Usijiozeshe
Mwanaume hajakuoa bado waenda kwake
Kupika,kumfulia,kulala,unahamia kwa siku
Siku unajishusha thamani, kuolewa utaolewa
Utaolewa hata usipojipeleka kwake yaani imekuwa fasheni kujipeleka kwa mwanaume
Akutumie kimapenzi, unajipa nafasi ya mke
Muda wa uchumba unafeli mdada.
Acha kujirahisisha ni DHAMBI kufanya mapenzi kabla haujaolewa binti mwenye
Tabia hizo badilika baadhi ya WANAUME ni
Mashahidi .....haya yapo mabinti mpone
Tags:
KUNGWI WA MAPENZI