,Siku iilio
fuata tulikaa barazani pamoja na mganga
‘’Vipi safari ilikuwaje aliuliza mganga’’ ;Tulisimulia mwanzo mwisho
yaliotutokea
Hahahaha Yule wa kwanza alikuwa ni mtu ambae alitumwa kuwazuia
nyie ili msifanikishe dhumuni lenu ila mmeonyesha ushujaa sana

‘’Na Yule mama vipi? ‘’
‘’Aliuliza jamari’’
Yule mama aliwasaidia ila ni mganga ambae huonekana kwa msimu

‘’Sasa mbona alikuwa akitutesa ‘’
Hapana hakuwatesa ila alichopewa ndio shukurani yenu kwake hakuna mtu
anaeweza kukusaidi bure tambua kuwa ipo siku ataomba malipo
Nilichok sana ila niliishukuru kwa lile swala kuisha maana niliona
kama vituko siku iliofuata nilirudi mjini nillifika nyumbani kwangu
na kuingi ndani cha ajabu nilikuta chumba kisafi kabisa kama kunamtu
alikuwa nananifanyia usafi……… 

Post a Comment

Previous Post Next Post